Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Kwani Taliban wanaforce Dini Gani hapo Afghanistan niitaje?Kama ni kweli iweje utaje dhehebu? Badala ya uraia? Au ungetumia lugha nyepesi isio leta maudhi kwa wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Taliban wanaforce Dini Gani hapo Afghanistan niitaje?Kama ni kweli iweje utaje dhehebu? Badala ya uraia? Au ungetumia lugha nyepesi isio leta maudhi kwa wengine.
Typical longolongo ya MATAGA ili wananchi wawe kama misukule wasidai HAKiHili ni fundisho kwa Watanzania, mabeberu sio wajomba zetu,kikiumana wao wanakwea pipa na akina Lissu wao na kuwaacha mnaodai katiba ya Warioba(Warioba nae anang'ang'ania hiyo katiba ili apate ujiko wa ''rasimu ya Warioba''. Hapo ndio tujue hakuna Tanzania ingine na tutakoumia ni sisi wanyonge, wenzetu wanaochochea vurugu wana makazi ya kudumu huko ughaibuni.
Mara ukatae Sasa tena unarudi pale pale. Tusibishanie mambo hayo, usiku uwe na amani kwako.Kwani Taliban wanaforce Dini Gani hapo Afghanistan niitaje?
Mimi sijakataa kituMara ukatae Sasa tena unarudi pale pale. Tusibishanie mambo hayo, usiku uwe na amani kwako.
Uliangalia vizuri hizo picha? Angalia Tena kuna mtu kapeperushwa kutoka juu Kama mita 150 haijulikani katua eneo lipi. Propaganda?.
Vyema ndugu uko makini sana. Upo huo mpango wa kuwachukua wafanyakazi wao wote na wengine watabahatika kuchukuliwa ni pamoja na watalban wenyewe ikiwa tu ulikuwa mfanya kazi wao.Nimeiona Al Jazeera aisee kwenye lile dege la kijeshi la Marekani, kiukweli inatisha sanaa, wamekufa watu watatu walioidandia ndege kwa nje kwani wakati lile dege linapaa wakaanguka wakati tayari liko juu. Halafu watu waliokuwa wamelizunguka hilo dege huku linataka kuruka ni karibia mia tano, ilibidi wanajeshi wa Marekani wapige risasi juu kutawanya watu ili ndege iweze kuruka.
Kiukweli nimea ngalia zile picha pale airport ya Kabul mpaka mwili unatetemeka kwa jinsi watu wanavyoteseka na kukanyagana. Sijui kwa nini Wamarekani hawakuleta hata ndege 5 na kuwasaidia watu wenye uhitaji maana kuna wazee, watoto , wanawake n.k.
Samia atarudi kwa bodaboda , ndege iende Kabul kutuletea vitu vya maanaTutume Dream-liner likatuletee ila bahati mbaya limeenda Malawi kumpeleka bibi kwenye kikao.
Mapashtun hayo sio waarabu,Japo ni maislamuWale wanaotaka pisi kali za kiarabu wanaweza kupata totoz kutoka huko na kuzipa political asylum
Waarabu wapo wapi ?Mapashtun hayo sio waarabu,Japo ni maislamu
Nikweli kwasababu hakuna umwagikaji wa damu.Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
Upo kijiwe gani cha kahawa!?? Vipi lile gazeti la dini yetu lipo!??Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
Mtoto wa msimbe huwezi kuwa na akiliEti chadema wanataka maandamano [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni nchi gani salama kwenye hii dunia ambapo hao watu huwa wanasahau walikotoka na kuchinja raia?Mimi sijasema hawajajawa hofu Wala hawahitaji kuokoa nafsi zao...Mimi nimecomment on provable pattern ya haya matukio jinsi wakifika nchi Salama Za demokrasia huwa wanasahau walikotoka wanataka waimpose vitu walivyovikimbia kwao.
Mkuu kuna mambo mengine usiongozwe na hisia, kwa kuwa tu kitu fulani hukipendi, basi ni kukiponda tu!!hizo picha/video vituo vyote vya tv, vya kimataifa vimezionyesha leo unasema eti propaganda?!!ni kweli hakuna umwagaji damu ulitokea, ila tukio hilo la wananchi kukimbilia uwanja wa ndege ni pale majeshi ya USA, yalipokuwa yanawasafirisha raia wake, ndio kundi la wananchi wakajazana uwanja wa ndege wakitaka na wao waondoke, kuna ndege ya jeshi la USA, ilipoanza kuondoka watu wanaikimbila kwa kudandia!!Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
nchi Ni nyingi mpaka nmeshindwa kuchagua...Swali lisiwe Ni nchi Gani wameshasumbua...Swali labda Liwe Ni nchi Gani imepokea wakimbizi kutoka hizo nchi halafu haijapatwa Na matukio ya uchinjaji,uvamizi,ghasia kwasababu Za kidini....labda ntapata tabu kuipata hiyo nchiNi nchi gani salama kwenye hii dunia ambapo hao watu huwa wanasahau walikotoka na kuchinja raia?
Ufaransa na Uingereza lini walichinjwa na hao watu? Acha utoto
Dini ya Amani siyo,wanavyofanya watu Somalia,Nigeria,Palestine, Iraq,Afghanistan,Iran etc,Hao waliozunguka ndege Ni wamarekani wamepandikizwa Tu kuishangilia Ndege....Waafghanistan wa ukweli WaPo nyumbani wanashangilia kutawaliwa Na Dola ya haki ya kiislam(Dini ya Amani)