Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu wengi.

Ni wiki moja tangu wapiganaji wa Islamic State (IS) kumuua kiongozi wa kidini anayeunga mkono Taliban katika mlipuko wa bomu la kujitoa mhanga, huko Kabul.

Mashahidi wameeleza kuwa walisikia mlipuko mkubwa ambao ulivunja madirisha katika majengo ya karibu. Vikosi vya Usalama tayari vimefunga eneo hilo.
------------------------------

A huge explosion has ripped through a crowded mosque in the Afghan capital Kabul, killing 21 people, police say.

Another 33 people were injured, Kabul police spokesman Khalid Zadran said.

Wednesday's blast occurred during evening prayers. The mosque's imam is reported to be among the dead.

It is unclear who was behind the attack, a week after a Islamic State (IS) militants killed a pro-Taliban cleric in a suicide bomb blast, also in Kabul.

Security forces have now sealed off the blast scene in Kabul.

Witnesses described hearing a powerful explosion which shattered windows in nearby buildings.

"I saw that so many people were killed, even people were thrown out of the windows of the mosque," one eyewitness told Reuters news agency.

Stefano Sozza, the head of the medical charity Emergency, which runs the city's main hospital, told the BBC his group had already treated 35 people, including children.

"Our doctors... operated [on] the patients in need of surgical assistance all night long. The injuries were mainly related to the blast so there were shells inside the bodies and burning injuries all over the bodies of the victims".

He said he believed the blast was inside the mosque. "There was probably someone entering during the prayer time, so it was crowded at that moment and then [the attacker] activated this body burning improvised explosive device.

"So that all the persons that were close to the attacker were basically dead and the ones all around received several injuries," Mr Sozza added.

Source: BBC
 
Dini inafundisha waislam ni ndugu.

Ila waislam ndio imani inayoongoza kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe

Hata saudi arabia nchi takatifu ambayo ndio waislam wanaenda kuhiji inaua sana waislam wenzao ambao ni nchi jirani nao huku raia wa nchi za kikristo inawaogopa
 
Hizi vita tunazozishangilia ipo siku zitatuponza......kila idara lazima awepo kiongozi sasa anapotokea mwingine na kuleta upinzani ndipo mgawanyiko hutokea....hivi sasa tuna makundi mengi ya uasi na yote sababu kila mtu anataka kuwa kiongozi na ukuu
 
Kukiwa na kiongozi wa aina ya jina lako lazima apingwe tu bila kujali gharama.
Hizi vita tunazozishangilia ipo siku zitatuponza......kila idara lazima awepo kiongozi sasa anapotokea mwingine na kuleta upinzani ndipo mgawanyiko hutokea....hivi sasa tuna makundi mengi ya uasi na yote sababu kila mtu anataka kuwa kiongozi na ukuu
 
Ngoja waje wafia dini wailaumu usa.

Anyway pole kwa wafiwa na walale salama wote walio fariki.

Kukomesha haya tuwe na dini moja tu ama tusiwe na dini kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini ya matabaka hii....inaruhusu kumuua binaadam mwenzako kisingizio kafir
Kuna mwenzao alisema mafundisho yao yanakanganyana, na kama siyo basi mungu wao wanayemwabudu atakuwa kachanganyikiwa- wakaona isiwe shida wakampiga risasi lakini hoja zake hawakutaka kushughulika nazo, I wish apone
 
Dini inafundisha waislam ni ndugu.

Ila waislam ndio imani inayoongoza kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe

Hata saudi arabia nchi takatifu ambayo ndio waislam wanaenda kuhiji inaua sana waislam wenzao ambao ni nchi jirani nao huku raia wa nchi za kikristo inawaogopa
umeandika vzr ila sentens ya mwisho hujatumia akili kuiongezea , hautakiw kuua mtu yeyote sabab hukumuumba wewe , naamin unaamin mungu ndo muumba wa kila kitu
 
Back
Top Bottom