covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
acha aende tanzania na watanzania tutaendelea kuwepo..Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.
" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."
" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."
" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."
Chanzo.
nasubiri polepole pia maana huwezi kung'ang'ania namna ileile ya kuongoza wakti muda wa uongozi huo ulishapita. wao waende tu watupishe..