mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kuutaka urais ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania anayedhani kuwa ana sifa za kuwa rais ili mradi afuate utaratibu wa kikatiba!!Lukuvi anausaka sana Urais JPM aliwai kumchana laivu kuwa huwezi kuwa Rais usipoteze bure hela zako
Yaani huyu mama sina imani nae tena, kelele zote zile eti kaishia kuwamisha mawizara tu, ila yote haya ccm ndio wanatukosea watanzaniaKatika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!
Of all the people!! unatoa Lukuvi, Kabudi unaweka Riz 1. Nape kwenye baraza!! Sisi yetu macho!! Sidhani kama unaweza kumshawishi mtu yeyote kuwa MASLAHI MAPANA YA TAIFA YAMEZINGATIWA!! Nadhani kilichoongoza mabadiliko haya ni hiyo hiyo 2025 fever and not otherwise!!Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Kuna ukweli hapaLukuvi, Kabudi na Bashiru ndo walikua viongozi vipenzi wa moyoni wa Jiwe aliowaandaa kuchukua nchi 2025 Mkumbo alikua shabiki tu.
watoto wa mjini: January, Nape & Rizi 1. Vijana wa figisu figisu za uchaguzi!! Mama anaangalia 2025!!! No place for Senior Ministers!! Utaanzaje kuongea figisu figisu za uchaguzi na mtu kama Lukuvi au kabudi kwa mfano!! Lakini Riz 1, hata kumtuma makaburini kwake sawz tu!!Kwenye siasa kuna mengi, unapewa tu condition...weka kijana wetu hapo ili 2025 tukufanyie mitikasi ubaki π€
Unataka kutuambia mama ni kijana? Mbona wote hao ni rika moja tu?Jiwe mbona aliwaambia Lukuvi na Kabudi hadharani kwamba umri wao umeenda sana na hawezi akaruhusu chama chini ya uenyekiti wake uwapitishe kugombea urais
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
ndio hajazuiwa nibhaki yake lakini vilevile Rais ana haki ya kuchagua waziri yyte amtakaye ko ye kaona Lukuvi hamfaiKuutaka urais ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania anayedhani kuwa ana sifa za kuwa rais ili mradi afuate utaratibu wa kikatiba!!
Una chuki na mtu usiyemjua? Utakuwa na sonona wewe,Nani kakwambia anatafuta attention mitandaoni? Au unataka kunifundisha kipi Cha kupost humu,je una ubia na melo? Pambana na Hali yako,na Kama ninakukera konyeza kitufe Cha ignore usiwe unaona post zangu.Unajiongelesha kila post alafu raia wanakupuuza
Wewe siyo Chawa ni Mende
Lukuvi sawa,ila kwa Kabudi ni sawa kupigwa chini. Labda iundwe wizara ya mapambio na kulamba makalio ndio atafaaInashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? ππππππππππ
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!
Kati ya hao ni nani hasa anayewaza uchaguzi 2025?Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Wewe ndie humkubali mama...jisemee mwenyeweInashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? ππππππππππ
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Tutamkumbuka Lukuvi kwa kuondoa kero za baba/mama mwenye nyumba na za madalali! Madalali walikuwa wanakula kotekote! wanakula kwa mwenye nyumba kodi ya mwezj mmoja na wanakula kwa mpangaji kodi ya mwezi mmoja!! kwa sasa wanakula kwa mwenye nyumba tu kodi ya mwezi mmoja. Pia amepiga mafufuku kudai kodi ya miezi sita au mwaka. Mpangaji atalipa kodi ya mwezi mmoja mmoja tu!! Hakuna mtu aliyewani kuwaza kama kero hizo zinaweza kushughulikiwa!! Pumzika baba Lukuvi kazi yako inaishi !Mh. Lukuvi kafanya makubwa Ardhi..
Ngoja tuone hao warithi wake
Umri ulikuwa unawapunguzia uwezo wao wa kiutendaji? Kama ni umri mbona wapoti wangu Mkuchika kabaki?Kabudi na Lukuvi itakuwa umri tu! Mama ana waheshimu sana
Hao wengine sisemi sana ila kwa Waitara wacha akanywe zake pombeKatika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!
Hayupo!! Wanaowaza 2025 wote amewaacha!! wa kwanza KasimuKati ya hao ni nani hasa anayewaza uchaguzi 2025?
Eti unamtoa Lukuvi unaweka Ridhiwani Kikwete! Ni maudhi na dhihaka.Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? ππππππππππ
Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Mabadiliko yana maana gani sasa? Kuonyesha tu kwamba wewe ni rais na uwezo wa kufanya mabadiliko?Hayupo!! Wanaowaza 2025 wote amewaacha!! wa kwanza Kasimu
wa pili Mwigulu Nchemba. wa tatu January!!
It's either R-OH or Work. It was up to him to change or otherwise. Now it's too late and perhaps there may never ever be another chance.Waitara atalia sana na ukevi wake maana ndiyo ulio mponza.
Kuna siku aliupiga akaingia bungeni na kushindwa kulitamka jina la mwenyekiti wake wa chama.
Alishajiandalia mitumbwi pale kwao kyabakariIt's either R-OH or Work. It was up to him to change or otherwise. Now it's too late and perhaps there may never ever be another chance.