daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,127 Reaction score 3,062 Aug 4, 2024 #1 Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Aug 4, 2024 #2 Pitia nyuzi za nyuma USSR
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 Aug 18, 2024 #3 Ilikuwa ni why jiwe aka mwendazake why haendi ughaibuni
ngaboru JF-Expert Member Joined Mar 3, 2016 Posts 2,069 Reaction score 5,411 Aug 18, 2024 #4 Lilikua jukwaa tamm kinomanoma maubuyu ya familia za kifalme, taarifa mbalimbali za mataifa makubwa na madogo.
Lilikua jukwaa tamm kinomanoma maubuyu ya familia za kifalme, taarifa mbalimbali za mataifa makubwa na madogo.