Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Hizi ndege serikali iliyoondolewa haikuwa na uwezo wa kuzifanyia maintenance wala operation. Sembuse hawa wavaa mashuka waliokuwa wanashangaa gym
 
Hizi ndege serikali iliyoondolewa haikuwa na uwezo wa kuzifanyia maintenaance wala operation. Sembuse hawa wavaa mashuka waliokuwa wanashangaa gym
Lkn hao hao wavaa mashuka wameweka history ambayo haitafutika hadi DUNIA inakwisha baada ya miaka 20 yrs kuondolewa kwenye madaraka na TALIBAN kuweka kwenye GROUP la KIGAIDI.

TAIFA KUBWA na lenye nguvu wamekubali yaishe na kufikiria kunegotiate na Kundi wao waliliweka kwenye kundi la KIGAIDI kwa maana mziki wao wameushindwa wavaa mashuka wametisha na kitu kingine USA inawauma sn vitu walivyo chukua hao jamaa for free vina cost BILLION OF DOLLAR .

USA walicho kifanya pale AIRPORT kuharibu zile Helicopter ni sawa sawa na Mtu umemfuma mwanamke wako uliye muhudumia kwa muda mrefu ukachukua Simu yake na kuivunja.
 
Tuletee picha zikiruka hizo ndege nzima zilizoachwa.
 
Kwanini USA hawakuzichukua hizo ndege zao na Halikopta?

Kwanini waliamua kuziacha Afghanistan hata kama wameziharibu?

Maana mpango wa wao kuondoka ulishatangazwa na Biden tena mpaka tarehe ya kuondoka ilisha julikana mapema.
 
Hata wakiziharibu hizo ndege ndo wanamkomoa nani sasa,,, kwani hao Taliban waliwaandikia barua ya kutaka hizo ndege, yani hapo mmarekani katoboa mtumbwi na yeye mwenyewe yupo humo humo
 
Kwanini USA hawakuzichukua hizo ndege zao na Halikopta?

Kwanini waliamua kuziacha Afghanistan hata kama wameziharibu?

Maana mpango wa wao kuondoka ulishatangazwa na Biden tena mpaka tarehe ya kuondoka ilisha julikana mapema.
Aim ya USA AFGHANISTAN ilikuwa inajulikana toka walipo amua kuondoka kilicho tokea kime kuwa opposite na USA walicho tegemea kutokea AFGHANISTAN na hilo ndio linawaumiza vibaya sn .

Wao walitegemea wanaondoka wanawacha nyuma ZAHAMA sababu walijua Jeshi la AFGHANISTAN walivyo re -trained na vifaa walivyo navyo lingeweza kuwakabili TALIBAN kwa muda kidogo lkn eventually wangeshindwa mbeleni huko maana mziki wa TALIBAN sio wa mchezo hauwishi.

Kilocho tokea AFGHAN government wakaona isiwe taabu kwanini tutowane ROHO na kuaharibu mali wakati wanajua hawato weza kutawala tena kwa amani walicho kifanya ni sawa sawa kabisa ku surrender kwa amani bila uharibifu wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…