Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia nani kaipanga ilivyo leo?....nani aliamua kuwe na injili nne wakati injili zipo kibao tu?....nani aliamua kusema baadhi ya barua za Paulo na kuacha zingine....nani aliamua torati iwemo kwenye biblia?.…...jibu unalo nadhan....kama unaamini biblia manake wakatoliki ndo wamekuchagulia kipi caha kuamini na kipi so cha kuamini....wangeweza kukuwekea chochote mule...sasa sijui kelele za nn....am not catholic....lakini unaboa....
Ndugu zangu nakushauri tu achana na propanganda sisizojenga.
Yesu alikuta Biblia gani...????Yesu alivyokuja ali quote vitabu vya bible ambavyo vimekua inspired na Mungu.
Hao Wakristo waliitwaje...??Roho Mtakatifu amewasaidia Wakristo kukataa vitabu feki.
Acha kujidanganya mkuu, kama dhehebu lako linakufundisha kusali na kumwomba mtu aliyekufa wakati Biblia inakufundisha ukisali umwombe MUNGU peke yake, unafikiri siku ya mwisho utabakia salama kweli?
Kama Biblia imekataza usichonge sanamu wala usiitumikie, halafu dhehebu lako linakuuzia sanamu na wewe unasali huku ukiwa umepiga magoti mbele ya sanamu unafikiri siku ya mwisho utabaki salama??
Kama Biblia inakufundisha kuwa hakuna AMRI YA MUNGU hata moja iliyofutwa, halafu dhehebu lako linakufundisha kudharau baadhi ya AMRI za MUNGU, Je! unafikiri siku ya mwisho utabakia salama mkuu?
Mkuu kuna madhehebu yanafundisha kinyume kabisa na MAANDIKO. Hivyo ukiwa muumini wa madhehebu ya aina hiyo, UFALME WA MUNGU utausikia tu.
Wakristo,waislamu,wayahudi,hatuna sababu ya kugombea fito ilhali hii dunia inatakiwa tuijenge wote iwe sehemu ya amani.
Naona wagalatia mnapaluana magamba wenyewe kwa wenyewe.
Biblia ni ushahidi tosha kuwa Petro hakufika Roma. Paulo ndiye alikuwa Mtume kwa ajili ya watu wa mataifa na Petro alikuwa Mtume kwa ajili ya Wayahudi(waliotahiriwa). Soma Biblia yako vizuri utaelewa. Tukichukua ushahidi wa Biblia na kujumlisha na ushahidi wa mifupa iliyopatikana Jerusalem, tunajihakikishia kabisa kuwa Petro hakuwahi kabisa kufika Roma.Ndugu zangu nakushauri tu achana na propanganda sisizojenga.
Je, Jeneza au kaburi likiandikwa jina la mtu basi mwenye jina hilo ndio aliyezikwa hapo? jeneza/box au kaburi kuandikwa jina la Petro kunaleta mantiki ipi kuwa huyo aliyezikwa ndiya petro?
Pia zingatia kwamba katika jamii kuba aina mbalimbali za ibada. Hakuna maandishi au hata ufahamu ulioonesha kuhusu ibada za wanajamii wa sehemu kaburi hilo lilipo. Ni moja ya tamaduni na ibada ya jamii kuandika majina ya watu wa Mungu au miungu katika malalo/sehemu za maziko za marehemu wao.
Fikiria mara kumi kabla ya kukurupuka
Hakuna mahali biblia imetaja kifo cha Petro...Biblia ni ushahidi tosha kuwa Petro hakufika Roma.
Mimi siogopi kutukanwa, wewe tukana kama upendavyo. BWANA YESU alitukanwa na kutemewa mate itakuwa mimi??Nakushauri kavae dera au kijora then chukua mashosti zako mkawasute kama hao katoliki ni waongo. La sivyo uongo wa katoliki kama haukudhuru fuata dini au dhehebu unaloliamini. Acha kushuhudia uongo usiokuhusu. Halafu una vijitabia vya yule askofu Muanglikana wa Marekani.
