Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Wote hao ni takataka kwani Wana jipya gani? Wana hati miliki hapa Tzn? Rubbish post
 
Hata Mwendazake ni figisu za hao zilimuweka
 
Kuna msemo unasema Kunguru hafugiki
Usaliti uko rohoni mwa mtu
Mtu akisaliti chadema usifikiri akija ccm atakuwa Malaika
Ni sawa na kuoa mke wa mtu.
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Lukuvi hana vinasaba
 
Palamagamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sema huyu mzee kipindi Cha magufuli alikuwa mwamba kweli kweli.
 
Pale Riziwani anapokuwa bora kuliko Kabudi au Mkumbo. Tukutane 2025.
 
Nchi imetekwa na majambazi wa msoga.. Sasa ni full upigaji

Huyu mama anagalau angekuwa anaingia humu JF na kuchota busara angeweza kupona lakini sasa Ndio ametangaza vita kamili huko chamani Kwao!! Mama uchumi ndio nguzo ya siasa inakoelemea, huwezi kumuacha adui yako akakaa na funguo za SAFE yako!!! Mwigulu hata kipofu anajua kuwa ana aspirations za URAIS na wewe mwenyewe umesema utawapa nafasi wanaotaka kuwania 2025 waende kufanya hivyo nje ya baraza; na wewe unaamini hao uliowaacha humo watakuvusha 2025? Hizo ni ndoto za alinacha , jitayarishe kurudi makunduchi!!
 
Wagombea wako ni wao pia hadi leo hujajifunza?

Huwa wanasimamisha wagombea wao kwny vyama vyote Vikuu…wanajua ile principal ya Portfolio
Pale Riziwani anapokuwa bora kuliko Kabudi au Mkumbo. Tukutane 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…