Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

Alikuwa dhalimu, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika fullstop.

mkuu uwe unatumia hata tundu la nyuma kama akili zinakuwa zimegoma kufanya kazi.

kila sehemu mnapenda kutangaza itikadi zenu za kunyanduliwa.
 
Kiburi, ujeuri,nyodo,kujiona wewe ndio wewe,ujuwaji mwingi,umungu mtu mwisho hapo.

sasa hata utie huruma mwisho ni hapo hapo,it worth nothing[emoji16][emoji16][emoji16]

pole kamanda kwa kufirigiswa.
 
245154501_909088446394865_5514189208103415052_n.jpg
Haya ni matumizi mabaya ya pesa na ardhi.
 
Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu,ingawa alikuwa na mapungufu yake Ila Mimi wiki hii nimeanza kumuona alikuwa Ni shujaa, toka nipate tetesi eti tunatafuta wawekezaji waje tuizike TANESCO na wakati huohuo Nyerere Dam inaanza kutapika umeme mwakani kwa gharama zetu halafu waje watu kuvuna tu!
Nilikuwa natarajia kuanza kupika kwa jiko la umeme na tayari nimeshanunua na pasi na mengineyo kwa kujidai Kama alivyo tuahidi mwendazake kuwa atatupatia umeme kwa Bei nafuu tuachane na mkaa.
Halafu mnakuja na mbwembwe ati mnataka watu Kati madalali Kweli?
Nimem miss Sana huyo mzee alale kwa amani namuahidi tutapambana nao.
Wawekezaji Wana shida gani na wewe huko Tanesco? Acha upuuzi mkuu haiwezekani kila shirika lijiendeshe kwa hasara na gharama wanabeba walipakodi..

Yaani nitozwe kodi kulipia matumbo ya watu wa Tanesco,ttcl,Atcl,TRC,Tazara,UDART na nashirika mengine ya kipuuzi kama hayo.

Ukipiga hesabu gharama nazolipa ni kubwa Sana bora nilipie umeme bei juu halafu kuwe na ufanisi..
 
Yaani mimi nikatembelee kaburi la mfu ambae hata sio mzazi wangu wala kiongozi wangu wa imani,sina upumbavu huo afu ni kumdhihaki Mungu..

Siku ya Kumbukumbu ya Nyerere unaenda kwa Magu kwa ajili gani? Dunia ina viroja Sana hii.
 
India walishakataa hiyo makitu, unatandikwa moto, ndugu wanachukua majivu, mkiamua kutunza ok, mkiamua kuyamwaga mtajua mwenyewe! Nchi nyingi zinaadopt hiyo kitu! Hebu angalia eneo potential kama Kinondoni Makaburini, linashindwa kutumika kwa uzalishaji kusaidia watu waliopo at the present sababu kuna kaburi la so and so walikufa mika ya 1950's
Ila hao wahindi hawachomani moto kwa sababu za kuhifadhi ardhi bali huchomana moto(kumaliza kuni) kwa sababu za imani zao.

Sasa tukianza kutizama mambo kwa mitazamo hiyo tutaanza hata kuona hizi nyumba za ibada zilizojaa nazo ni matumizi mabaya ya ardhi na hatutoishia hapo.
 
Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu,ingawa alikuwa na mapungufu yake Ila Mimi wiki hii nimeanza kumuona alikuwa Ni shujaa, toka nipate tetesi eti tunatafuta wawekezaji waje tuizike TANESCO
Uliambiwa wawekezaji kwenye eneo lipi?! Au unamaanisha inataka kubinafsishwa? Na kama ndivyo, hicho chanzo chako kimepata wapi hiyo habari?

Nyie watu acheni kuokoteza habari za vichochoroni!!

Kilichotokea ni kwamba, January aliamua kuunda bodi ambayo ina business minded persons badala ya kuwa na bodi zinazoongozwa na wanasiasa, au watumishi wa umma wakati TANESCO ni shirika la kibiashara!

Na baada ya kuunda ile bodi, akawaahidi kwamba serikali haitawaingilia kwa sababu tatizo kubwa la mashirika ya umma ni serikali kuleta siasa!

Sasa kwavile ile bodi imeundwa na business minded persons, na kuna aina ya majina baadhi ya watu wakiyasikia wanaanza nongwa, ndipo ukaja huo uzushi kwamba January anataka kuibiniafisha TANESCO!!

Na ingawaje watu wamekuwa wakimhusisha sana Mzee wa Msoga na haya mambo, tusisahau ni Mzee wa Msoga ndie aliirudisha TANESCO kwenye uongozi wa Kitanzani baada ya Mkapa kutoa kazi hiyo kwa NetGroup Soln.

