Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Stori za abunuasiShida tupo kwenye mifumo ambayo inataka watu watumie akili zaidi kuliko nguvu mafanikio kwa sasa hayawafuati watu wanaojituma wenye skills ndio wanaotoboa mfano ingia playstore mtu kajifungi geto anatengeneza App inayoenda kutengeneza mabilioni ya pesa kazi ndogo matokeo makubwa
Kitu kingine hauhitaji kujipa stress kuchelewa kujenga ama kuwa na gari jambo msingi swala la mafanikio kwenye maisha ni kujikita kutafuta njia zitakazo kupa matokeo makubwa na sio kuonekana unafanya vitu kwa wakati
Siyo kweli, ukisema hivyo maana yake hata sheria za kifizikia zinazotawala maisha ya mwanadamu hazina maana. Hayo maneno kutoka kwa mhubiri hujayaelewa vizuri.Kuna ambao walikata tamaa lakini Dakika za mwisho wakatoboa wakiwa katika state hiyohiyo ya kukata tamaa.
Na waliokuwa na moyo mkuu usiokataa tamaa mpaka mwisho lakini wakashindwa kutoboa. Walikufa wakiwa hawaamini kama ngoma imelala wakiwa wamepigwa.
Mungu ndiye mwamuzi wa yote. Huna lolote utakalofanya kwa uwezo wako. Unaweza ukawa strong ukashindwa na aliyedhaifu
KivipiStori za abunuasi
Siyo kweli, ukisema hivyo maana yake hata sheria za kifizikia zinazotawala maisha ya mwanadamu hazina maana. Hayo maneno kutoka kwa mhubiri hujayaelewa vizuri.
Fact,Tanzania, kwa maoni ya wengi, kujenga nyumba na kununua gari ndiyo kilele cha mafanikio. Kwangu nini sidhani kama tuko sahihi. Unaweza kuwa unaishi kwenye nyumba ya kupanga na unatumia usafiri wa public lakini ukawa na mafanikio kuliko mtu mwenye nyumba na gari.
hatukuumbwa wote tuwe matajiri utajiri wangu mpaka sasa ni kutimiza furaha ya familia yangu....Basi wewe utajiri utausikia
Kwamba mimi na Riz1 tumepewa same kupambania ili kufikia mafanikio?bad news ni kwamba, Mungu anawapa watu wooote same ground ya kupambania ili kuyafikia mafanikio.
You gonna have great comedian career my guy.Kufanikiwa ni Jina lako kuandikwa katika KITABU Cha Uzima Mbinguni.
Nyumba na gari kitu Gani, hata mwewe na kunguru Wana nyumba!!
Mbona umerukia kwa Riz-1 na wewe, Ungeanzia kwq babu yake Rizi-1 na Babu yako wewe, ukaja kwa baba yake Riz-1 na baba yako wewe.. Rizi-1 na wewe ni just By products tu za long chain hukoo.Kwamba mimi na Riz1 tumepewa same kupambania ili kufikia mafanikio?
Acha masikhara sheikh.
Hii inaitwa deja vuKuna mambo yananitokea physically afu unayarelate mbona kama nilishawahi kuyaona!
Ilishawahi kukutokea hii?
Mi hunitokea mara nyingi tu. Na ndio nazidi kuamini kua haya yanayotutokea yalishaandikwa.
"Tofautisha Nyumba na kiota"Kufanikiwa ni Jina lako kuandikwa katika KITABU Cha Uzima Mbinguni.
Nyumba na gari kitu Gani, hata mwewe na kunguru Wana nyumba!!
Huna Akili wewe.Na wewe unayejua Mungu huyo yupo, ina kuuma nini ukisikia nimesema hayupo?
Hata mimi nimefanikiwa pasipo msaada wowote wa huyo Mungu.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.Huna Akili wewe.
Kwasababu umesema "Mungu kawapa watu wote same ground blah blah". Ungelenga mababu tu, ambapo hata hivyo huwezi kuprove kama walikuwa na same ground, mimi nisingejibu nilivyojibu.Mbona umerukia kwa Riz-1 na wewe, Ungeanzia kwq babu yake Rizi-1 na Babu yako wewe, ukaja kwa baba yake Riz-1 na baba yako wewe.. Rizi-1 na wewe ni just By products tu za long chain hukoo.
[emoji1][emoji1][emoji1]Maandiko hayo ni hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi.
Maandiko hayo ni fiction stories hazina ukweli wala uhalisia wowote.
Ndio maana ume ambiwa hapo kuna walokole wengi wanajua hayo maandiko lakini kiuchumi ni maskini choka mbaya Höhehahe pangu pakavu tia mchuzi.
Neno la kumaliza niYaani ushinde kanisani au msikitini bila mipango upate private jet ya burebure? Hiyo hajawahi kutokea. Tumepewa utashi na maarifa tuyatumie. Simba hawezi kula bila kuua, anatumia utashi wake kupata mlo otherwise atakufa.
Pole sana kama huo ndio mtazamo wako chief. But you the same samekwasababu mimi sina same ground na watu wengi tu.
Haya maisha kila mtu na alivyo pangiwa na MUNGU.