Tetesi: Kabudi kuachia nafasi zote za kisiasa

Niko uku jimboni kwake,baadhi ya wapiga kura wake wanadai hawahawahi pata mbunge kilaza kama huyu,kiufupi nao hawamkubali[emoji119]
 
Wewe ndio mwenye uelewa mdogo, kwa akili yako ndogo unadhani hajawekeza mpaka sasa? Hana chochote kinachomuingizia kipato nje ya siasa?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania si watu wa kuropoka,kwa elimu aliyonayo anadhani apigi Consultancy service na kulamba midola.Bado vitabu na machapisho ya kisheria aliyoandika.
 
Anarudi Jalalani au? Kabudi wewe ulikosea tu kujinyenyekeza sana...lakini unajua unaweza kusaidia suala hili
 
Awe mpole tu. Kama alivyo jinyenyekeza wakati wa kupanda ngazi za kiuongozi awe mnyenyekevu wakati mambo yanamwendea mrama. Huwa ni mpenzi wa kusoma zaburi na kuzisema hadharani. Basi akasome Zaburi ya 91.
 
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.

" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."

" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."

" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."

Chanzo.
Kabudi is one of the best educated lawyer in Tanzania. He scored 5 As in one seating examinations while a law student at UDSM, a record which has never been challenged. He has spent solid 9 yrs at Berlin University persuing Law, one of the best universities on Earth!
Strange enough akajiita wa Jalalani!
 
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.

" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."

" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."

" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."

Chanzo.
Wapiga kura gani anawaaga, yeye alipewa ubunge na Magufuli. Angekuwa na ujanja huo asingekuwa mlamba miguu ya viongozi.
 
Akale wapi?
Za kula tu anazo nyingi sana maana ukishakuwa mzee ni ugali wa dona au uwele na mboga mboga matunda kwa sana ! Na vyote hivyo unavipata kwa bei bwerere hapa Nchini !

Kama watu wangekuwa wanamaindi kutafuta kwa ajili ya Chakula tu wala mafisadi wasingekuwepo !!

Watu wanatafuta kwa ajili ya kutambia waliomzunguka na Wanasemaga kula Bata kwa sana !! Thats it !! Sio kwa ajili ya chakula ! Mzee Kabudi pesa ya kula anayo anachopaswa kufanya sasa ni kukitoa alichonacho kichwani mwake kiisaidie Nchi yake !!
 
Kuna watu wanapewa utukufu na heshima ambazo hawastahili kabisa kuwa nazo. Mfano mzuri ni huyu kabudi who is he by the way in this country?
Ni mhadhiri Chuo kikuu by profession !! Sio mtu mdogo kwenye Nchi zilizoendelea zinazojitambua. !!
 
Wapiga kura gani anawaaga, yeye alipewa ubunge na Magufuli. Angekuwa na ujanja huo asingekuwa mlamba miguu ya viongozi.
huku kilosa hatupajui asili yao wala Jamaa zake
 
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.

" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."

" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."

" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."

Chanzo.
Je HATOKUA mwanachama mpya wa UP!!?

Tusubiri!
 
haweZi kurudi jalalani... Jiongezage
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.

" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."

" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."

" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."

Chanzo.
 
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.

" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."

" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."

" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."

Chanzo.
Hana jeuri hiyo mzee wa jalalani! Anavyotoaga ile mimacho yake na kulazimisha aaminike bila hoja kisa yeye profesa nilimdharau sana huyo mtu.... ni mtu wa hovyo na hana tofauti yoyote na washenzi wengine.
 
Back
Top Bottom