KAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.Hio alarm inazuia panga?
inakamata mwizi?
Umesema GPS haisaidii kuzuia weziKAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.
Onyo ACHA Kuweka GPS kwenye TV: GPS Haitakukinga Usiku ukiibiwa
1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.
2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni huu: GPS haiwezi kuzuia mwizi kuingia ndani.
3/
Ukigundua TV imeibiwa:
4/
- Mwizi tayari ameshaondoka
- Dirisha limevunjwa
- Familia yako imetikiswa au hata kuumizwa
Wezi wa sasa ni hatari.
Wanaweza kushambulia, kuwafunga watu, au hata kujeruhi ikiwa watakutwa wakivunja.
TV haiwezi kuwa muhimu kuliko usalama wa familia yako.
5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.
6/
🚨 Inavyofanya kazi:
7/
- Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
- Alarm inalia papo hapo
- Unapokea taarifa kwenye simu yako
- Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Kuzuia ni bora kuliko kufuatilia.
8/
Linda familia yako. Acha kutegemea GPS kwenye TV.
Wekeza kwenye alarm ya wireless itakayokulinda wewe na wapendwa wako.
TUPIGIE TUKUSHAURI
0710141917
AINA ZA ALARM UNAZOFAA KUWEKA DIRISHANI
STAND ALONE ALARM 8000
View attachment 3397117
WIRELESS ALARM
View attachment 3397118View attachment 3397119View attachment 3397120
WIRELESS ALARM
250,000 A ALARM
1 motion sensor
1 window sensor
325,000 B ALARM
2 motion sensor
3 window sensor
450,000 C ALARM
8 window sensor
2 motion sensor
extra sensor
30,000
COMMERCIAL INTRUDER ALARM
2,500,000
TUPIGIE TUKUSHAURI 0710141917
Kwani Kila siku panya road ndio wanakuibia TV na mapanga. Yaani unataka kuleta ligu ambayo Haina mpango. Kama wote wanaoibiwa simu madirishani na TV kwani zinazotumika ni panga? Acha kujitoa ufahamuUmesema GPS haisaidii kuzuia wezi
Niambie alarm hio inawezaje kuzuia wizi wa panya road unaibiwa na panga mkonon
mwamba anatumia mbinu za kizamani sana, nenda kwa demu mkandie jamaa yake ili amuache umpate.Kwani wanaweka GPS kwenye TV kuzuia wezi kuingia au kuwezesha kui track ikiibiwa?
Tangazo lako halina mvuto, ubunifu sifuri
Alarm haitumi Internet. Unaweza kuweka laini ya simu ikawa inakutumia sms za kawaida pale ambapo Kuna tukio. Au wakati ukitaka kuiwasha na kuzima unaweza kutuma SMSHebu tueleze zaidi kidogo kuhusu Alarm inavyofanya kazi
Ina internet au inatumia internet ipi?
Je kusipokuwa na internet inafanya kazi?
Kaka Mimi nafunga GPS Kwenye magari, tv, pikipiki Kila sehemu. Lakini solution ya kwenye TV sio kabisa, maana mwizi anakuwa ameshaingia ndani ya nyumbani, na kama anataka kukudhhuru atakufanya chochote kile. Zama za siku hizi wezi hawaogopa GPS Wala CCTV camera. Wanakuibia kama kawaida tuWe jamaa nani alikwambia kuwa GPS inapambana au kumzuia mwizi asiibe?
GPS inasaidia ku track na kufahamu Mali husika ilipo na hatimaye kuikamata.
Tangazo lako halikuoaswa kudharau GPS ungefanikiwa vizuri tu.
Hujawahi kuibiwa ndio maana unasema hayo. Wakishakuibia ndio utaanza kutafuta hizi alarmmwamba anatumia mbinu za kizamani sana, nenda kwa demu mkandie jamaa yake ili amuache umpate.
only idiots do that in this era
Ngoja wakuibie kwanza ndio utalikumbuka hili tangazo la kipumbavuTangazo la KIPUMBAVU.
Tangazo lako la hovyoKwani Kila siku panya road ndio wanakuibia TV na mapanga. Yaani unataka kuleta ligu ambayo Haina mpango. Kama wote wanaoibiwa simu madirishani na TV kwani zinazotumika ni panga? Acha kujitoa ufahamu
Asante kaka Kwa kunisaidia hapa, maana watu wanamihemuko ya ajabu. Hawajawai kuibiwa kupitia madirishani.Naunga mkono hoja. Niliibiwa mara mbili ndani ya wiki. Nikaweka alarm madiridhani na mlangoni. Yule jamaa alikuja mara mbili tena Kila akija alarm inalia anasepa. Lakini pia alarm ikilia tunaamka inakuaje rahisi kujisaidia, maana mara zote tuliibiwa tukiwa usingizini.
Hasara ya alarm ni kwamba hata paka akipita inalia inaleta hofu. Kingine ni usumbufu.
Hao wa mabavu ni kweli wanaweza wasizuiliwe na alarm lakini case nyingi za wizi sio hizo za mabavu.
Asante sana, hujawahi kuibiwa kupitia dirishaniTangazo lako la hovyo
Au hauoni hata majibu ya wachangiaji wengine?
Na ufunge alarm kichwani kwako ukikosolewa ukubaliAsante sana, hujawahi kuibiwa kupitia dirishani
Ukijakuibiwa naomba ulikumbuke hili tangazo la ovyo