Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Nilisema Mmarekani ni mnafiki watu wengi hawakunielewa. Leo wamekuja na hoja ya kushirikiana na Taleban ila wanasema hawataitambua kama serikali halali.

Yaani baada ya kujifanya kupigana na Taliban kwa takriban miaka ishirini, uharibifu wote huo, mauaji hayo yote! Marekani anakuja kushirikiana na Taliban? Huu upuuzi unatakiwa kushabikiwa na maduwanzi tu.

Hata kama wameacha magofu bado ukweli uko pale pale, Marekani imeshindwa na kuondoka Afghanistan kwa aibu.

Hakuna taifa litakaloliogopa Marekani tena. Wana PR tu ila nguvu ya vita labda teknlogjia

Hahahajaksjshshsjsjshshjs

Vp kuhusu urusi unamuweka wapi maana Naye alivurumishwa na haohao Taliban alipakimbia hapo Hana hamu nao vp Naye haiogopwi tena sababu Tu alipgwa na hao Taliban tena chini ya huyu huyu Putin
 
Hizo zilizoharibiwa ni zile za airport tu, kuna mzigo wa dollar billions kadhaa umeachwa kwenye makambi yaliokua yawamarekani, sasaivi mataifa na wakiwemo wamarekani wenyewe wanalalamika kuwa taliban wamepata mzigo mwingi ulioachwa kwenye makambi, kuna magari mengine jana yalionyeshwa yameingia Iran yanapelekwa huko, pia kuna maelfu ya majeshi wa serikali waliokua na vifaru na magari na silaha nyengine waliojisalikisha kwa Serikali ya Iran wakaomba ukimbizi huko na kusalimisha silaha
Kwa dollar danganya wengine
 
Lkn hao hao wavaa mashuka wameweka history ambayo haitafutika hadi DUNIA inakwisha baada ya miaka 20 yrs kuondolewa kwenye madaraka na TALIBAN kuweka kwenye GROUP la KIGAIDI.

TAIFA KUBWA na lenye nguvu wamekubali yaishe na kufikiria kunegotiate na Kundi wao waliliweka kwenye kundi la KIGAIDI kwa maana mziki wao wameushindwa wavaa mashuka wametisha na kitu kingine USA inawauma sn vitu walivyo chukua hao jamaa for free vina cost BILLION OF DOLLAR .

USA walicho kifanya pale AIRPORT kuharibu zile Helicopter ni sawa sawa na Mtu umemfuma mwanamke wako uliye muhudumia kwa muda mrefu ukachukua Simu yake na kuivunja.
Ulipata chanjo ya COVID-19 na ya Tatizo la akili
 
Wataanunua tu bombadie zao kwa kuwakamua wanaichi wao I'll kununia mpya ya Airbus Kama refer tu magufulii voice ...
 
Hawa waarab Hawa na binamu zao waajemi,kwanini wasiungane wwnzishe vita ya tatu ya Dunia,Afghanistan,Iran,Saudia,Qatar,Pakistan,Malaysia,Uturuki,Misri,Syria,na washirika wao Urusi,china waungane wachapane na US na binamu yake UK na Ulaya,na Israel,Ili tueshimiane hapa duniani.
Umri wako tafadhali
 
Ww bana bado unang'ang'ania tu nikuwashe kimoja......katafute mabasha pande zingine nimeshakwambia mm situmii marinda
Siku zote mtu jambo alifanyalo hudhani au huamini kua na watu wengine hufanya kama afanyavyo yeye,

Una jitangaza hapa kua unaliwa marinda japo unajitangaza indirect ila umeeleweka.
 
jambo ambalo naliona hapa linalo wafanya watu wengi wahoji kwanini mzungu (USA) kaondoka Afghanistan na kuacha logistics nyingi zinaonekana mpya,ni maisha ya nchi za ulimwengu wa tatu .Ambopo tunafikiri ulimwngu wa kwanza wezetu wa wazungu (USA) wana mentality kama za ulimwengu wa tatu ,hao kitu kikitumika kwa mda wao waliopanga na kama mission imetimia ni second hand aka mtumba watakacho fanya hapo ni kuharibu vile ambavyo vita hatarisha usalama wa taifa la marekani na washirika wake .notes kuna kitu kinatengenezwa hapo ili badae sales zifanyike wait time will tell ,usa is big brain.
 
Siku zote mtu jambo alifanyalo hudhani au huamini kua na watu wengine hufanya kama afanyavyo yeye,

Una jitangaza hapa kua unaliwa marinda japo unajitangaza indirect ila umeeleweka.
Acha kunifata pm nikutatue marinda huo mchezo sifanyi husikii!!??
alafu unang'ang'ania mtu akukule noma sana
 
Back
Top Bottom