Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Either,
Sera mbovu, rushwa, siasa uchwara, elimu ndogo na mengine mengi uliyotaja kama sababu za kuzuia mafanikio, ni matokeo ya taifa kuwa na kundi kubwa la watu wasiokuwa na hofu ya Mungu.
Hivi kati ya wazungu na waafrika kina nani hawana hofu ya Mungu?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sisi wa Hili kundi tumeanza kumsifu Mungu tukiwa tullishapoteza mwelekeo wa ki Mungu na kimaisha aidha sisi wenyewe ama wazazi wetu, Kwa kuishi mbali na maelekezo ya Mungu ama kufanya maovu makubwa.
Hapa tunahitaji rehema za Mungu Kwa ajili ya maisha ya baadae(maisha baada ya kufa) na neema ya kutuwezesha kuishi hapa duniani maisha yanayobaki.
Hata hivo , tuna furaha na amani tele Kwa kiwango Cha maisha tunachoishi.
Kwetu haya ni mafanikio makubwa,
Maana Mungu wetu ametufundisha kuwa navyo na kupungukiwa, kushiba na kuwa na njaa nk.nk.nk.
Wazungu na waarabu kuteka babu zako, kuwaua na kuwapeleka utumwani kinguvu na kimabavu sio uovu mkubwa huo?

Mbona wao wana maendeleo makubwa kushinda sisi?

Halafu wewe mwafrika unayejifanya kumjua sana huyo Mungu umebaki maskini choka mbaya, serikali yako inanuka madeni na mikopo.

Kama kweli " maovu" hufanya taifa fulani lisifanikiwe, nieleze ni maovu yapi waafrika walifanya yakasababisha tushindwe kuwa na maendeleo?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nakwambia hivi [emoji116]

Habari za kusema vijana hawafanikiwi kwa sababu eti hawamuombi Mungu ni uongo.

Kuna kundi kubwa la vijana wanasali na kumuomba huyo Mungu wafanikiwe lakini bado vijana hao ni maskini choka mbaya.

Hakuna uhusiano wowote wa mtu kufanikiwa na huyo Mungu.

Kuunganisha mafanikio ya mtu na Mungu ni dhana ya uongo isiyo na mantiki

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hata definition ya mafanikio ni tofauti kati Yako wewe na sisi timwombao Mungu kila siku.
Kwa hiyo utuache.
Wenzio twajiona tumefanikiwa.
 
Hata definition ya mafanikio ni tofauti kati Yako wewe na sisi timwombao Mungu kila siku.
Kwa hiyo utuache.
Wenzio twajiona tumefanikiwa.
Hamjafanikiwa ila mnajifariji na umaskini wenu.

Yani unaishi kwenye taifa ambalo umeme shida, maji shida, sukari shida, miundombinu mibovu ya kuunga unga halafu unasema mmefanikiwa..!!

Ndio maana Faiza foxy anasema watanzania wengi mlienda shule kusomea ujinga...

Hali halisi ya maisha ya watanzania wengi ni Hohehae maskini choka mbaya.

Endeleeni kupotoshwa na imani za dini zenu hizo kwamba kuna maisha bora ya kufikirika mbinguni.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Umeweza kugusa na kusadifu huu msamiati ama methali. Làkini yote kwa yote ni kutenda mema. Màana hata hao wavivu wasio na sifa walioko humu bado hawajafika. Namaanisha anytime wanaweza kupatwa na lolote (siwaombei) mpk pale watapolipa gharama.
Haya maisha wote hatuepuki future uncertainities ila cha msingi ni kuishi vyema katika kila siku ambayo Mungu anayokubariki nayo
 
Hamjafanikiwa ila mnajifariji na umaskini wenu.

Yani unaishi kwenye taifa ambalo umeme shida, maji shida, sukari shida, miundombinu mibovu ya kuunga unga halafu unasema mmefanikiwa..!!

Ndio maana Faiza foxy anasema watanzania wengi mlienda shule kusomea ujinga...

Hali halisi ya maisha ya watanzania wengi ni Hohehae maskini choka mbaya.

Endeleeni kupotoshwa na imani za dini zenu hizo kwamba kuna maisha bora ya kufikirika mbinguni.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Umasikini unajua maana yake , ikiwa bakhressa anaswali swala tano Mimi nisipige goti
 
Nimekupenda bure

Mimi sipendekezi watu waishi nyumba za kupanga, bali watu wajenge nyumba ndogo za uwezo na mahitaji yao halisi siyo kujenga jumba kubwa kwa ajili ya ufahali tu

Bora kujenga hata chumba na sebule lakini utakuwa kwako na amani ya kutosha

Shida ya kupanga ni kuwa biashara hazieleweki kuna wakati utakuja kuishiwa hela ya kulipa kodi utajuta sana
Hata kukopa ni mtihani yaani ukope mkpo wa miaka 6 mbele kwa ajili ya kujenga nyumba tu nalo ni tatizo.
 
Mbona watu wanoishi dunia ya kwanza wanatimiza hayo malengo Kama nyumba ,gari na kuwa na familia nzuri under 30 yrs.

Mimi naamini katika MUNGU Ila pia naamini MTU kuishi below the average hutokana na mindset na mifumo ya nchi husika.
Hizi ni nchi za watu waliolaaniwa. Third world kila kitu msala... Hata ukifa Leo maiti yako haipunziki watakuja wachawi kukata nyama wakukule.
 
Back
Top Bottom