Mnachoshindwa kuelewa nyinyi ambao msioujua uislamu vizuri na mafundisho yake ..NB: Uislamu ni dini ya upendo na amani na ipo kinyume na ayo yanayofanyika uislamu umekataza ayo yaliyofanyika na uko wazi kabisa mnachokosea au msichokijua ni kuwa mna upa dosari uislamu kwa matendo ya muislamu.. muislamu ni mtu kama wewe tu na wala siyo malaika na ndio mahana kwenye uislamu sisi uwa atamfuati mtu bali Qurani na sunah tu binadamu anakosea lakini maneno ya mwenyezi mungu na mafundisho na makatzo yake wala hayana dosari na ayatakuja kuwa na dosari nitawapa mfano tu uko marekani matukio mangapi yanatokea ya mauaji kanisani anatokea mtu anawashambulia watu wakiwa kwenye ibada? mlishawai kusikia tuna uhukumu ukristo kwa kosa la mkristo? Kabla auja ukosoa uislamu ni vyema ukausoma na kuhujua vizuri.
Sent using
Jamii Forums mobile app