Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Tatizo lako unawachukulia Taleban kama vilaza fulani hivi. Kwa taarifa yako tu neno Taleban maana yake ni wanafunzi na Taleban iliundwa na vijana wasomi wenye ari ya kujifunza ili kupambana pamoja na Mujahiddin wengine dhidi ya majeshi ya Urusi yaliyoivamia Afghanistan na kuikalia kwa miaka kumi kuanzia 1979 hadi 1989 kabla ya kushindwa vita na kuondoka kwa aibu. Hao jamaa wana elimu nyingi kuhusu silaha maana hata bunduki wanazotumia nyingi wanatengeneza wenyewe. Pia, wanapata msaada kutoka Iran, Russia, China, Qatar na mataifa mengine ya Kiarabu. Kwahiyo kukarabati hizo ndege ni rahisi tu wakitaka.
Mfadhili mkubwa wa Taliban Ni Pakistan
 
Hawa waarab Hawa na binamu zao waajemi,kwanini wasiungane wwnzishe vita ya tatu ya Dunia,Afghanistan,Iran,Saudia,Qatar,Pakistan,Malaysia,Uturuki,Misri,Syria,na washirika wao Urusi,china waungane wachapane na US na binamu yake UK na Ulaya,na Israel,Ili tueshimiane hapa duniani.
Sasa kama walimshindwa Israel Tu ndo wataiweza Marekani Na ulaya nzima?
 
Hata Iran wana ndege za Kimarekani zile F14 na Tomcats jiulize walizipataje?
Swali la lijinga sana hili unadhan waliiba au walitengeneza wao kama walitengeneza wao wameshindwa nn kutengeneza B2 bomber like popo si watengeneza au hawalihitaji. Hzo ndege ni biashara ilifanyika enzi hzo hata Saudi na uturuki ana madege kibao ya marekani au nao wametengeneza. Ila kwasasa kutokana na uasama marekan hawez muuzia Iran siraha yoyote Ile ndege znyw f14 wakati marekan huko wako mbioni kustaafisha f22 raptor kwmb muda wake wa kuwa ulingoni umepita inatakiwa iandaliwe machine nyngn nzto kuliko hiyo. Wakati huohuo ndege kama f15&16 anazotumiaga Myahudi ni za mwaka 1945 huko lakini ndzo anatumiaga kuwasumbua waarabu huko na wanamuogopa Zaid ya kumtolea matamko Tu ambayo waarabu WA mbagala Humu huwa mksikia matamko na vitisho hivyo basi huanza kuibeza Israel as if hamjui bila Israel kuwa hatari kivita pale angeshatoweshwa SKU nyng sn najua hapa mtaibuka na hoja za uwepo WA marekani huwa nashangaa si huwa mnasema Iran anauwezo mkubwa sana WA kumtandka marekani kwahiyo Iran ni taifa linaloweza kumchapa marekani sa kwann Iran asiwasaidie hata hao Syria kurudsha milima Yao ili marekan akiingilia achezee kichapo kikali najua mtasema Hezbollah anawapga Israel haya Kwan anasubiri kusaidiana na Syria kurudsha Ile milima ya Golan pale au kuna nn hapo au Hezbollah's kwann wasimchakaze Israel wamtoe pale maana ndiye adui WA waarabu na waajemi pale kwann wasmuondoe pale au hao Iran why wasmuondoe pale
 
Wewe ni mpumbavu ndio maana huwezi kumjibu mtu hadi umtukane au umdhalilishe. Endelea na ukilaza wako mimi sina muda wa kubishana na wewe.
 
Wewe ni mpumbavu ndio maana huwezi kumjibu mtu hadi umtukane au umdhalilishe. Endelea na ukilaza wako mimi sina muda wa kubishana na wewe.
Mpumbavu na kilaza ni ww na familia yako yote chokofresh ww unasema huwez kubshana na Mimi wakati Tyr umeshanijbu kama si kuwasha kundu Hilo ni nn huna majibu ya kile nilichoandka umekimbilia kutoa sifa zlizo ndani yako na Wana familia wako Yani kuwa wapumbavu na vilaza. Mwehu wewe
 
Unajua maana ya kuulza swali la kijinga je unajua maana ya mjinga? Mjinga na mpumbavu si matusi rejea kesi ya sugu na mizengo pinda pale serikali ilipomshitaki sugu kisa kumuita pinda mpumbavu Ile kesi sugu alishinda maana tafsiri ya mpumbavu au mjinga si tusi.

Kilaza hujui we umeambiwa umekuza swali la kijinga unakimbilia kudai umetukanwa unasubiri nn kwenda mahakamani maana matusi ni kosa kisheria nyie ndo huwa mnakimbilia mahakamani kufungua kesi Kwa vitu vya ajabu ajabu mwisho WA SKU mnashindwa kesi mnalipshwa bil 7 hela ambayo hata uuzwe ww haipatikani kilaza na mpumbavu mmoja ww
Wewe ni mpumbavu ndio maana huwezi kumjibu mtu hadi umtukane au umdhalilishe. Endelea na ukilaza wako miwe.
 
Spare parts ndio hitaji kubwa ktk matengenezo, watapata wapi?
Sidhani kama Masuala haya ya vifaa vya Usalama ni headache kw Taliban, kuna players wengi tu wa kutimiza mahitaji yao. Russia is top of them!
 
1630931791814.jpeg

mzungu kavaa hijabu ndani ya Kabul.

yuko ugenini, shenz type.

sehemu kama hiyo mzungu hawezi kusema anataka kuwaletea ushoga. Au chanjo. Au hizi mbegu za GMO mnasema miche ya kisasa. Au alama za vidole. Kwa msiojua, kusajili kila Mtanzania kwa alama za vidole lilikuwa ni shinikizo la Mmarekani, na gharama zake.

hapa kwetu ukisema beberu hawezi kutulazimisha anayoyataka yeye, unaambiwa wewe huwezi kutengeneza hata kiberiti, lazima uwe kidampa kwa mzungu

Jangwa la Taliban country lile wana nini wale, wanatengeneza viberiti ?

Na si Afghan tu, Uarabuni kote Mzungu akitua airport heshima mbele! Mtu anaevua viatu mlangoni kwako, au kuvua kofia, au kupandisha suruali ya kata K, ina maana anatangaza toka mlangoni atasalimu kila amri na mpango wa maisha alioukuta mule ndani mwako.

Simply because Mwarabu alishamwambia ee bana eeh, hapa kwetu sisi hatutaki ungese. Mwafrika yeye bado kikaragosi, msalie mtume.
 
Hizi ndege serikali iliyoondolewa haikuwa na uwezo wa kuzifanyia maintenance wala operation. Sembuse hawa wavaa mashuka waliokuwa wanashangaa gym
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]haki ya nani wanashangaa mini?[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom