Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hawa technology ya ku repairZitatengenezwa tu na zitatumika tena usicheze na taliban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa technology ya ku repairZitatengenezwa tu na zitatumika tena usicheze na taliban
Dah hawa watu c mchezoo ni watundu na wanakipaji sana sana watatengeneza moja baada ya moja na Russia anaweza akawasaidia sana,Zitatengenezwa tu na zitatumika tena usicheze na taliban
Huyo jamaa cha kushangaza unakuta yeye ndo anakuquote Na kukufata mpk pm alafu anasema Eti wewe ndo unashobokea wanaume...Umenifata pm kabisa bila aibu unataka nikukule tigo!!!?
mashoga mpo wengi hakika ona noma
Mfadhili mkubwa wa Taliban Ni PakistanTatizo lako unawachukulia Taleban kama vilaza fulani hivi. Kwa taarifa yako tu neno Taleban maana yake ni wanafunzi na Taleban iliundwa na vijana wasomi wenye ari ya kujifunza ili kupambana pamoja na Mujahiddin wengine dhidi ya majeshi ya Urusi yaliyoivamia Afghanistan na kuikalia kwa miaka kumi kuanzia 1979 hadi 1989 kabla ya kushindwa vita na kuondoka kwa aibu. Hao jamaa wana elimu nyingi kuhusu silaha maana hata bunduki wanazotumia nyingi wanatengeneza wenyewe. Pia, wanapata msaada kutoka Iran, Russia, China, Qatar na mataifa mengine ya Kiarabu. Kwahiyo kukarabati hizo ndege ni rahisi tu wakitaka.
Sasa kama walimshindwa Israel Tu ndo wataiweza Marekani Na ulaya nzima?Hawa waarab Hawa na binamu zao waajemi,kwanini wasiungane wwnzishe vita ya tatu ya Dunia,Afghanistan,Iran,Saudia,Qatar,Pakistan,Malaysia,Uturuki,Misri,Syria,na washirika wao Urusi,china waungane wachapane na US na binamu yake UK na Ulaya,na Israel,Ili tueshimiane hapa duniani.
Cages za mbwa ni nzima waanze ufugaji
Naona mazwazwa mko wengi,watatengeneza kwa ujuzi upi walionao? Na spare watatoa wapi kwa sababu hizo helcopter na magari ni kutoka Marekani tuZitatengenezwa tu na zitatumika tena usicheze na taliban
Wewe uelewe kuwa hawatapata spare kwa sababu zinatoka Marekani tu,hizo ndege ni za US uelewe acha ushabiki wa kigaidiKwahiyo unabishana na taliban, wana engineers wakutosha wale
Unadhani ni pikipiki hizo?Hapo lazima ngoma zitembee tu, nikuziba kidogo kwenye dashbod, kuweka hiyo mishale na kubadili rangi vyombo vinapiga mzigo kama kawaida
Nyie magaidi mnapenda sana kujipa moyo,Iran wanatengeneza Black hawk? Na Humvee,?Taleban najua tu watasaidiwa na Iran kurekebisha ngawira zote zilizoachwa na mambo mengine.
Naona mazwazwa mko wengi,watatengeneza kwa ujuzi upi walionao? Na spare watatoa wapi kwa sababu hizo helcopter na magari ni kutoka Marekani tu
Swali la lijinga sana hili unadhan waliiba au walitengeneza wao kama walitengeneza wao wameshindwa nn kutengeneza B2 bomber like popo si watengeneza au hawalihitaji. Hzo ndege ni biashara ilifanyika enzi hzo hata Saudi na uturuki ana madege kibao ya marekani au nao wametengeneza. Ila kwasasa kutokana na uasama marekan hawez muuzia Iran siraha yoyote Ile ndege znyw f14 wakati marekan huko wako mbioni kustaafisha f22 raptor kwmb muda wake wa kuwa ulingoni umepita inatakiwa iandaliwe machine nyngn nzto kuliko hiyo. Wakati huohuo ndege kama f15&16 anazotumiaga Myahudi ni za mwaka 1945 huko lakini ndzo anatumiaga kuwasumbua waarabu huko na wanamuogopa Zaid ya kumtolea matamko Tu ambayo waarabu WA mbagala Humu huwa mksikia matamko na vitisho hivyo basi huanza kuibeza Israel as if hamjui bila Israel kuwa hatari kivita pale angeshatoweshwa SKU nyng sn najua hapa mtaibuka na hoja za uwepo WA marekani huwa nashangaa si huwa mnasema Iran anauwezo mkubwa sana WA kumtandka marekani kwahiyo Iran ni taifa linaloweza kumchapa marekani sa kwann Iran asiwasaidie hata hao Syria kurudsha milima Yao ili marekan akiingilia achezee kichapo kikali najua mtasema Hezbollah anawapga Israel haya Kwan anasubiri kusaidiana na Syria kurudsha Ile milima ya Golan pale au kuna nn hapo au Hezbollah's kwann wasimchakaze Israel wamtoe pale maana ndiye adui WA waarabu na waajemi pale kwann wasmuondoe pale au hao Iran why wasmuondoe paleHata Iran wana ndege za Kimarekani zile F14 na Tomcats jiulize walizipataje?
