Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

Umesema GPS haisaidii kuzuia wezi
Niambie alarm hio inawezaje kuzuia wizi wa panya road unaibiwa na panga mkonon
Kazi ya gps sio kuzuia mwizi ila ni kutrack tv yako poppte itakapopel3kwa

Alam hizo ni uongo tu zipo kwa ajili ya aneyepita mlango au dirishani pale anapofungua

Je mwiz anayetoboa ukuta?
 
We jamaa mleta mada. Una majibu mabovu kwa wateja. Huna kauli nzuri kwa wateja.
 
Kazi ya gps sio kuzuia mwizi ila ni kutrack tv yako poppte itakapopel3kwa

Alam hizo ni uongo tu zipo kwa ajili ya aneyepita mlango au dirishani pale anapofungua

Je mwiz anayetoboa ukuta?
Huyu mwizi wa kutoboa ukuta huyu ni jambazi ambaye amedhamiria kujua kabisa, hakuna mwizi
Na ufunge alarm kichwani kwako ukikosolewa ukubali
Wewe ni salesman lazima ujue ku approach mteja

Unaambiwa setup yako haijakaa vizuri unaleta NYE NYE NYE
Wewe umeniambia haijakaa vizuri nakuelewa,
Na Mimi pia najaribu kuwaelewesha kwani Nini nimesema hivyo
 
wakati unatangaza bidhaa yako acha kupondea ya mwenzako vinginevyo hutoeleweka.
Mimi nafunga hivi vitu GPS Kwenye tv. Lakini ukiangalia kiusalama GPS haisaidi sana. Ndio unaweza kutrack TV Yako iliyoibiwa. Je wezi wakiumiza familia Yako wakati wa kuiba inakuwaje
 
KWANI HUWEZI KUTANGAZA BIASHARA YAKO BILA KUKANDIA YA MTU MWINGINE!?
 
Kwa hy wauzaji wa GPS walale njaa kisa wewe na alarm zako, be creative lkn sio kutaka kufanya wengine wanauza pumba kwmb ww ndo wauza mchele! Ubinafsi sio poa!!
 
Wakija wanyama au ndege haisomi?
 
Kwa hy wauzaji wa GPS walale njaa kisa wewe na alarm zako, be creative lkn sio kutaka kufanya wengine wanauza pumba kwmb ww ndo wauza mchele! Ubinafsi sio poa!!
Asante Kwa ushauri
 
Mkuu bado hujaiva vizuri kwenye biashara unayofanya, kuna vingi umeviacha kuelezea na umechanganywa mambo sana,

Tulia andika upya tushawishike, umeeleza juu juu tu.

Wabongo tunakwama sana kwenye advertising, ingekuwa ni wale wa ulaya huko na kwingineko wanafafanua kila kitu
 
Nitalifanyia kazi Ili swala na kurudi btena ubaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…