Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Katoliki wamestuka wanakimbiwa na waumini. Wakaanzisha JUMUIYA ili kuwataiti waumini kwa MICHANGO isiyoisha
 

Si kweli. Biblia imetunzwa na Mungu. Mungu ndie ambae kwa neema na rehema zake, na kwa Utukufu wake, anasaidia Wakristo kuvikataa vitabu feki visiwekwe ndani ya bible. Yesu alivyokuja ali quote vitabu vya bible ambavyo vimekua inspired na Mungu. Kwa Wakristo hiyo ilisolve vitabu vipi viwe kwenye old testament. Kuhusu vitabu vya new testament, Roho Mtakatifu amewasaidia Wakristo kukataa vitabu feki. Kuna a genuine preservation of the true faith since creation. Katika wakati wowote hapa duniani kuna atleast mtu mmoja anaejua na kuamini ukweli wa Mungu na injili yake ya kweli. Tena ile injili ya kweli haswaaa na sio feki. Unaweza ukarejea wakina Enoch, Noah, Shem, Abraham, Elijah, Mitume wa Yesu etc. Na hadi sasa hivi.
 
1 Peter 5:13 The church that is at Babylon, elected together with you, saluteth you; and so doth Marcus my son (King James Version).

Kama hapa alimaanisha spiritual Babylon basi alikua Rome. Kama alimaanisha physical Babylon basi alikua Iraq. The possibility alimaanisha Iraq is greater than alimaanisha Rome. Unaweza kugoogle kupata more info. Ni vigumu kujua 100% kama Peter alifika au hakufika Rome.
 
Ndugu zangu nakushauri tu achana na propanganda sisizojenga.
Je, Jeneza au kaburi likiandikwa jina la mtu basi mwenye jina hilo ndio aliyezikwa hapo? jeneza/box au kaburi kuandikwa jina la Petro kunaleta mantiki ipi kuwa huyo aliyezikwa ndiya petro?

Pia zingatia kwamba katika jamii kuba aina mbalimbali za ibada. Hakuna maandishi au hata ufahamu ulioonesha kuhusu ibada za wanajamii wa sehemu kaburi hilo lilipo. Ni moja ya tamaduni na ibada ya jamii kuandika majina ya watu wa Mungu au miungu katika malalo/sehemu za maziko za marehemu wao.

Fikiria mara kumi kabla ya kukurupuka
 
Ila watu weupe wamezidi kwa uwongo, eti hata Yesu kabla ya kifo chake alishawahi kwenda marekani.

Ila kifupi story ya Petro ina ukakasi na ngumu kumeza.
 
Acha upumbafu wewe, kama dhehebu lako linakufundisha kuwa kipaumbele cha siku ya kwanza ya juma ni siku ya kumuabudu mungu jua na si siku ya kufufuka kwa Bwana Yesu na kushindwa kifo basi juu nyie ni mawakala wa lusiferi na si wafuasi wa Kristo. Maana mngekuwa mwamjua na kumuamini Kristo mngemwangalia yeye kwanza kabla ya kumpigia poropoganda lusifa kwa kupitia siku ya mungu jua.

Kama huambiwi katika dhehebu lako sanamu ya nyoka wa shaba watu waliitazama na wakapona kwa maana waliitazama na kuiona amri ya Mungu ya kuponywa. Na sanamu ya nyoka ilikuwa unabii wa kutundikwa msalabani kwa mkombozi/mwokozi wa ulimwengu huu Bwana Yesu basi jua lusifa kawafanya hayawani.

Kama dhehebu lenu/lako haliwaambii kuwa kulikuwa na sanduku la agano na halijawahi kuwa sanamu ya kuabudiwa pamoja na makuhani kuwa walilibeba na kupitia hilo miujiza mingi mikuu ya Mwenyezi Mungu ilitendeka, kuonekana na kudhihirika basi jua shetani analitumia dhehebu lenu kufanya kazi yake na nyie ni mawakala wa shetani bila kujijua nk, nk, nk na nk tena.


 
Wakristo,waislamu,wayahudi,hatuna sababu ya kugombea fito ilhali hii dunia inatakiwa tuijenge wote iwe sehemu ya amani.

Tatizo lako hujui kuwa shetani ni mgomvi na anafurahia tukigombana. Shetani aligombania hata kuitaka maiti ya Nabii wa Mungu Musa mpaka pale alipokemewa na malaika Mkuu wa vita Mikaeli. Na hata pale palipo kuwa hekalu la Mfalme Suleimani si ajabu kama itakuwa shetani yuko pale na anapagombea/gombania kwa kuwa tumia mawakala wake.

