Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

CCM asili wanalalamika sajili mpya kuchaguliwa nafasi za uwaziri.
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone

Hata Mimi nimeshangaa ngoja tusubiri lakini Lukuvi kuachwa alafu Ridhiwani kuwepo hahahahaha huu nao ni utani wa mwaka mzima[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Umesahau yale aliyoongea Kanisani?
Ndio hadi leo yanakumbukwa? Mimi ni muislam na zile kauli za Lukuvi kanisani zilinichefua ila nilimsamehe kwa kupiga kazi vizuri Ardhi, sidhani kama zile kauli ndio zimemuhukumu leo
 
Na mimi nilikuwa nna hamu sana kuwafahamu hao sukuma gang. Kumbe ni kina Kabudi?? 😂😂😂😂

Inawezekana Mama au wana CCM wanaogopa kitu kisichokuwepo.

Pengine bado wana hofu na mwendazake.
Fear of the unknown
 
Acha uongo eti mama hakubaliki nyooooo
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Hawezi kuwa PM kwani kabla ya kuchagua PM ni kazima kwanza uvunje Baraza lote la Mawaziri.
Pili presidential appointments,appointees Wana serve at the pleasure of His/Her Excellence Madam President. The moment she feels uncomfortable working with you basi ana tengua.
 
jibu nikinyume cha maneno yak,ukiona manyoya usiulize
 
Unajiongelesha kila post alafu raia wanakupuuza

Wewe siyo Chawa ni Mende
 
Hivi kweli unamtoa kabudi na Lukuvi? Sijui tunakoenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…