Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Hasira zao wamewapa Iran wakibadilishana kwa Mafuta diesel na Petrol kama mbwai mbwai tu
 
Arsonists.

Hasira za kushindwa vita.
 
Marekani co mujinga awaachie zikiwa nzima,,, anajuwa kabisa watacopy kama zilivyo,,, alafu ninyi wabongo msijilinganishe na Afghanistan,,yanii imefikia stage mnawazarau,, hamujaenda wala kuishi nchi yao walau mwezi mmoja mujioneee. Hao co waswahili wa lukutana gengeni kunywa kahawa na majungu juu,, wenzetu kazi kazi nyie hata toothpick imewashinda!!! God bless Afghanistan
 
Hao wanaoshangaa gym! Hawawezi kuzitengeneza
 
Spare parts ndio hitaji kubwa ktk matengenezo, watapata wapi?
China of course - miaka ya nyuma Auditor General wa Serikali ya USA alishangaa alipo baini kwamba robo tatu za vipuri vya military planes za kwao vilikuwa vinaagizwa kutoka Uchina!!! Sasa Wataliban watashindwaje kuwaomba Wachina wakarabati ndege na chopper zilizo achwa na USA zikiwa zimeharibiwa makusudi.
 
Na alivyokuwa anajiamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hajui kuwa kunaa nchi zipo na zinafanana majina ya mwisho.


There are seven countries in Central Asia with the suffix "-stan": Kazakhstan, Tajikistan, Uzbekistan, Kyrgyzstan, Turkmenistan, Afghanistan, and Pakistan. The suffix comes from the Persian root istan, or "land"—hence the "land of the Uzbeks," "land of the Kazakhs," and so forth.
 

Alikurupuka sana
Tena miji yao mizuri tu ila haivumi [emoji106]
 
Zitatengenezwa tu na zitatumika tena usicheze na taliban
Wao wanachofahamu ni kukata watu vichwa tu na mikono, hata majambia tu wanazotumia katika kulazimisha imani yao pia wanaagiza kutoka kwa wengine.
 
I think the suffix "Stan" and not "Istan" has its roots from the Turkish group of languages and not Persian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…