Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

Mimi aisee najua mtaa ninaoishi alarm ni jirani nikisikia mwiziiiii najua wapo apo kwa jirani.
Kingine vijana wanaokaa hapa wapo active ile mbya,wakiskia chwaa chwaa chwaa za viatu wanauliza nani apo nje.
Kwakweli sihitaji hii kitu.
by the way nilishawahi ibiwa ps3 saa 10 usiku, kufika saa 5 tushakamata mwizi katupeleka bugurini alikouza, na aliye muuzia tulimkata kesho yake, jioni mpk saa 2 ps iko ndani kwangu.
 
Tangazo lako la biashara zuri, ila namna ya kuwasilisha umekosea.

Gps ni biahsara kama hayo ma alarm yako, ulitakiwa usiponde lolote kuhusu GPs ila itangaze yako kwa weredi.
 
Tangazo lako la biashara zuri, ila namna ya kuwasilisha umekosea.

Gps ni biahsara kama hayo ma alarm yako, ulitakiwa usiponde lolote kuhusu GPs ila itangaze yako kwa weredi.
Asante Kwa ushauri, nitarekebisha
 
Hongera Kwa kufanikiwa Kwa Hilo kupata kifaa chako. Vyote ni muhimu gps na alarm vikifanya kazi Kwa pamoja
 
Samahani mwenyekiti nauliza zinaweza kuzuia na majizi ya kiserikali yasizikaribie kodi zetu kwa nia ya kuzikwapua
Mwanasheria wangu Bado hajamaliza masomo. Kasema nisithubutu kujibu
 
KAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.
Zipo nyumbani.Hiyo alarm inanisaidiaje?
 
Sawa mkuu naomba
 
Zipo nyumbani.Hiyo alarm inanisaidiaje?
Wizi mwingi siku hizi ni wa madirishani. Wezi wanabanjua madirisha ya aluminum, hata kama Umefunga wanaweza kuyafungua.
Hizi alarm utakapoweka dirishani, mwizi akijaribu kufungua dirisha alarm itapiga kelele tu. Hapo mwizi hawezi kubaki
 
KAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.
mbona unatulazimisha sasa.

Ulikuwa huna haja ya kuponda biashara ya mwenzio. lengo lako lilkuwa kutangaza biashara yako ungeenda moja kwa moja kwenye maada sio kuponda watangulizi wako

Nyau ww
 
Huyu mwizi wa kutoboa ukuta huyu ni jambazi ambaye amedhamiria kujua kabisa, hakuna mwizi

Wewe umeniambia haijakaa vizuri nakuelewa,
Na Mimi pia najaribu kuwaelewesha kwani Nini nimesema hivyo
Na anaye iba tv ni mdokozi au kibaka tu sio mwizi
 
Mwanzo nilifikiri ametumia mbinu ya reverse psychology.
Kwamba anataka watu wapate huduma ya GPS kwake Ila katumia mbinu ya kumshawishi mtu asome tangazo lake.
Kumbe sivyo, anatangaza biashara ya Burglar Alarm + movement sensors.
Hiyo heading (title) haipo sawa.
 
Ujumbe umefika mkuu, nitalifanyia kazi
 
Huu wizi wa Tv kuisha ni very simple to deal na wanunuzi wa hizi TV za wizi. Basi wizi utaisha fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…