Lakini soma hapa Isaya 31:4-9 na uone ni jinsi gani Mwenyezi Mungu ataipigania na kuilinda Yerusalem majira na wakati wake Bwana utapowadia.
 
Naona wagalatia mnapaluana magamba wenyewe kwa wenyewe.

Hii ndio ilikuwa nia yenu ovu ya kuuanzisha huu uzi wenu wewe na ids zako nyengine na wenzako. Lakini kinyume chake na nje ya matarajio yenu hapa tuna endelea kumjua Bwana Yesu zaidi na injili inachanja mbuga.
 
Biblia ni ushahidi tosha kuwa Petro hakufika Roma. Paulo ndiye alikuwa Mtume kwa ajili ya watu wa mataifa na Petro alikuwa Mtume kwa ajili ya Wayahudi(waliotahiriwa). Soma Biblia yako vizuri utaelewa. Tukichukua ushahidi wa Biblia na kujumlisha na ushahidi wa mifupa iliyopatikana Jerusalem, tunajihakikishia kabisa kuwa Petro hakuwahi kabisa kufika Roma.

Kanisa Katoliki limedanganya na linaendelea kuwadanganya ninyi msiotumia akili zenu katika kulisoma NENO la MUNGU.
 
Mimi siogopi kutukanwa, wewe tukana kama upendavyo. BWANA YESU alitukanwa na kutemewa mate itakuwa mimi??

Kwa taarifa yako sasa hivi naandaa ripoti kamili ya uchafu wa Kanisa Katoliki na nitaiweka humu humu JF ili wale wanaopenda kuijua KWELI waijue. Hakuna wa kunizuia katika kueneza NENO la KWELI. Biblia imenifundisha nisiwe mwoga, neno usiogope limetokea kwenye Biblia mara 365, na mimi SIOGOPI MTU, Namwogopa BABA MUNGU peke yake.
 
Ubarikiwe sana ndg yangu Son of Gamba kwa kututoa tongotongo hakika hawa Roman Catholic ni adui wa ukristo kokote duniani
 
Asante sana mkuu kwa kuongeza ufahamu mkubwa ndani yangu!!! Kuna prof Mmoja aliwahi kusema adui wa ukristo ni Roman Catholic, hawana muda na kuuishi ukristo bali mapokeo yao ambayo ni kivuli cha maovu
Hawa jamaa wana nasaba kubwa sana na wafuasi wa Mudi ndy maana hutakuja shuhudia wafuasi wa Mudi wanapingana na Roman
 
Mkuu hili Kanisa Katoliki linafundisha uwongo sana. Hakuna ushahidi wowote hata wa kihistoria tu unao onesha kuwa Mtume Petro aliwahi kuishi Roma. Hakika kabisa Kanisa hili ni adui namba moja wa UKRISTO duniani.
mifupa ya mt Petro ipo Roma st Peter basilica huo mwingine uzushi
 
Biblia haikupangwa na Wakatoliki, Biblia ilipangwa kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU. Hakuna ambaye angeweza kuzuia Biblia isiwe ilivyo leo hii. Tena kuna vitabu feki Wakatoliki walijaribu kuviingiza kwenye Biblia lakini kwa nguvu ya ROHO MTAKATIFU walishindwa kufanya hivyo. Matokeo yake vitabu hivyo feki na Waraka feki vinatumiwa sasa hivi na kanisa Katoliki katika kuwapotosha waumini wake. Vipo vitabu vingi sana ambavyo ni feki na vinatumiwa na hilo Kanisa.

Ukisikia tunasimama watu kama sisi na kusema Kanisa Katoliki ni wakala wa Ibilisi na linafundisha UWONGO usifikiri tunabahatisha; tunajua tunachokisema na tunauhakika na kile tunachokiongea. Sisi hatuna chuki na Wakatoliki, sisi vita yetu ni kuupinga UWONGO wa IBILISI ili asiendelee kuwapoteza ndugu zetu.

Wale watakaotusikia na kuijua "KWELI", hiyo KWELI itawaweka huru na watajua namna ya kushika AMRI za MUNGU na imani ya YESU KRISTO na YESU KRISTO atawaokoa kutoka kwenye upotovu wa shetani. Wale watakao kataa kusikia, shauri yao; wacha wakae kwenye upotovu wao.
 
wasabato mna matatizo sana
 
Huwa nakereka sana na majivuni yenu nyie wapinga kristo(roman) mnajiona kama vile ukristo nimali yenu binafsi hivi nani asiyejua kuwa ninyini Antichrist???
Eti historia inapatikana Roman pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…