Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062
Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo.
Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
 
Ilikuwa ni why jiwe aka mwendazake why haendi ughaibuni
 
Lilikua jukwaa tamm kinomanoma maubuyu ya familia za kifalme, taarifa mbalimbali za mataifa makubwa na madogo.
 
Back
Top Bottom