Naamini hata huyo Mkapa wala hakuwa na nia mbaya kwa sababu alifahamu tuna tatizo kubwa sana kwenye kuongoza mashirika ya umma, na bila shaka ndo sababu akatoa Management Contract kwa Makaburu!!

Hata leo, January Makamba na serikali kwa ujumla wakisema wanatoa Management Contract, NITAWAUNGA MKONO kwa sababu management contract sio kubinafsisha kampuni au kutafuta mwekezaji!!

Hata wewe, unaweza kuanzisha biashara ambayo huna uzoefu nayo kuiendesha!! Kutokana na hilo, unaamua kuajiri kampuni ili iiendeshe biashara kwa niaba yako... hiyo ndo inaitwa Management Contract!

Hata success ya NMB, ni matokeo ya Management Contract!
 
Yaani mimi nikatembelee kaburi la mfu ambae hata sio mzazi wangu wala kiongozi wangu wa imani,sina upumbavu huo afu ni kumdhihaki Mungu..

Siku ya Kumbukumbu ya Nyerere unaenda kwa Magu kwa ajili gani? Dunia ina viroja Sana hii.
Usiite upumbavu kwa sababu wengine nao wana mitizamo yao tofauti na wewe, wewe kama umechagua kwamba utakuwa unamtembelea mfu mzazi wako na mfu kiongozi wako wa imani tu basi sio kwamba na wengine wafanye hivyo hivyo na wasipofanya hivyo inakuwa upumbavu.
 
Endeleeni na mitazamo yenu ila nawaambia Mungu atazidi kuwashughulikia kwa kumfanya second hand.
 
Endeleeni na mitazamo yenu ila nawaambia Mungu atazidi kuwashughulikia kwa kumfanya second hand.
Sijakuelewa kwani shida ipo wapi? kama ni issue ya kutembelea kabuli hata si umesema unaweza kutembelea kabuli la mzazi wako na kiongozi wako wa dini?
 
R.I.P Current shujaa wa Africa. Uliipenda nchi yako zaidi ya neno upendo wenyewe.
We miss you Dady!

Sote tunapita[emoji2211][emoji2211][emoji2211]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo usioyajua kuhusu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Sasa wacha nikufahamishe;-

1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe.

2.Ni Raisi wa kwanza kuhama Ikulu na kwenda kuishi kwenye nyumba aliyoijenga kwa mkopo akiwa bado Raisi.

3.Ni kati ya Raisi aliyekuwa analipwa mshahara mdogo duniani na pengine kati ya raisi aliyewahi kulipwa mshahara mdogo barani Afrika mpaka sasa.

4. Ni Mtanganyika wa kwanza kusoma chuo kikuu nchini Uingereza na Muafrika wa pili kupata Degree nje ya Afrika, akisomea English, Political Economy, Social Anthropology, British History, Economic History, Constitutional Law, and Moral Philosophy.

5. Ni kiongozi aliyeisaidia China kuingia Umoja wa Mataifa na hotuba yake maarufu akisema
kwamba,"Umoja wa Mataifa si serikali ya dunia bali ni sehemu ambayo dunia nzima inakutana,
kwahiyo kumtoa China katika umoja wa mataifa ni kumtoa kuwa sehemu ya dunia".

6. Ndio mwanzilishi wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini- Anti Apartheid Movement mwaka 1959 pamoja na Trevor Huddleston nchini Uingereza.

7. Ni mmoja kati ya waanzilishi wa Umoja wa Afrika, 1963.

8. Amezisaidia nchi nyingi za Afrika kupata uhuru kuliko mtu mwingine yoyote katika historia ya ukoloni, nchi hizo ni Zambia (1964), Malawi (1964), Botswana (1966), Lesotho (1966), Mauritius (1968), Swaziland (1968) and Seychelles (1976) na baadae 1975 (Mozambique), (Angola), 1980 (Zimbabwe), 1990
(Namibia) na 1994 (South Africa).

9. Mwaka 2009 alitajwa na raisi wa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa kama "World Hero of Social Justice".

10. Amepokea shahada mbalimbali kutoka, University of Edinburgh (UK), Duquesne University (USA), University of Cairo (Egypt), University of Nigeria (Nigeria), University of Ibadan (Nigeria), University of Liberia (Liberia), University of Toronto (Canada), Howard University (USA), Jawaharlal Nehru University (India), University of Havana (Cuba), National University of Lesotho, University of the Philippines, Fort Hare University (South Africa),Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and Lincoln University (PA, USA).

