Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

wewe una uhakika gani kua ni Waislam kwa Waislam wanauana ?

acha kuropoka usiyoyajua ...
 
makafir naoona mnajiropokea tu kwa midomo mizito kama mumekunywa uji wa magimbi wakati matukio yote haya yanafanywa na kafir ila mnajitoa akili
 
umeandika vzr ila sentens ya mwisho hujatumia akili kuiongezea , hautakiw kuua mtu yeyote sabab hukumuumba wewe , naamin unaamin mungu ndo muumba wa kila kitu

Saudi arabia anamuua muislam mwenzake kutoka yemen, iran etc. Ila mmarekani na muingereza inamuogopa
 
makafir naoona mnajiropokea tu kwa midomo mizito kama mumekunywa uji wa magimbi wakati matukio yote haya yanafanywa na kafir ila mnajitoa akili
Kwanza kwanini umuite mwenzio kafili?
Kun videoclip nliona jamaa wanemuuwa m mama kisa hajavaa hijab tu! Je nani kafil hapa
 
Ngoja waje wafia dini wailaumu usa.

Anyway pole kwa wafiwa na walale salama wote walio fariki.

Kukomesha haya tuwe na dini moja tu ama tusiwe na dini kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Dini moja ndo kitaumana, wakati msabato anaamini siku ya saba ni takatifu, , soma historia nyuma usije ukarudia ya enzi za rumi
 
wewe una uhakika gani kua ni Waislam kwa Waislam wanauana ?

acha kuropoka usiyoyajua ...
Unataka kusema ni kunguni na chawa? Ww unauhakika gani kwamba sio waislam kwa waislam wanao pigana?
 
Saa nyingine dini inatufanya tuwe watumwa wa dhambi tena
 
Hizi dini zingine shida sana,walitaka nchi itawaliwe kiislam,Talibsn wapo Madarakani,nilitegemea,hsyo mashambulizi ya IS,yaishe,sasa shida nini Tena!?waislam(IS)wanawashsmbulia waislam wenzao(Taliban)?!
 
Ukristu unafundisha Binadamu wote ni ndugu na wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Hivyo ukristu unafundisha upendo,heshima na kumthamini binaafamu wote bila kuzingatia tofauti za kiimani
 
Nani amekwambia kuwa waliolipua huo msikiti NI waislam!?
ili mtu awe muislam anatakiwa awe na vigezo gani?
 
Waarabu bila shaka wana matatizo kichwani, kwanini muuane wenyewe kwa wenyewe.
 
Ni tatizo
 
Mnachoshindwa kuelewa nyinyi ambao msioujua uislamu vizuri na mafundisho yake ..NB: Uislamu ni dini ya upendo na amani na ipo kinyume na ayo yanayofanyika uislamu umekataza ayo yaliyofanyika na uko wazi kabisa mnachokosea au msichokijua ni kuwa mna upa dosari uislamu kwa matendo ya muislamu.. muislamu ni mtu kama wewe tu na wala siyo malaika na ndio mahana kwenye uislamu sisi uwa atamfuati mtu bali Qurani na sunah tu binadamu anakosea lakini maneno ya mwenyezi mungu na mafundisho na makatzo yake wala hayana dosari na ayatakuja kuwa na dosari nitawapa mfano tu uko marekani matukio mangapi yanatokea ya mauaji kanisani anatokea mtu anawashambulia watu wakiwa kwenye ibada? mlishawai kusikia tuna uhukumu ukristo kwa kosa la mkristo? Kabla auja ukosoa uislamu ni vyema ukausoma na kuhujua vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubarikiwe kwan kuna wakati najjiuliza hii dini vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…