Nakojoooooaaaaa ๐น๐น๐นWatu wa system hao
Ohoo!
NkamuNakojoooooaaaaa ๐น๐น๐น
Nkamu hebu niache bhana ndo kwanza asubuhi hata chai sijanywa..!!
Kesho ndio julai wapiga ramli wote kuaibika ๐๐Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Kuna jambo litatokea mkuu๐๐๐๐aliyeelewa
Da mange kashakuharibu ww ๐ ๐Nakojoooooaaaaa ๐น๐น๐น
Nkamu hebu niache bhana ndo kwanza asubuhi hata chai sijanywa..!!
Ndo inakua julai 1-31?Kesho ndio julai wapiga ramli wote kuaibika ๐๐
๐ ๐ Jmn kwani walisema July 1?Kwani bado tyuuh? Mbna July enyewe hii hapa tayari?
Au au au niniii?!! Lol
KwikwikwikwiKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Mbazidi kusogeza tarehe mbele ๐คฃ๐คฃNdo inakua julai 1-31?
Yajayo yanafurahisha mno ๐ ๐
UtasikiaMbazidi kusogeza tarehe mbele ๐คฃ๐คฃ
Tulikubaliana ni kabla ya julai au saizi ni Hadi lini?