11. Alipokea Tuzo ya Order of José Marti Cuba 1975, Order of the Aztec Eagle (Collar) Mexico 1975, Order of Amílcar Cabral Guinea Bissau 1976, the Nehru Award for International Understanding in 1976, the Third World Prize in 1982, Order of Eduardo Mondlane
Mozambique 1983, the Nansen Medal for outstanding services to Refugees in 1983, Order of Agostinho Neto Angola 1985, Sir Seretse Khama SADC Medal 1986, Joliot-Curie Medal of Peace 1988, the Lenin Peace Prize in 1987, the International Simón Bolívar Prize in
1992, and the Gandhi Peace Prize in 1995, Statesman of the 20th century by the Chama Cha Mapinduzi 2000, Order of the Companions of O. R. Tambo (Gold) South Africa 2004, Royal Order of Munhumutapa Zimbabwe 2005, Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master) Uganda 2005, Order of Katonga Uganda 2005, National Liberation Medal Rwanda 2009, National Liberation Medal Rwanda 2009, Campaign Against Genocide Medal Rwanda 2009, Order of the Most Ancient Welwitschi Mirabilis Namibia 2010, Tanzania Professional Network Award 2011, Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Tanzania 2011, National Order of the Republic (Grand Cordon) Burundi 2012 and Order of Jamaica, Jamaica.

12. Mwaka 2007 Rais Yoweri Museveni wa Uganda alimpa tuzo ya Katongo, Medali ya juu kuliko zote ya Jeshi la Uganda kwa heshima ya upinzani wake dhidi ya ukoloni na serikali ya Idi Amin.

13. Mitaa, barabara, majengo, vituo, shule, vyuo na vitu vilivyopewa jina lake; Daraja la Nyerere Kigamboni,Julius Nyerere University of Kankan, in Kankan, Guinea, Nyerere Drive,Gaborone (1.6 km) in Botswana, Nyerere Avenue, Mombasa (1.5 km)
and Nyerere Road, Kisumu (2 km) in Kenya, Julius Nyerere Street, Windhoek (1.1 km) in Namibia, Julius Nyerere Street, Durban (0.5 km) in South Africa, Nyerere Road, Kitwe (1.4 km) in Zambia, Julius Nyerere Way, Harare (1 km) in Zimbabwe, Julius Nyerere International Airport, Julius Nyerere International Convention Centre, Nyerere Day- Public Holiday 14/10, Nyerere Cup, Nyerere Road, Unguja, Zanzibar (6.5 km), Nyerere Secondary School in Mwanga District and J.K. Nyerere Secondary School in Moshi, Kilimanjaro Region, Mwalimu J. K. Nyerere Secondary School in Mbozi District, Mbeya Region, Nyerere Memorial School in Korogwe, Tanga Region, Nyerere High School Migoli in Iringa Region, Nyerere Secondary School in Unguja, Zanzibar, Mwalimu Nyerere Foundation, Mwalimu Nyerere Museum Centre and Mwalimu Nyerere Memorial Academy- Tanzania.

14. Baadhi ya vitabu alivyoviandika ni, Freedom and Unity (Uhuru na Umoja), Freedom and Socialism (Uhuru na Ujamaa), The Arusha
Declaration, Education for self-reliance, The varied paths to socialism, The purpose is man, Socialism and development, Freedom and Development (Uhuru Na Maendeleo), Ujamaa, Crusade for Liberation, Education for Self-Reliance, na Uongozi na Hatima ya Tanzania.

15. Pamoja na kujulikana kama - Baba wa Taifa la Tanzania, Nchi za Kusini mwa Afrika zinamtambua kama baba wa Ukombozi wa Nchi za Kusini.

16. Pamoja na kujua lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa Ufasaha - pia alikuwa akifahamu lugha ya Kigiriki na Kilatini.

17. Julius Nyerere ameandikwa kwenye kitabu cha Enyclopia kama mtu pekee duniani katika historia ya karne ya 21, aliyeweza kuwafanya watu wa makabila, dini, asili na historia tofauti kujiona kama watu wamoja.
 
Kwa hiyo watu watakua wanaenda kuhiji apo, Nyumba kama kanisa yale mabanda ya mwanzoni yalisababisha mpaka hiyo kaburi kujengewa nyumba.
Tatizo mnataka kila kitu serikali ifanye kwa mihemko yenu hivi kaburi la nyerere lilijengewa baada ya muda gani au hilo la sokoine lilijengewa baada ya muda gani?

Acheni kuipangia serikali ndito maana cdm hamnamvuto tena kwenu kuna haribika mnatolea macho ujinga
 
Kuna wale wapuuzi walosema eti kaburi lipo kwenye banda, niliwambia muwe wapole kuna mjengo una shushwa pale.

Sikutaka kuweka hapa picha nilitaka mzitafute wenyewe.

