Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
245154501_909088446394865_5514189208103415052_n.jpg
 
Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu,ingawa alikuwa na mapungufu yake Ila Mimi wiki hii nimeanza kumuona alikuwa Ni shujaa, toka nipate tetesi eti tunatafuta wawekezaji waje tuizike TANESCO na wakati huohuo Nyerere Dam inaanza kutapika umeme mwakani kwa gharama zetu halafu waje watu kuvuna tu!

Nilikuwa natarajia kuanza kupika kwa jiko la umeme na tayari nimeshanunua na pasi na mengineyo kwa kujidai Kama alivyo tuahidi mwendazake kuwa atatupatia umeme kwa Bei nafuu tuachane na mkaa.

Halafu mnakuja na mbwembwe ati mnataka watu Kati madalali Kweli?

Nimem miss Sana huyo mzee alale kwa amani namuahidi tutapambana nao.
 
Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu,ingawa alikuwa na mapungufu yake Ila Mimi wiki hii nimeanza kumuona alikuwa Ni shujaa, toka nipate tetesi eti tunatafuta wawekezaji waje tuizike TANESCO wakati Nyerere Dam inaanza kutapika umeme mwakani na nilikuwa natarajia kuanza kupika kwa jiko la umeme pasi na mengineyo kwa kujidai Kama alivyo tuahidi mwendazake, mnakuja na mbwembwe ati mnataka watu Kati madalali Kweli?
Nimem miss Sana huyo mzee alale kwa amani tutapambana nao.
kufanya uwekezaji kwa serikali sio vibaya,kwanza serikali kufanya biashara haiwezi kujitwisha huo mzigo ni vizuri sana,hebu imagine sasaivi teknolojia ya mawasiliano ilipofikia na uko nyuma ilivyokuwa ttcl ndio utaelewa
 
Back
Top Bottom