Tetesi: Kabudi kuachia nafasi zote za kisiasa

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.

" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."

" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."

" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."

Chanzo.
 
yeye kama nani? arudi tu jalalani alikotokea
 
Kwakua amekua kama abandoned na the way alivyokua unaumiza san, lkn lazima akubali siasa za bongo punde waeza fanywa raia wa kawaida!! Arudi tu jalalani. NB; Kamwe ubunge hauachiii!!
 
Akale wapi?
Kwani ameshazimaliza zile senti alizopiga za Mikopo na Misaada ya Covid-19???

Ila mwamba anahitaji kuchongewa sanamu lake liwekwe "Makumbusho Ya Taifa" kumbukizi ya Waziri Muongo kuwahi kutokea tangu nchi ilivopata Uhuru.

Chini ya sanamu lake iandikwe kwa mwandiko wa kipindi cha Ukoloni, ule wa kucharaza kwa madaha "Kumbukizi Ya Profesa Kalamaganda Kabugi". Alikua ni muongo huyu mshua daah, halafu wakati akidanganya anatoa macho kama taa za benzi zikiwa full. Huyu dingi hana mpinzani kwenye mbio za uongo.

Nafasi zote hakuwa na uhalali nazo bali kwa mgongo wa mbeleko angebaki na ya kushika chaki pekee , Kazi na umri sijui kwanini huwa hawautaki huo msemo.
 
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.

" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."

" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."

" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."

Chanzo.
Hii sii kweli, mimi ni Tomaso!.
P
 
Back
Top Bottom