Sasa vipi hela ya serikali haijawauma? Rais jpm ana heshima zake duniani kote sema wajinga tu ndo wanapinga hadi leo.[emoji57][emoji57]

Ujenzi unaendelea kwa nje kuna kitu kinatengenezwa sio kila mjinga mjinga anaingia hovyo. Itakuwa tiyari soon kabla ya kumaliza matanga mwakani.
Acha kujipendekeza kwa wafu .

He is nothing.
 
Uliambiwa wawekezaji kwenye eneo lipi?! Au unamaanisha inataka kubinafsishwa? Na kama ndivyo, hicho chanzo chako kimepata wapi hiyo habari?

Nyie watu acheni kuokoteza habari za vichochoroni!!

Kilichotokea ni kwamba, January aliamua kuunda bodi ambayo ina business minded persons badala ya kuwa na bodi zinazoongozwa na wanasiasa, au watumishi wa umma wakati TANESCO ni shirika la kibiashara!

Na baada ya kuunda ile bodi, akawaahidi kwamba serikali haitawaingilia kwa sababu tatizo kubwa la mashirika ya umma ni serikali kuleta siasa!

Sasa kwavile ile bodi imeundwa na business minded persons, na kuna aina ya majina baadhi ya watu wakiyasikia wanaanza nongwa, ndipo ukaja huo uzushi kwamba January anataka kuibiniafisha TANESCO!!

Na ingawaje watu wamekuwa wakimhusisha sana Mzee wa Msoga na haya mambo, tusisahau ni Mzee wa Msoga ndie aliirudisha TANESCO kwenye uongozi wa Kitanzani baada ya Mkapa kutoa kazi hiyo kwa NetGroup Soln.

Naamini hata huyo Mkapa wala hakuwa na nia mbaya kwa sababu alifahamu tuna tatizo kubwa sana kwenye kuongoza mashirika ya umma, na bila shaka ndo sababu akatoa Management Contract kwa Makaburu!!

Hata leo, January Makamba na serikali kwa ujumla wakisema wanatoa Management Contract, NITAWAUNGA MKONO kwa sababu management contract sio kubinafsisha kampuni au kutafuta mwekezaji!!

Hata wewe, unaweza kuanzisha biashara ambayo huna uzoefu nayo kuiendesha!! Kutokana na hilo, unaamua kuajiri kampuni ili iiendeshe biashara kwa niaba yako... hiyo ndo inaitwa Management Contract!

Hata success ya NMB, ni matokeo ya Management Contract!
Naamini wewe sio mgeni hapa Tz,unaelewa vyema mbinu zao za kutest zali na kupigia debe upupu kabla ya kutuingiza kwenye majanga,Kila janga lilikuja baada ya kupigiwa debe na kupambwa matumaini kibao, kauli yake na Zito kabwe kuhusu TANESCO ikafuatiwa na ziala zake za kutafuta wawekezaji kwenye barozi za kigeni na posti zake kwenye mitandao ongeza na baadhi ya watu walioteuliwa kuwa na mgonhano wa kimaslahi na makampuni yaliyo tuumiza huko nyuma,jumlisha na kauli ya Muhongo bungeni hivi karibuni utapata majibu wapi tunaelekea. Haina Shaka subiri utashuhudia mwenyewe.
 
Wawekezaji Wana shida gani na wewe huko Tanesco? Acha upuuzi mkuu haiwezekani kila shirika lijiendeshe kwa hasara na gharama wanabeba walipakodi..

Yaani nitozwe kodi kulipia matumbo ya watu wa Tanesco,ttcl,Atcl,TRC,Tazara,UDART na nashirika mengine ya kipuuzi kama hayo.

Ukipiga hesabu gharama nazolipa ni kubwa Sana bora nilipie umeme bei juu halafu kuwe na ufanisi..
Unaufahamu mfuko wa mawasiliano kwa wote? Pesa zake huwa zinaliwa na Nani? Fanya utafiti Kwanza kuhusu Hilo Kisha ndio uje na hiyo hoja. Mtandao wa umeme tumeuweka kwa tozo na Kodi zetu. Kwa gharama ya tsh 27,000 tunaingiziwa umeme,gharama iliyo chini ya uhalisia halafu unataka shilika lipate faida kivipi?
Tumalizieni Kwanza kuweka miundo mbinu kwa vijiji vyote Kama tulivyo kubaliana Kisha tuwaruhusu TANESCO wafanye biashara bila kuingiliwa na wanasiasa tuone Kama watapata hasara.
Matatizo makubwa ya mashirika ya umma Ni kuingiliwa na wanasiasa waache waone Kama yatapata hasara.
 
Back
Top Bottom