Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 590
- 630
Waafrika.Hivi kati ya wazungu na waafrika kina nani hawana hofu ya Mungu?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Gape ya maskin na tajiri ni calculative. Inawez kupunguzwa vizur kabisa bila ya uwepo wa mungu katikati.Ahaaa 😁😁😁shusha madini
Tembea uone.Waafrika.
Kwani hakuna waafrika walio amua kumwamini Mungu kwelikweli?Wazungu walioamua kumwamini Mungu wanamwamini kweli kweli.
Kwani wazungu wote wanao mwamini mungu wana uthabiti wa imani?Kinachotuponza waafrika ni kwamba, hata wale tunaomwamini Mungu, wengi wetu hatuna uthabiti wa Imani,
NAKAZIA 📌🔨Gape ya maskin na tajiri ni calculative. Inawez kupunguzwa vizur kabisa bila ya uwepo wa mungu katikati.
So, mafanikio kwa namna Fulani yanawezekana hata below 20s. Lakin hii ni ngum kutokea kwa nchi hizi za third world mana mfumo ule ule wa kibepari huku umekuwa nganganga.
Sio talent, sio elimu Wala biashara hali huku ni tete. So, mifumo yenyew ilivyo tu si rafiki. Elimu utaiona invalid, inefficient na Haina uwezo wa kumvusha kijana walau kujitegemea tu bila nguvu ya ziada. Angalia pia kwenye talent na biashara. Kilimo nchi hii kwenye makaratas ni backbone lakin kiuhalisia ni neglected sectoral.
Kuna muda Hawa wanaoamin kwamba Afrika kuungana na kujitegemea ni suluhu la kuendelea kwa Afrika wako sahihi. Umaskin unaletwa na utegemez wa nje ndo huo unaochagiza umaskin wa mtu mmoja mmoja. Hili suala la mafanikio katika umri mdogo ninla mfumo zaidi .. nchi za ulaya ni tajiri na hizohizo Leo hii kijana wa miaka 21 tayari bilionea kutokana na kipaji chake tu. Hii haiwez kutokea kwa third world
Wakati huo naamini katika kumtafuta Mungu Kwa bidii na kufunga mara Kwa mara.Kwanini umejiita hilo jina
Pia ulitoa mwongozo wa kuukataa uzinzi kuwa unaua Bahati na future nakubaliana na hilo pia.
Ni wachache sana, ikilinganishwa na wazungu Kwa uwiano.Tembea uone.
Kwani hakuna waafrika walio amua kumwamini Mungu kwelikweli?
Kwani wazungu wote wanao mwamini mungu wana uthabiti wa imani?
Hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Thinking capacity yako iko sawa kweli?
Kusema "mungu hayupo" siyo kufuru. Ni mtazamo wako tu kama vile unavyoamini mungu yupo.Ni mojawapo tu ya kufuru mkuu lkn siyo mbaya zaidi kuliko zote. Wapo wanaokufuru kwa kusema "Mungu hayupo".
Kumbukumbu la torati imeelezea baraka na si mafanikio.
Yeah.Daaa nimecheka sana eti hata mtu asiyejua maana ya people anaweza ifanya
Anaokota sio....yani mtu aokote MadiniSikubaliani na hoja kuwa mipango ya kimaisha ya vijana wengi inaharibika kwasabb hawamhusishi ama hawamuombi Mungu. Wapo walokole ama mashekhe promax wamefika 50 bado hawana hata kitanda.
Kila mtu ana FATE yake, yaani Kila mtu kachorewa roadmap ya maisha yake na mwenyezi Mungu. Ndiyo maana akina Laizer wanaokota tanzanite yenye thamani ya mabilioni wakati wengine hata mia mbovu hamuokoti.
Tuishie hapa maana hata unavyo ongea huna uthibitisho navyo.Ni wachache sana, ikilinganishwa na wazungu Kwa uwiano.
Sijawahi kusoma shule, ila thinking capacity yangu ni kubwa kuliko wewe uliesoma chuo Cha madrasa al nudha.
Ukifuatilia ktk historia dini zililetwa ili kuwapa watu waliojikatia tamaa tumaini la kuishi. Watu wengi humkimbilia mungu kama sehemu ya kutuliza moyo wakiamini anaweza kuwatoa kwenye kiza kinene walichopo. Ni kama madawa ya kulevya, muda unaoyatumia yanakuweka kwenye ulimwengu wa kufikirika, unajiona ukiwa ktk hali ambayo matatizo yako yote hayapo, baada ya kurudi ktk uhalisia ndiyo unakumbuka kuwa bado matatizo yako yapo palepale. Ndiyo kama ilivyo dhana ya dini na mungu, wengi wanajifariji kwa kumuachia mungu awaamulie hatima ya maisha yao matokeo yake wanaweza kwenda miaka nenda, miaka rudi hawapigi hatua yoyote ile kwenye maisha ila kwasababu upendo kwa mungu umeshakolea wataamini ndiyo maisha waliyopangiwa.Hasa hawa wanao jifanya kumtaja taja Mungu hapa kwenye huu uzi ndio life limewachapa vibaya mno.
Wako hapa kujifariji na umaskini wao kwamba ni mipango ya Mungu kwamba huenda kuna siku watafanikiwa.
Wanajifariji na fictional character Mungu...😄
Mtu yeyote anaye amini mafanikio ni "kudra za mwenyezi Mungu" huyo ni maskini wa akili na mali.
Hata akikosa kufanikiwa katika jambo fulani ata amini ni mungu ndiye kafanya hivyo kumbe ni mipango yake mibovu.
Kabisa mkuu.Ukifuatilia ktk historia dini zililetwa ili kuwapa watu waliojikatia tamaa tumaini la kuishi. Watu wengi humkimbilia mungu kama sehemu ya kutuliza moyo wakiamini anaweza kuwatoa kwenye kiza kinene walichopo. Ni kama madawa ya kulevya, muda unaoyatumia yanakuweka kwenye ulimwengu wa kufikirika, unajiona ukiwa ktk hali ambayo matatizo yako yote hayapo, baada ya kurudi ktk uhalisia ndiyo unakumbuka kuwa bado matatizo yako yapo palepale. Ndiyo kama ilivyo dhana ya dini na mungu, wengi wanajifariji kwa kumuachia mungu awaamulie hatima ya maisha yao matokeo yake wanaweza kwenda miaka nenda, miaka rudi hawapigi hatua yoyote ile kwenye maisha ila kwasababu upendo kwa mungu umeshakolea wataamini ndiyo maisha waliyopangiwa.
Mimi naamini ili mwanadamu uweze kutumia your full potential kuna mifumo ya kidunia unapaswa kupishana nayo, yaani usifuatane nayo. Mojawapo ni imani ktk mungu na dini, watu waliojinasua ktk imani hizi wanayatazama maisha kwa mlengo tofauti kabisa.
Kwa ninachokijua mimi mpaka sasa...mafanikio ni jambo pana sana...kuwa na nyumba na gari ni sehemu tu ya mafanikio...wapo wenye magari na nyumba lkn hawana watoto, wapo wenye magari na mali nyingine nyingi, ila wanaumwa...wapo wenye watoto wengi na familia zenye furaha ila hawana hayo magari na huenda wamepanga.
Nadhani tafsiri sahihi ya mafanikio ilenge eneo husika...e.g mafanikio kielemu, mafanikio kifedha, mafanikio kwenye mahusiano na kufanikiwa ktk eneo moja kati ya hayo, haina maana kuwa utafanikiwa ktk eneo jingine.