granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
ninacho hata cha kuibwa basi mkuuHujawahi kuibiwa ndio maana unasema hayo. Wakishakuibia ndio utaanza kutafuta hizi alarm

Kazi ya gps sio kuzuia mwizi ila ni kutrack tv yako poppte itakapopel3kwaUmesema GPS haisaidii kuzuia wezi
Niambie alarm hio inawezaje kuzuia wizi wa panya road unaibiwa na panga mkonon
Asante Kwa ushauriHeading imekaa kushoto sana irekebishe ufanye biashara. Watu wanaweza wakahis ukanjanja
Huyu mwizi wa kutoboa ukuta huyu ni jambazi ambaye amedhamiria kujua kabisa, hakuna mwiziKazi ya gps sio kuzuia mwizi ila ni kutrack tv yako poppte itakapopel3kwa
Alam hizo ni uongo tu zipo kwa ajili ya aneyepita mlango au dirishani pale anapofungua
Je mwiz anayetoboa ukuta?
Wewe umeniambia haijakaa vizuri nakuelewa,Na ufunge alarm kichwani kwako ukikosolewa ukubali
Wewe ni salesman lazima ujue ku approach mteja
Unaambiwa setup yako haijakaa vizuri unaleta NYE NYE NYE
Mimi nafunga hivi vitu GPS Kwenye tv. Lakini ukiangalia kiusalama GPS haisaidi sana. Ndio unaweza kutrack TV Yako iliyoibiwa. Je wezi wakiumiza familia Yako wakati wa kuiba inakuwajewakati unatangaza bidhaa yako acha kupondea ya mwenzako vinginevyo hutoeleweka.
KWANI HUWEZI KUTANGAZA BIASHARA YAKO BILA KUKANDIA YA MTU MWINGINE!?Onyo ACHA Kuweka GPS kwenye TV: GPS Haitakukinga Usiku ukiibiwa
1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.
2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni huu: GPS haiwezi kuzuia mwizi kuingia ndani.
3/
Ukigundua TV imeibiwa:
4/
- Mwizi tayari ameshaondoka
- Dirisha limevunjwa
- Familia yako imetikiswa au hata kuumizwa
Wezi wa sasa ni hatari.
Wanaweza kushambulia, kuwafunga watu, au hata kujeruhi ikiwa watakutwa wakivunja.
TV haiwezi kuwa muhimu kuliko usalama wa familia yako.
5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.
6/
🚨 Inavyofanya kazi:
7/
- Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
- Alarm inalia papo hapo
- Unapokea taarifa kwenye simu yako
- Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Kuzuia ni bora kuliko kufuatilia.
8/
Linda familia yako. Acha kutegemea GPS kwenye TV.
Wekeza kwenye alarm ya wireless itakayokulinda wewe na wapendwa wako.
TUPIGIE TUKUSHAURI
0710141917
AINA ZA ALARM UNAZOFAA KUWEKA DIRISHANI
STAND ALONE ALARM 8000
View attachment 3397117
WIRELESS ALARM
View attachment 3397118View attachment 3397119View attachment 3397120
WIRELESS ALARM
250,000 A ALARM
1 motion sensor
1 window sensor
325,000 B ALARM
2 motion sensor
3 window sensor
450,000 C ALARM
8 window sensor
2 motion sensor
extra sensor
30,000
COMMERCIAL INTRUDER ALARM
2,500,000
TUPIGIE TUKUSHAURI 0710141917
Kwa hy wauzaji wa GPS walale njaa kisa wewe na alarm zako, be creative lkn sio kutaka kufanya wengine wanauza pumba kwmb ww ndo wauza mchele! Ubinafsi sio poa!!Onyo ACHA Kuweka GPS kwenye TV: GPS Haitakukinga Usiku ukiibiwa
1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.
2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni huu: GPS haiwezi kuzuia mwizi kuingia ndani.
3/
Ukigundua TV imeibiwa:
4/
- Mwizi tayari ameshaondoka
- Dirisha limevunjwa
- Familia yako imetikiswa au hata kuumizwa
Wezi wa sasa ni hatari.
Wanaweza kushambulia, kuwafunga watu, au hata kujeruhi ikiwa watakutwa wakivunja.
TV haiwezi kuwa muhimu kuliko usalama wa familia yako.
5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.
6/
🚨 Inavyofanya kazi:
7/
- Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
- Alarm inalia papo hapo
- Unapokea taarifa kwenye simu yako
- Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Kuzuia ni bora kuliko kufuatilia.
8/
Linda familia yako. Acha kutegemea GPS kwenye TV.
Wekeza kwenye alarm ya wireless itakayokulinda wewe na wapendwa wako.
TUPIGIE TUKUSHAURI
0710141917
AINA ZA ALARM UNAZOFAA KUWEKA DIRISHANI
STAND ALONE ALARM 8000
View attachment 3397117
WIRELESS ALARM
View attachment 3397118View attachment 3397119View attachment 3397120
WIRELESS ALARM
250,000 A ALARM
1 motion sensor
1 window sensor
325,000 B ALARM
2 motion sensor
3 window sensor
450,000 C ALARM
8 window sensor
2 motion sensor
extra sensor
30,000
COMMERCIAL INTRUDER ALARM
2,500,000
TUPIGIE TUKUSHAURI 0710141917
Nitalifanyia kazi ushauri wakoKWANI HUWEZI KUTANGAZA BIASHARA YAKO BILA KUKANDIA YA MTU MWINGINE!?
Wakija wanyama au ndege haisomi?5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.
6/
🚨 Inavyofanya kazi:
7/
- Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
- Alarm inalia papo hapo
- Unapokea taarifa kwenye simu yako
- Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Asante Kwa ushauriKwa hy wauzaji wa GPS walale njaa kisa wewe na alarm zako, be creative lkn sio kutaka kufanya wengine wanauza pumba kwmb ww ndo wauza mchele! Ubinafsi sio poa!!
Kuna sensor ambazo ni pet-immune kwahiyo haziwezi kusumbuaWakija wanyama au ndege haisomi?
Nitalifanyia kazi Ili swala na kurudi btena ubaoniMkuu bado hujaiva vizuri kwenye biashara unayofanya, kuna vingi umeviacha kuelezea na umechanganywa mambo sana,
Tulia andika upya tushawishike, umeeleza juu juu tu.
Wabongo tunakwama sana kwenye advertising, ingekuwa ni wale wa ulaya huko na kwingineko wanafafanua kila kitu
😅😅😅😅USITUONYE WEWE, eti Onyo Tv yangu,Nyumba yangu unanionya!
Uza biashara lala mbele