Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Kabla ya ndoa ujifunze lipi

The finest, mimi mume wangu simsujudu bali namuheshimu, sasa hapo naenda kinyume na maandiko? (ya mfalme Daudi)Kusujudu mi nakufananisha na nidhamu ya uongo uongo hivi!

...lol...kwenye kiapo cha ndoa mliondoa neno "....nitamtii?"
Wakaweka neno NITAKUHESHIMU lol!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Aisee bado sijapata jimbo la kugombea

TF nafikiri sio hujapata jimbo ila majimbo yako mengi ila hujajua ni jimbo gani litakukubali na litapokea kura yako
Tatizo ni wewe mwenyewe hujajiamini kuchagua jimbo angalia usije shangaa majimbo yote yanachukuliwa na wapinzani kwa kuwa sera zako ni mbaya na hazitekelezeki
 
Ningekutusi ila naogopa laana biggy! (laana yako haina tofauti na ya baba kabisa)Sasa hapa mi nimekatishwa tamaa na mambo ya kusujudiana aisee....(hiki kifungu si kimepitwa na wakati hiki?)
Hakuna binadamu anayepaswa kusujudiwa ila Mungu peke yake.... Hata malaika na mitume hawasujudiwi.......... ehe afu ndo unataka kumtusije ODM?

The finest, mimi mume wangu simsujudu bali namuheshimu, sasa hapo naenda kinyume na maandiko? (ya mfalme Daudi)Kusujudu mi nakufananisha na nidhamu ya uongo uongo hivi!
Haya nambie huo mchele uliliwa lini na mbona hatukuambiana mamushka? Ntakuloga wallah!
 
Si unajua maandiko ya KIDUNIA"Hewala bwana" Joyceline kaokoa jahazi ila ni muhimu kufuata maandiko aisee lolz Aisee bado sijapata jimbo la kugombea Hivi kitu kilichoandikwa kama hakijafutwa si bado huwa kinaendelea kuwa applicable???
Kwenye kufuata maandiko tunaweza kutofautiana kwa hiyo hapo ngoja tubaki hivi hivi maana mirengo yetu haifanani.Kuhusu kitu kutofuatwa ni dhahiri shahiri kuwa hakiko applicable kwa jamii husika! Sasa ni cha nini ?
 
Aisee bado sijapata jimbo la kugombea

TF nafikiri sio hujapata jimbo ila majimbo yako mengi ila hujajua ni jimbo gani litakukubali na litapokea kura yako
Tatizo ni wewe mwenyewe hujajiamini kuchagua jimbo angalia usije shangaa majimbo yote yanachukuliwa na wapinzani kwa kuwa sera zako ni mbaya na hazitekelezeki
Hahahaha lol!!! Umeua Mkuu

Nyie mmenifanya nicheke. Hebu acheni masikhara kabisa. Kumtii toka lini imekuwa kumsujudu?
Ngoja nikuletee Biblia lol!!! Ndio maana Zaburi huwa inapendwa
 
Si unajua maandiko ya KIDUNIA
Hivi kitu kilichoandikwa kama hakijafutwa si bado huwa kinaendelea kuwa applicable???

...lol,....inategemea na wapi umeshikilia, mpini au makali!
Waefeso 5 : 25
"Waume, endeleeni kuwapenda wake zenu,"
Waefeso 5: 28-29 " vivyo hivyo, waume wanapaswa kuwa wakiwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Yeye anayempenda mke wake anajipenda mwenyewe, kwa maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake kwa vyovyote; bali huulisha na kuutunza kwa upendo"

...sasa wewe The Finest unataka kubadili nini tena yarabi? Soma Waefeso 5: 21 ujihukumu mwenyewe!
halafu si nilikwambia nitakuchongea kwa Mods ukiendelea kunichimba ee? ...endelea!
 
Hakuna binadamu anayepaswa kusujudiwa ila Mungu peke yake.... Hata malaika na mitume hawasujudiwi.......... ehe afu ndo unataka kumtusije ODM? Haya nambie huo mchele uliliwa lini na mbona hatukuambiana mamushka? Ntakuloga wallah!
Asante biggy kwa ufafanuzi huo....Mungu pekeee astahili kusujudiwa ati!Kutusi nilianza lini na wewe....huo si wasifu wangu bana.Umekariri kila ndoa ni mchele tu! Yangu tulipika manumbu na ngararimo sasa, machalari kwa pembeni!
 
Mbu, zaburi, na huo waraka kwa waefeso vinakinzana?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nyie mmenifanya nicheke. Hebu acheni masikhara kabisa. Kumtii toka lini imekuwa kumsujudu?

Mamushka wasikuzengue bana; Kutii na kusujudu ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mi namtii baba yangu, lakini simsujudu hata siku moja!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
TF... kama hukuanza kujifunza kuwa baba au mme tangu ukiwa mdogo, then i tell you it is too late.... a man is being born, and by the time he is 3 years basi ujue maandalizi ya kuwa mume/baba yameanza

I hope you started earlier than this thread
 
Hahahaha lol!!! Umeua Mkuu

Mkuu nafikiri jiamini na jimbo ulilo nalo maana nafikiri ndilo la kwako
hayo mengine unayoyatamani yana wenyewe na wao wanaangalia wagombea watakaofaa kwa hiyo kuwa makini tuu usije ukanyang'anywa na hilo ulilo nalo. Maana kuna mgombea analitafuta sana jimbo lako na ana uchu sana na anatoa mpaka rushwa kulipata
 
...lol,....inategemea na wapi umeshikilia, mpini au makali!
Waefeso 5 : 25
"Waume, endeleeni kuwapenda wake zenu,"
Waefeso 5: 28-29 " vivyo hivyo, waume wanapaswa kuwa wakiwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Yeye anayempenda mke wake anajipenda mwenyewe, kwa maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake kwa vyovyote; bali huulisha na kuutunza kwa upendo"

...sasa wewe The Finest unataka kubadili nini tena yarabi? Soma Waefeso 5: 21 ujihukumu mwenyewe!
halafu si nilikwambia nitakuchongea kwa Mods ukiendelea kunichimba ee? ...endelea!
Lol!!! Mbu tulikuwa wote on the same pace mara hii umenigeuka halafu naona ile Kusujudia waliilegeza kidogo wakaweka KUTII
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
TF... kama hukuanza kujifunza kuwa baba au mme tangu ukiwa mdogo, then i tell you it is too late.... a man is being born, and by the time he is 3 years basi ujue maandalizi ya kuwa mume/baba yameanza

I hope you started earlier than this thread
Kabisa Mkuu ila tu nimeamua kuileta ili wote tupate changamoto na elimu ya hapa na pale.
 
....lol!....jamani mie mnanishambulia bureeeee....muulizeni huyu The Finest.

Swali la Nyongeza., Kwani kusujudia ni kwenye kusali pekee?.... hehhe!
The finest, kuna haja ya kuurudisha ule mfano wa mbuzi na kondoo hapa?
 
Back
Top Bottom