Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

Mimi nafunga hivi vitu GPS Kwenye tv. Lakini ukiangalia kiusalama GPS haisaidi sana. Ndio unaweza kutrack TV Yako iliyoibiwa. Je wezi wakiumiza familia Yako wakati wa kuiba inakuwaje
Usitumie logic hii.
Haina mashiko.
 
KAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.
Chifu, kubali huna advertisement skills! Hutakiwi kuiponda pilau ili uuze biriani bali tafuta namna ya kuuza pilau na biriani kwa sababu always, kutakuwa na die hard fans wa pilau na die hard fans wa pilau! Bring them together.

Tangazo lako lilipaswa kuwa na content kama ifuatayi:

Kutokana na matukio ya wizi kuongezeka, hususani wizi wa vifaa vya electronics, watu wengi wamekuwa wakitumia GPS zitazowesha ku-track vifaa pale vinapoibiwa! Ingawaje njia hii inasaidia, lakini ina mapungufu yake ni kwamba, unapofunga GPS peke yake ni kama unajiandaa na kuibiwa ndipo uanze kutafuta ulichoibiwa kwa kufanya tracking. Na ikitokea wezi wenyewe wana uelewa, na kwa sasa wengi wanafahamu suala la GPS, wakishaiba tu kitakachofuata ni kuondoa GPS, na kuelekea naYo eneo tofauti na hivyo kukupoteza maboya na hatimae suala la tracking kuwa gumu au kufa kabisa!

Sasa kwanini usubiri hadi kuibiwa ndipo uanze kutafuta vifaa vyako? Hapa tunakuletea Security Combo (hilo neno unatunga tu, coz' that's how the business works- KUJIONGEZA)! Kama tayari umefunga GPS kwenye vifaa vyako kwa imani utavi-track vikishaibiwa, weka na Wireless Alarm kuzuia uwezekano wa kuibiwa kwa sababu alarm itapiga kelele mara wezi wanapokaribia dirishani! Na hata inapotokea ni wezi sugu wasiotishwa na alarm, bado watafanya tukio wakati mmeshaamka na hivyo kuwarahisishia kufanya tracking mapema zaidi!

NOTE: Kuwapa Confidence zaidi, jiongezeni kwa kuwatafutia Wateja Namba za Simu za Vituo vya Polisi vya Jirani na hilo liwe ni moja ya package ya matangazo yenu! Kwa mtindo huo inakuwa umeingia akilini kwa Mteja kwa 100% kwa sababu hawa wateja sio wapumbavu!! Wanajua kuna wezi wanaiba mchana kweupee, ndo waogope alarm? Na pia wanafahamu weakness za kutumia GPS peke yake hata kama wanazitumia! Na hapo badala ya kuponda GPS, kumbe GPS hatimae zinakuwa moja ya products zako! Wale wanaoamini katika GPS wataendelea kununua kwako GPS huku wakiamini baadae wanaweza kuongeza security layer kwa kununua alarm kuliko kumwanisha Alarm ndo kila kitu wakati watu wanaiba hata mbele ya polisi!

Sasa ukishampa "Security Combo" mteja anajua kabisa 1. Mwizi mwoga ataishia dirishani na kukimbia kwahiyo Alarm ndo imemsaidia, 2. Mwizi Sugu hataogoa alarm na hivyo ataingia hadi ndani na kuiba, kwahiyo alarm hapo haijamsaidia! 3. Kwavile atakuwa ameibiwa wakati yupo macho, ile wezi wanatoka tu ataweza kuwasiliana na polisi huku wakifanya tracking!

Sitashangaa polisi wakikosa msaada lakini wewe tayari umeshatengeneza mazingira ya kumlinda mteja kwa kiwango kikubwa na hayo mengine yapo nje ya uwezo wako! Na kwa m
 
asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom