Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Tangazo la KIPUMBAVUNgoja wakuibie kwanza ndio utalikumbuka hili tangazo la kipumbavu
Tangazo la KIPUMBAVUNgoja wakuibie kwanza ndio utalikumbuka hili tangazo la kipumbavu
Kuna tofauti ya mwizi na jambaziHio alarm inazuia panga?
inakamata mwizi?
Tangazo lako la biashara zuri, ila namna ya kuwasilisha umekosea.Kabla ya kufunga GPS Kwenye tv zingatia haya
1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.
2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni huu:
GPS itakusaidia kufuatilia TV Yako iliyoibiwa, unaweza ukaipata tv
Wezi wanambinu mbali mbali kama wakifanikiwa kuitoa hiyo gps kamwe huwezi kupata Mali Yako yoyote iliyoibiwa.
GPS haiwezi kuzuia mwizi kuingia ndani.
Umewekeza pekee kwenye TV Yako na GPS, je vipi kuhusu simu Yako na laptop Yako au Mali zako nyingine
3/
Ukigundua TV imeibiwa:
4/
- Mwizi tayari ameshaondoka
- Dirisha limevunjwa
- Familia yako imetikiswa au hata kuumizwa
- Kama umefunga GPS unaweza kufuatilia, Kuna mambo mawili. Unaweza kumpata TV Yako au kuikosa
Wezi wa sasa ni hatari.
Wanaweza kushambulia, kuwafunga watu, au hata kujeruhi ikiwa watakutwa wakivunja.
Mali za nyumbani Yako haiwezi kuwa muhimu kuliko usalama wa familia yako.
5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.
6/
🚨 Inavyofanya kazi:
7/
- Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
- Alarm inalia papo hapo
- Unapokea taarifa kwenye simu yako
- Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Kuzuia ni bora kuliko kufuatilia.
8/
Linda familia yako, Mali zako
Wekeza kwenye alarm ya wireless itakayokulinda wewe na wapendwa wako.
TUPIGIE TUKUSHAURI
0710141917
AINA ZA ALARM UNAZOFAA KUWEKA DIRISHANI
STAND ALONE ALARM 8000
View attachment 3397117
WIRELESS ALARM
View attachment 3397118View attachment 3397119View attachment 3397120
WIRELESS ALARM
250,000 A ALARM
1 motion sensor
1 window sensor
325,000 B ALARM
2 motion sensor
3 window sensor
450,000 C ALARM
8 window sensor
2 motion sensor
extra sensor
30,000
COMMERCIAL INTRUDER ALARM
2,500,000
TUPIGIE TUKUSHAURI 0710141917
Asante Kwa ushauri, nitarekebishaTangazo lako la biashara zuri, ila namna ya kuwasilisha umekosea.
Gps ni biahsara kama hayo ma alarm yako, ulitakiwa usiponde lolote kuhusu GPs ila itangaze yako kwa weredi.
Hongera Kwa kufanikiwa Kwa Hilo kupata kifaa chako. Vyote ni muhimu gps na alarm vikifanya kazi Kwa pamojaMimi aisee najua mtaa ninaoishi alarm ni jirani nikisikia mwiziiiii najua wapo apo kwa jirani.
Kingine vijana wanaokaa hapa wapo active ile mbya,wakiskia chwaa chwaa chwaa za viatu wanauliza nani apo nje.
Kwakweli sihitaji hii kitu.
by the way nilishawahi ibiwa ps3 saa 10 usiku, kufika saa 5 tushakamata mwizi katupeleka bugurini alikouza, na aliye muuzia tulimkata kesho yake, jioni mpk saa 2 ps iko ndani kwangu.
Acha tu ndugu yangu, Kila mtu anajua siku hiziKutoa Tangazo kwa Wasomi kazi mno😀
Mwanasheria wangu Bado hajamaliza masomo. Kasema nisithubutu kujibuSamahani mwenyekiti nauliza zinaweza kuzuia na majizi ya kiserikali yasizikaribie kodi zetu kwa nia ya kuzikwapua
Zipo nyumbani.Hiyo alarm inanisaidiaje?KAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.
Sawa mkuu naombaKabla ya kufunga GPS Kwenye tv zingatia haya
1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.
2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni huu:
GPS itakusaidia kufuatilia TV Yako iliyoibiwa, unaweza ukaipata tv
Wezi wanambinu mbali mbali kama wakifanikiwa kuitoa hiyo gps kamwe huwezi kupata Mali Yako yoyote iliyoibiwa.
GPS haiwezi kuzuia mwizi kuingia ndani.
Umewekeza pekee kwenye TV Yako na GPS, je vipi kuhusu simu Yako na laptop Yako au Mali zako nyingine
3/
Ukigundua TV imeibiwa:
4/
- Mwizi tayari ameshaondoka
- Dirisha limevunjwa
- Familia yako imetikiswa au hata kuumizwa
- Kama umefunga GPS unaweza kufuatilia, Kuna mambo mawili. Unaweza kumpata TV Yako au kuikosa
Wezi wa sasa ni hatari.
Wanaweza kushambulia, kuwafunga watu, au hata kujeruhi ikiwa watakutwa wakivunja.
Mali za nyumbani Yako haiwezi kuwa muhimu kuliko usalama wa familia yako.
5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.
6/
🚨 Inavyofanya kazi:
7/
- Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
- Alarm inalia papo hapo
- Unapokea taarifa kwenye simu yako
- Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Kuzuia ni bora kuliko kufuatilia.
8/
Linda familia yako, Mali zako
Wekeza kwenye alarm ya wireless itakayokulinda wewe na wapendwa wako.
TUPIGIE TUKUSHAURI
0710141917
AINA ZA ALARM UNAZOFAA KUWEKA DIRISHANI
STAND ALONE ALARM 8000
View attachment 3397117
WIRELESS ALARM
View attachment 3397118View attachment 3397119View attachment 3397120
WIRELESS ALARM
250,000 A ALARM
1 motion sensor
1 window sensor
325,000 B ALARM
2 motion sensor
3 window sensor
450,000 C ALARM
8 window sensor
2 motion sensor
extra sensor
30,000
COMMERCIAL INTRUDER ALARM
2,500,000
TUPIGIE TUKUSHAURI 0710141917
Karibu sana, namba zangu hizo hapo tuwasilianeSawa mkuu naomba
Wizi mwingi siku hizi ni wa madirishani. Wezi wanabanjua madirisha ya aluminum, hata kama Umefunga wanaweza kuyafungua.Zipo nyumbani.Hiyo alarm inanisaidiaje?
mbona unatulazimisha sasa.KAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.
Na anaye iba tv ni mdokozi au kibaka tu sio mwiziHuyu mwizi wa kutoboa ukuta huyu ni jambazi ambaye amedhamiria kujua kabisa, hakuna mwizi
Wewe umeniambia haijakaa vizuri nakuelewa,
Na Mimi pia najaribu kuwaelewesha kwani Nini nimesema hivyo
Ujumbe umefika mkuu, nitalifanyia kaziMwanzo nilifikiri ametumia mbinu ya reverse psychology.
Kwamba anataka watu wapate huduma ya GPS kwake Ila katumia mbinu ya kumshawisho mtu asome tangazo lake.
Kumbe sivyo, anatangaza biashara ya Burglar Alarm + movement sensors.
Hiyo heading (title) haipo sawa.
Yes kweli ni kibaka tu, inabidi tuongezee ulinzi kwenye nyumbani zetuNa anaye iba tv ni mdokozi au kibaka tu sio mwizi