Wewe ni mpumbavu ndio maana huwezi kumjibu mtu hadi umtukane au umdhalilishe. Endelea na ukilaza wako mimi sina muda wa kubishana na wewe.Swali la lijinga sana hili unadhan waliiba au walitengeneza wao kama walitengeneza wao wameshindwa nn kutengeneza B2 bomber like popo si watengeneza au hawalihitaji. Hzo ndege ni biashara ilifanyika enzi hzo hata Saudi na uturuki ana madege kibao ya marekani au nao wametengeneza. Ila kwasasa kutokana na uasama marekan hawez muuzia Iran siraha yoyote Ile ndege znyw f14 wakati marekan huko wako mbioni kustaafisha f22 raptor kwmb muda wake wa kuwa ulingoni umepita inatakiwa iandaliwe machine nyngn nzto kuliko hiyo. Wakati huohuo ndege kama f15&16 anazotumiaga Myahudi ni za mwaka 1945 huko lakini ndzo anatumiaga kuwasumbua waarabu huko na wanamuogopa Zaid ya kumtolea matamko Tu ambayo waarabu WA mbagala Humu huwa mksikia matamko na vitisho hivyo basi huanza kuibeza Israel as if hamjui bila Israel kuwa hatari kivita pale angeshatoweshwa SKU nyng sn najua hapa mtaibuka na hoja za uwepo WA marekani huwa nashangaa si huwa mnasema Iran anauwezo mkubwa sana WA kumtandka marekani kwahiyo Iran ni taifa linaloweza kumchapa marekani sa kwann Iran asiwasaidie hata hao Syria kurudsha milima Yao ili marekan akiingilia achezee kichapo kikali najua mtasema Hezbollah anawapga Israel haya Kwan anasubiri kusaidiana na Syria kurudsha Ile milima ya Golan pale au kuna nn hapo au Hezbollah's kwann wasimchakaze Israel wamtoe pale maana ndiye adui WA waarabu na waajemi pale kwann wasmuondoe pale au hao Iran why wasmuondoe pale
Mpumbavu na kilaza ni ww na familia yako yote chokofresh ww unasema huwez kubshana na Mimi wakati Tyr umeshanijbu kama si kuwasha kundu Hilo ni nn huna majibu ya kile nilichoandka umekimbilia kutoa sifa zlizo ndani yako na Wana familia wako Yani kuwa wapumbavu na vilaza. Mwehu weweWewe ni mpumbavu ndio maana huwezi kumjibu mtu hadi umtukane au umdhalilishe. Endelea na ukilaza wako mimi sina muda wa kubishana na wewe.
Wewe ni mpumbavu ndio maana huwezi kumjibu mtu hadi umtukane au umdhalilishe. Endelea na ukilaza wako miwe.
Duuh nimeonaTaliban parades US military equipment through streets of Afghanistan
![]()
Taliban parades US military equipment through streets of Afghanistan
Video shot by Taliban forces showed a parade of abandoned U.S. military equipment, including a Black Hawk helicopter, outside Kandahar on Wednesday.www.yahoo.com
Sidhani kama Masuala haya ya vifaa vya Usalama ni headache kw Taliban, kuna players wengi tu wa kutimiza mahitaji yao. Russia is top of them!Spare parts ndio hitaji kubwa ktk matengenezo, watapata wapi?
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]haki ya nani wanashangaa mini?[emoji28][emoji28][emoji28]Hizi ndege serikali iliyoondolewa haikuwa na uwezo wa kuzifanyia maintenance wala operation. Sembuse hawa wavaa mashuka waliokuwa wanashangaa gym
Ushoga ulianzia hukuKwahio mashoga mnajiona ndio wenye haki tu ??