Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Yawezekana ramli yake imemwambia hivyo. Sema wasiwasi wangu huyo mwingine achungwe hasije akarudi jalalani.
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Kuna ka ukweeeeli fulani hapo hasa kwenye uspika
 
Kama hujui unakokwenda huwezi kupotea.
Sure na sisi kama nchi tulipoteza uwezo huo wa kupotea miaka kama 6 hivi iliyopita kwa uchache. Toka 2015 mtu akisema tunapotea na yuko jirani nikimuonea huruma sana nitampiga kerubu moja matata sana.
 
Samia hajameet bado matarajio ya baadhi ya watu wanaowa-label wenzao sukuma gang

Kuna Watu walisubiri kwa hamu omission ya katambi, biteko, mabula, masanja, au mashimba kwny cabinet.

Cha ajabu waliotemwa ni watu baaki kabisa au mimi ndio sijui maana ya sukuma gang..

Cc: washabiki wa anguko la ndugai.
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone

Kwenye siasa kuna mengi, unapewa tu condition...weka kijana wetu hapo ili 2025 tukufanyie mitikasi ubaki 🤔
 
Sure na sisi kama nchi tulipoteza uwezo huo wa kupotea miaka kama 6 hivi iliyopita kwa uchache. Toka 2015 mtu akisema tunapotea na yuko jirani nikimuonea huruma sana nitampiga kerubu moja matata sana.
Sukuma gang tuko vizuri..
Dotto, Tax, Mabula, Mashimba.
 
Maoni- juu ya maoni yako- usituendeshe
 
Waitara ni safi kabisa kuondolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…