Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Unaijua TISS ? Muwe mnaongea mambo yenye maana sio kujaza pages. Mtu aliyetingisha mfumo ni Lowasa akigombea na Magufuli. Bila kula kuibiwa hali ilikuwa mbaya. Wengine ni vinyamkera tu. Hata Lissu alijaribu japo kwa mbali tu.
Wapambane kujenga uchumi, ndio intelligence agency za kisasa zinachofanya, na kusaidia Taifa kuwa na wanasiasa wenye uwezo mkubwa kiakili kuongoza taifa, otherwise hamna maajabu, niulize naijua CIA au Mossad na jinsi wanavyojenga uchumi wa mataifa yao..kwa mfano taarifa feki za CIA zilivyosaidia marekani kumiliki mafuta ya Iraq, hayo ndio mambo ya maana sio kuzuia watu wenye uwezo kuwa viongozi, hilo hata wewe unaweza, utahitaji silaha na kitambulisho na li V8 likubwa kutishia watu ila sio matumizi ya AKILI. Mamillion ya vijana hawana kazi wapo very hopeless mtaani, na hiyo ni very real threat kwa taifa lolote, wafikishie hiyo assignment wasaidie kutoa taifa kwenye joblessness.
 
Tena asbh saa 3
 
Viongozi wa Sukuma Gang
 
[emoji41]🤏

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi ndio Speaker ajaye, ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…