Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hivi kati ya wazungu na waafrika kina nani hawana hofu ya Mungu?Either,
Sera mbovu, rushwa, siasa uchwara, elimu ndogo na mengine mengi uliyotaja kama sababu za kuzuia mafanikio, ni matokeo ya taifa kuwa na kundi kubwa la watu wasiokuwa na hofu ya Mungu.
Wazungu na waarabu kuteka babu zako, kuwaua na kuwapeleka utumwani kinguvu na kimabavu sio uovu mkubwa huo?Sisi wa Hili kundi tumeanza kumsifu Mungu tukiwa tullishapoteza mwelekeo wa ki Mungu na kimaisha aidha sisi wenyewe ama wazazi wetu, Kwa kuishi mbali na maelekezo ya Mungu ama kufanya maovu makubwa.
Hapa tunahitaji rehema za Mungu Kwa ajili ya maisha ya baadae(maisha baada ya kufa) na neema ya kutuwezesha kuishi hapa duniani maisha yanayobaki.
Hata hivo , tuna furaha na amani tele Kwa kiwango Cha maisha tunachoishi.
Kwetu haya ni mafanikio makubwa,
Maana Mungu wetu ametufundisha kuwa navyo na kupungukiwa, kushiba na kuwa na njaa nk.nk.nk.
Risk controller yeyote, lazima ajue ku predict risk and how to overcome.Kwanini unawaza kufika hiyo hatua ya kukosa kodi?
Maisha ni kuwa na PESA bank na cash flow na hisa kadhaa
Hata definition ya mafanikio ni tofauti kati Yako wewe na sisi timwombao Mungu kila siku.Nakwambia hivi [emoji116]
Habari za kusema vijana hawafanikiwi kwa sababu eti hawamuombi Mungu ni uongo.
Kuna kundi kubwa la vijana wanasali na kumuomba huyo Mungu wafanikiwe lakini bado vijana hao ni maskini choka mbaya.
Hakuna uhusiano wowote wa mtu kufanikiwa na huyo Mungu.
Kuunganisha mafanikio ya mtu na Mungu ni dhana ya uongo isiyo na mantiki
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hamjafanikiwa ila mnajifariji na umaskini wenu.Hata definition ya mafanikio ni tofauti kati Yako wewe na sisi timwombao Mungu kila siku.
Kwa hiyo utuache.
Wenzio twajiona tumefanikiwa.
Huyu jamaa kila kifungu anachoona kina muelekeo huwa anachomoa tuu na kukiquote bila kujali mazingira na maudhui ya mwandishi wa kuabu husikaKumbukumbu la torati imeelezea baraka na si mafanikio.
😅😅Kufanikiwa ni Jina lako kuandikwa katika KITABU Cha Uzima Mbinguni.
Nyumba na gari kitu Gani, hata mwewe na kunguru Wana nyumba!!
Haya maisha wote hatuepuki future uncertainities ila cha msingi ni kuishi vyema katika kila siku ambayo Mungu anayokubariki nayoUmeweza kugusa na kusadifu huu msamiati ama methali. Làkini yote kwa yote ni kutenda mema. Màana hata hao wavivu wasio na sifa walioko humu bado hawajafika. Namaanisha anytime wanaweza kupatwa na lolote (siwaombei) mpk pale watapolipa gharama.
Majina yote mazuri ni Yako unique.Majina mengine bhana
Hamjafanikiwa ila mnajifariji na umaskini wenu.
Yani unaishi kwenye taifa ambalo umeme shida, maji shida, sukari shida, miundombinu mibovu ya kuunga unga halafu unasema mmefanikiwa..!!
Ndio maana Faiza foxy anasema watanzania wengi mlienda shule kusomea ujinga...
Hali halisi ya maisha ya watanzania wengi ni Hohehae maskini choka mbaya.
Endeleeni kupotoshwa na imani za dini zenu hizo kwamba kuna maisha bora ya kufikirika mbinguni.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hata kukopa ni mtihani yaani ukope mkpo wa miaka 6 mbele kwa ajili ya kujenga nyumba tu nalo ni tatizo.Nimekupenda bure
Mimi sipendekezi watu waishi nyumba za kupanga, bali watu wajenge nyumba ndogo za uwezo na mahitaji yao halisi siyo kujenga jumba kubwa kwa ajili ya ufahali tu
Bora kujenga hata chumba na sebule lakini utakuwa kwako na amani ya kutosha
Shida ya kupanga ni kuwa biashara hazieleweki kuna wakati utakuja kuishiwa hela ya kulipa kodi utajuta sana
Kwanini umejiita hilo jinaMajina yote mazuri ni Yako unique.
Hizi ni nchi za watu waliolaaniwa. Third world kila kitu msala... Hata ukifa Leo maiti yako haipunziki watakuja wachawi kukata nyama wakukule.Mbona watu wanoishi dunia ya kwanza wanatimiza hayo malengo Kama nyumba ,gari na kuwa na familia nzuri under 30 yrs.
Mimi naamini katika MUNGU Ila pia naamini MTU kuishi below the average hutokana na mindset na mifumo ya nchi husika.
Most of commentators wanaamini kwenye Dunia iliyo ya mungu.. hatuwez kuweka logic za kisomi au kisayansi kama Kuna mungu katikatiHili andiko tukilijadili kwa kutumia Logic bila ya kutumia hisia za huyo Mungu litakuwa na faida nyingi mno
Upo sahihi mkuuHizi ni nchi za watu waliolaaniwa. Third world kila kitu msala... Hata ukifa Leo maiti yako haipunziki watakuja wachawi kukata nyama wakukule.
Most of commentators wanaamini kwenye Dunia iliyo ya mungu.. hatuwez kuweka logic za kisomi au kisayansi kama Kuna mungu katikati