Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

Mbaya zaidi hakuna umma wa jamii ya kiislamu hukemea hayo..badala yake hukaa kimya kama hawajua kinachoendelea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bora kiumane tu ili dunia iwe na amani..hizi imani nyingi ni upuuzi mtupu..ama kusiwe na dini ulimwengu..ingawa ni kitu kigumu.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23] ili taifa lisimame lazime imani ziwepo , kusema dini iwe moja au kusiwepo dini... Ni kama ndoto

Usione dini zipo zimepiganiwa na wafia dini ambao walisha panda mbegu za imani kitamboo sanaaa
 
Hii dini hii, mwamedi aliwaponza sana waarabu.
 
Waislam bhuana!.

Wanauana wao kwa wao
 
makafir naoona mnajiropokea tu kwa midomo mizito kama mumekunywa uji wa magimbi wakati matukio yote haya yanafanywa na kafir ila mnajitoa akili
duh so wale waliowaletea dini nao ni makafir ? ww mpokea dini ndo mtakatifu
 
Saudi arabia anamuua muislam mwenzake kutoka yemen, iran etc. Ila mmarekani na muingereza inamuogopa
sw ila soma nlichoandika na uangalie jibu lako , kuua hauruhusiw no matter nan anamuogopa nan , marekan na uingereza sio watoa vibali vya kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…