jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mbaya zaidi hakuna umma wa jamii ya kiislamu hukemea hayo..badala yake hukaa kimya kama hawajua kinachoendelea.Walichokifanya siyo cha haki na ni kinyume na uislamu wakati wa uhai wa mtume muhamad s.a.w alikuwa anaishi na watu wa dini nyingine tofauti na uislamu bila kuwanyanyapaa wala kuwafanyia vitimbi vya aina yoyote na huu ndio upendo aliotuachia mtume hakuna kulazimishana kwenye dini kama mtu umempa nasaha na mawaidha na akagoma kuyaamini utakiwi kumlazimisha kilichofanyika Nigeria ni kumdhurumu haki yake ya kuishi yule binti ..NB: uislamu ni dini ya upendo na amani pale msiokuwa waislamu mnapoishinao kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
#MaendeleoHayanaChama