Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
KwakoAkale wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakoAkale wapi?
Hii mitandao bana... Ukamdharau au sio...!Hana jeuri hiyo mzee wa jalalani! Anavyotoaga ile mimacho yake na kulazimisha aaminike bila hoja kisa yeye profesa nilimdharau sana huyo mtu.... ni mtu wa hovyo na hana tofauti yoyote na washenzi wengine.
JalalaniAkale wapi?
Hakuna mwanaccm anaweza siasa nje ya siasa za CCM za kubebwa na vyombo vya dola. Ndio maana wakitoka nje ya CCM, huishia kuwa wanyonge maana mazingira ya mbeleko hayapo.Je HATOKUA mwanachama mpya wa UP!!?
Tusubiri!
Ni kweli ila elimu yake kwa sasa imekuwa so outdated, ndio maana kila akipewa nafasi ya kuongea amebaki kuongea historia na siasa sa karne iliyopita za kina Nyerere. Kabudi hana ushawishi wa kupata hata kura 100 kwenye siasa za kizazi cha sasa.Hujamsikia Lissu? Lile jitu limesoma kwelikweli! Limekaa shule Germany miaka 9 likisoma
Hakuna ulaji tena kwake,over.Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.
" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."
" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."
" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."
Chanzo.
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.
" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa."
" Yule huwa harudi nyuma nafikiri mkutano wake ujao kule jimboni atawaaga wapiga kura wake."
" Ni wazi hafurahishwi na yanayoendelea."
Chanzo.
Akubali tu matokeo...Kwakua amekua kama abandoned na the way alivyokua unaumiza san, lkn lazima akubali siasa za bongo punde waeza fanywa raia wa kawaida!! Arudi tu jalalani. NB; Kamwe ubunge hauachiii!!
JalalaniAkale wapi?
rais wako ni mbishi kakusudia kuuza mali za watanzania.Hivi kama mshauri wa Rais, alishiriki kumshauri Rais juu ya Mkataba wa DP World? Naomba nijulishwe ili nianzie hapo na hizi tetesi.
Kwako,japo na wewe ni lofa,Akale wapi?
Hawa vijana waliozeeka kifikra na kiutamaduni?!. Bora kabudi ambaye ni mzee kimwili lkn kijana kifikra.Ni bora awachie vijana umri umeenda hata hivyo
Wakupe wewe.Kuna watu wanapewa utukufu na heshima ambazo hawastahili kabisa kuwa nazo. Mfano mzuri ni huyu kabudi who is he by the way in this country?
JalalaniAkale wapi?