Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Hao wote umri wao ni zaidi ya miaka sitini, sio vijana wadogo kwa namna yoyote ile.
 
William lukuvi aliimudu sana wizara ya ardhi
Aliondoa rushwa na urasimu
Hivi karibuni alizindua master plan ya daressalaam.
 
Unaijua TISS ? Muwe mnaongea mambo yenye maana sio kujaza pages. Mtu aliyetingisha mfumo ni Lowasa akigombea na Magufuli. Bila kula kuibiwa hali ilikuwa mbaya. Wengine ni vinyamkera tu. Hata Lissu alijaribu japo kwa mbali tu.
Yes lowassa alitingisha kutokana na urafi wake wa madaraka ambapo alimwaga sana pesa kununua popurality Kila kona ya nchi hii..
 
Huyo kabudi tokea alipotumia mamilion ya pesa kuruka na ndege yetu kwenda kuchukua togwa hapo madagaska nilimtoa akilini kbsa
 
Maskini mnafiki kigwangala pamoja na kiherehere choote cha kukejeri kwamba mwendazake aliingizwa chaka ndo maana akamtema lakini bado SSH hajamteua hii inaonesha umakini wa Rais na vetting team yake...
 
Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Ila zama za kikwete ccm ilikua inanuka sana huku mtaani wana ccm walikua wanaishi kama wakimbizi hawapo huru na chama Chao hata kuvaa nguo ya kijani ni hatari sana..upinzani lazima tuwapongeze kwa kufanikiwa kule kuwadharaurisha maccm mbele ya umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…