evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Mkuu maybe upo sahihi kwa mtazamo wako!!! Lakini nataka nikwambie kuwa kiongozi mkuu kwenye nchi sio mchezo jamaa angu.... Yani kuna maamuzi unalazimika kuchukua kwa maslai ya taifa!!! Nikuulize ilikuwa ni sahihi lissu kutetea wazungu kwenye wizi wa madini??? Na kama wewe ungekuwa ni raisi ungefanyaje?? Note sihalalishi kuuwa lakini pia hakuna anaejua lissu ni nani muhusika mpaka now.... Ni kama mama saizi na issue ya mbowe unafikiri angefanyaje??? Au ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu?
Inamaana ili kaburi linalindwa mpka leo ??R.I.P
Ana haki apewe eshima kumbukseni alikua raisi na s diwanikimyomoyo ukute huyo mwenye shati la kitenge anashukuru kufa kwa jiwe.
kifua cha binadamu kinabeba siri nyingi sana.
Na waliompiga risasi lisu ni malaika?Lisu ni shetani anayetembea
Duh teuzi hizi...
Don't travel under another's lucky star and Do not rely on someone else's good fortune...πWhat difference does it make?
Ni Waziri wa nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu Jenista MhagamaHuyo aliyepiga magoti ni Nani?
Kaolewa huyo mke wa mtu sumu.Lisu ni shetani anayetembea