Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

US hawabebi takataka ambazo walishachoka kuzitumia au zinaelekea mwisho wa service life. Usiwe mgeni wa logistics, nenda kaone miradi mikubwa ya wazungu makampuni yao yakishamaliza uacha vifaa chakavu na visivyo muhimu.

US kawaondoa Taliban wakiwa kwao na akakalia nchi yao kwa miaka 20. Taliban baadae wakachukua nchi yao. Hizi ni historia mbili nzito, Taliban wapambane na kujenga nchi jambo ambalo hawawezi kirahisi hivi
 
Hakuna takataka pale vile vitu vyote baado vinamatumizi zinge kuwa takataka wasinge viharibu wameviharibu kwamaana baado vinamatumizi una compare miradi ya huko kwenu TANZANIA makampuni yanapo maliza project basi na vifaa hawana shida navyo wewe una compare USA army wewe kweli unatakiwa upimwe mkojo.
 
Na zile ndege walizokuwa wanapiga self Na kupaa ni mbovu.
hizo ni sehem za matengenezo Gereji kupatikana vifaa vilivyoharibika ni Kitu cha kawaida.
 
Kule Mojave desert kuna maelfu ya ndege zimepaki kwenye boneyard zimeisha matumizi. Kuacha vifaa ni kawaida sana
 
Hii mizigo unayoisema: haikubali filter oil na diesel za kichina wala za kuungaunga, Taliban wanakuja kukwama very soon kwenye service, achiliambali spea na matengenezo.
Taari izo zilizoharibiwa zimeshapekekwa Iran, wanaenda kuzikarabati, ombeni Mungu wasije wakaanza kufunzwa kutengeneza air defence na ballistics missiles kutoka Iran maana sasaivi ndio nchi inayowapa support kwa nguvu
 
Jamaa kiboko na hayo magari ambayo yanaonekana angalau kidogo , wajaribu kunaendesha waone , wamarekani ni balaa tupu watakuta hata breki hayana na sina uhakika na vifaa vingine kila kitu kimekua tempered with
Yani wavaa kobazi watapata sana shida na hizo Mali za mmarekani...
mwishowe zitawanyonga
 
Taari izo zilizoharibiwa zimeshapekekwa Iran, wanaenda kuzikarabati, ombeni Mungu wasije wakaanza kufunzwa kutengeneza air defence na ballistics missiles kutoka Iran maana sasaivi ndio nchi inayowapa support kwa nguvu
Mkuu Taliban kuwa na uhusiano wa kisjeshi na Iran, ni ndoto ya mchana. sababu Taliban ni waislam wa kisunni wenye msimamo mkali inayowaona wairani kwa vile madhehebu yao ni ya waislamu wa SHIA kuwa sio waislam ni makafiri, ndio maana 1998 Taliban walivokua wanaitawala Afghanistan walimuuwa Balozi mdogo wa Iran pamoja na wandiplomasi 8 kwenye mji wa Mazari-Sharif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…