Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

Typical longolongo ya MATAGA ili wananchi wawe kama misukule wasidai HAKi
 
Uliangalia vizuri hizo picha? Angalia Tena kuna mtu kapeperushwa kutoka juu Kama mita 150 haijulikani katua eneo lipi. Propaganda?.

Nimeiona Al Jazeera aisee kwenye lile dege la kijeshi la Marekani, kiukweli inatisha sanaa, wamekufa watu watatu walioidandia ndege kwa nje kwani wakati lile dege linapaa wakaanguka wakati tayari liko juu. Halafu watu waliokuwa wamelizunguka hilo dege huku linataka kuruka ni karibia mia tano, ilibidi wanajeshi wa Marekani wapige risasi juu kutawanya watu ili ndege iweze kuruka.
Kiukweli nimea ngalia zile picha pale airport ya Kabul mpaka mwili unatetemeka kwa jinsi watu wanavyoteseka na kukanyagana. Sijui kwa nini Wamarekani hawakuleta hata ndege 5 na kuwasaidia watu wenye uhitaji maana kuna wazee, watoto , wanawake n.k.
 
Vyema ndugu uko makini sana. Upo huo mpango wa kuwachukua wafanyakazi wao wote na wengine watabahatika kuchukuliwa ni pamoja na watalban wenyewe ikiwa tu ulikuwa mfanya kazi wao.
 
Hao waliozunguka ndege Ni wamarekani wamepandikizwa Tu kuishangilia Ndege....Waafghanistan wa ukweli WaPo nyumbani wanashangilia kutawaliwa Na Dola ya haki ya kiislam(Dini ya Amani)
 
Kuna wengine waliandia dege la kijeshi la marekani rubani nae kumbe zilikua pungufu kichwanikairusha ivoivo wawili itakua wamevunja vichwa pale airport leo
 
Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
Upo kijiwe gani cha kahawa!?? Vipi lile gazeti la dini yetu lipo!??
 
Mimi sijasema hawajajawa hofu Wala hawahitaji kuokoa nafsi zao...Mimi nimecomment on provable pattern ya haya matukio jinsi wakifika nchi Salama Za demokrasia huwa wanasahau walikotoka wanataka waimpose vitu walivyovikimbia kwao.
Ni nchi gani salama kwenye hii dunia ambapo hao watu huwa wanasahau walikotoka na kuchinja raia?
Ufaransa na Uingereza lini walichinjwa na hao watu? Acha utoto
 
Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
Mkuu kuna mambo mengine usiongozwe na hisia, kwa kuwa tu kitu fulani hukipendi, basi ni kukiponda tu!!hizo picha/video vituo vyote vya tv, vya kimataifa vimezionyesha leo unasema eti propaganda?!!ni kweli hakuna umwagaji damu ulitokea, ila tukio hilo la wananchi kukimbilia uwanja wa ndege ni pale majeshi ya USA, yalipokuwa yanawasafirisha raia wake, ndio kundi la wananchi wakajazana uwanja wa ndege wakitaka na wao waondoke, kuna ndege ya jeshi la USA, ilipoanza kuondoka watu wanaikimbila kwa kudandia!!
 
Ni nchi gani salama kwenye hii dunia ambapo hao watu huwa wanasahau walikotoka na kuchinja raia?
Ufaransa na Uingereza lini walichinjwa na hao watu? Acha utoto
nchi Ni nyingi mpaka nmeshindwa kuchagua...Swali lisiwe Ni nchi Gani wameshasumbua...Swali labda Liwe Ni nchi Gani imepokea wakimbizi kutoka hizo nchi halafu haijapatwa Na matukio ya uchinjaji,uvamizi,ghasia kwasababu Za kidini....labda ntapata tabu kuipata hiyo nchi
 
Hao waliozunguka ndege Ni wamarekani wamepandikizwa Tu kuishangilia Ndege....Waafghanistan wa ukweli WaPo nyumbani wanashangilia kutawaliwa Na Dola ya haki ya kiislam(Dini ya Amani)
Dini ya Amani siyo,wanavyofanya watu Somalia,Nigeria,Palestine, Iraq,Afghanistan,Iran etc,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…