UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kwani unadhani yule lafa wenu anayeshikishwa ukuta kule mamtoni yeye mwisho wake utakuwa wapi?Kiburi, ujeuri,nyodo,kujiona wewe ndio wewe,ujuwaji mwingi,umungu mtu mwisho hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unadhani yule lafa wenu anayeshikishwa ukuta kule mamtoni yeye mwisho wake utakuwa wapi?Kiburi, ujeuri,nyodo,kujiona wewe ndio wewe,ujuwaji mwingi,umungu mtu mwisho hapo.
Hivi mtu akizikwa peke take Huko kuzimu anakuwaje ? Naona peke yake polini? Nasikiaga uruma sana
Wewe lofa na Lissu wa Amsterdam hamtakufa .....umefurahi siyo? Hongera zenuJamaa alitaka kumuua lisu Mungu alivyofundi kamuondoa yeye kamuacha lisu
Uwanja wa Chato utapata abiria wa kutosha sasa.Kwa hiyo watu watakua wanaenda kuhiji apo, Nyumba kama kanisa yale mabanda ya mwanzoni yalisababisha mpaka hiyo kaburi kujengewa nyumba.
LOOOooh, mbona umenistua moyo wangu mkuu juu ya hiyo habari ya kunadisha TANESCO, nilikuwa bado sijaipata.Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu,ingawa alikuwa na mapungufu yake Ila Mimi wiki hii nimeanza kumuona alikuwa Ni shujaa, toka nipate tetesi eti tunatafuta wawekezaji waje tuizike TANESCO na wakati huohuo Nyerere Dam inaanza kutapika umeme mwakani kwa gharama zetu halafu waje watu kuvuna tu!
Nilikuwa natarajia kuanza kupika kwa jiko la umeme na tayari nimeshanunua na pasi na mengineyo kwa kujidai Kama alivyo tuahidi mwendazake kuwa atatupatia umeme kwa Bei nafuu tuachane na mkaa.
Halafu mnakuja na mbwembwe ati mnataka watu Kati madalali Kweli?
Nimem miss Sana huyo mzee alale kwa amani namuahidi tutapambana nao.
Jenister kapiga magoti anakumbuka mengi kuliko mfiwakimyomoyo ukute huyo mwenye shati la kitenge anashukuru kufa kwa jiwe.
kifua cha binadamu kinabeba siri nyingi sana.
Maneno huuumba chunga kauli zako maiti hupewa heshima pia ndio maana hustiliwa basi ukatendewe sawa sawa na maombi yakoNdio kashakufa mkuu, hakuna haja ya kutumia gharama kubwa haisaidii chochote
Mimi nikindei hata baharini mnitupe, fresh tu
Hivi mkuu, ni kweli shirika la umma popote duniani haliwezi kufanya kwa ufanisi?kufanya uwekezaji kwa serikali sio vibaya,kwanza serikali kufanya biashara haiwezi kujitwisha huo mzigo ni vizuri sana,hebu imagine sasaivi teknolojia ya mawasiliano ilipofikia na uko nyuma ilivyokuwa ttcl ndio utaelewa
Itakuwa poa zaidi, bora vultures wajipatie mlo kuliko kuwaste spacesWewe utaliwa na vultures maana hakuna mtu atapoteza mda wa kukuchoma
Sijasikia, tuwekee na sisi hapa tusikie kama ni maandishi, audio or videoUpo Tanzania au nchi gani? Ndio kusema hujasikia debe la Makamba na Zito Kabwe wewe?
India walishakataa hiyo makitu, unatandikwa moto, ndugu wanachukua majivu, mkiamua kutunza ok, mkiamua kuyamwaga mtajua mwenyewe! Nchi nyingi zinaadopt hiyo kitu! Hebu angalia eneo potential kama Kinondoni Makaburini, linashindwa kutumika kwa uzalishaji kusaidia watu waliopo at the present sababu kuna kaburi la so and so walikufa mika ya 1950'sNi kweli mkuu, kwa wanaoishi Uyole,Mbeya watakuwa mashahidi mpaka sasa burial sites zilizofungwa ni kama 3, halafu ni maeneo makubwa si kidogo, kibaya zaidi eneo la nne nalo linaenda kujaa si muda mrefu!
Hayo ni matumizi mabaya ya ardhi, bora utaratibu wa cremation utiliwe mkazo hapa Bongo itasaidia
Punguza jazba twende taratibu. Pole sanaKwani unadhani yule lafa wenu anayeshikishwa ukuta kule mamtoni yeye mwisho wake utakuwa wapi?
Airbus moja iwekwe pale ndaniKuna wale wapuuzi walosema eti kaburi lipo kwenye banda, niliwambia muwe wapole kuna mjengo una shushwa pale.
Sikutaka kuweka hapa picha nilitaka mzitafute wenyewe.
Sasa vipi hela ya serikali haijawauma? Rais jpm ana heshima zake duniani kote sema wajinga tu ndo wanapinga hadi leo.😏😏
Ujenzi unaendelea kwa nje kuna kitu kinatengenezwa sio kila mjinga mjinga anaingia hovyo. Itakuwa tiyari soon kabla ya kumaliza matanga mwakani.
Marekani walitupa maiti ya osama ili kuepusha mambo kama haya ya kwenda kuabudu kaburi la ...
Yule kwenye wheelchair ni Nani?aibu imetua ufipani.