Ubarikiwe sana ndg yangu Son of Gamba kwa kututoa tongotongo hakika hawa Roman Catholic ni adui wa ukristo kokote dunianiKwa zaidi ya maika 2000 watu wamekuwa wakiaminishwa kuwa Mtume Petro aliuwawa Roma na kuzikwa huko kwenye eneo lililojulikana kama tropaion. Tena imekuwa ikifundishwa na Kanisa Katoliki kuwa Petro ndiye alikuwa Papa wa kwanza lakini ukweli ni kwamba katika maisha yake yote Petro hakuwahi kabisa kuwa Papa achilia mbali kufika tu ROMA. Maisha yake yote Petro au Kefa kama wengine wanavyomwita hakuwahi kabisa kukanyaga ardhi ya Roma.
Mwaka 1958 huko Jerusalemu katika eneo lijulikanalo kama "Dominus Flevit" kwenye mlima wa Mizeituni ambapo kwa sasa hivi pamejengwa kanisa linaloitwa Franciscan Monastery yalichimbuliwa mabaki ya mifupa yaliyokuwa ndani ya boksi(ossuaries)na juu ya boksi hili kulikuwa na maandishi yaliyoandikwa kwa lugha ya Aramaic yakisomeka "Simon Bar Jona". Eneo ilipopatikana mifupa hiyo pia ilipatikana mifupa ya watu wengine ikiwa imehifadhiwa ndani ya maboksi hayo na juu yake yakiwa yameandikwa majina yao. Majina hayo ni pamoja na Mariam, Martha na Lazaro. Inaaminika kuwa Wakristo wa Mwanzo kabisa baada ya kupaa kwa MESSIAH kwenda mbinguni, walichagua kuzikana eneo hilo la Mlima wa Mizeituni, kwasababu imeandikwa kwenye Biblia kuwa siku MESSIAH atakaporudi tena duniani atasimama juu ya Mlima huo, soma ZEKARIA 14:3-4. Kutokana na imani waliyokuwa nayo, Wakristo hao waliamini kuwa itakuwa vema kama watazikwa eneo hilo ili siku ile BWANA YESU atakapokuja na kuwafufua, wawe wa kwanza kumlaki BWANA kwenye Mlima huo wa Mizeituni.
Franciscan "Terra Santa" Monastery, Jerusalem, mahali ambapo mifupa ya Petro ilipopatikana.Mifupa hiyo inayoaminika kuwa ni ya Petro, ilichimbuliwa na Archeologist wa Kiitaliano ambaye alikuwa ni Priest wa Kikatoliki akijulikana kama P.B. Bagatti. Baada ya kuichimbua mifupa hii na kujiridhisha yeye na wenzake aliokuwa nao, Bagatti alikwenda Vatican na kumjulisha Papa wa wakati ule aliyekuwa akiitwa Pius XII. Papa Pius XII alopoambiwa habari hizo na kuoneshwa ushahidi wote, alijibu tu kwa kusema; “inawezekana ikawa kweli hiyo ni mifupa ya PETRO, na inabidi tufanye marekebisho makubwa, lakini kwa sasa hivi kaeni kimya kabisa”. Bagatti akamuuliza Papa Pius XII, Je, unaamini itakuwa ni mabaki ya Petro? Papa Pius XII akamjibu kwa kusema; “kwa ushahidi ulionionesha, naamini itakuwa ni mifupa ya Petro”.
View attachment 669269
Cha ajabu ni kwamba mpaka Papa Pius XII anafariki dunia Octoba 9, 1958 hakuweka hadharani kabisa uvumbuzi huo uliofanywa na Archeologist Bagatti. Mwaka huo huo Bagatti ndipo akaamua kuandika kitabu akielezea kupatikana kwa mifupa ya Petro huko Jerusalem, kitabu hicho kinachoitwa, "Gli Scavi del Dominus Flevit", kilichochapishwa mwaka 1958. Kitabu hichi kiliandikwa na P. B. Bagatti akishirikiana na Archeologist mwenzake J. T. Milik, ambao wote walikuwa pia ni Ma-Priest wa Kanisa Katoliki. Bagatti anaonekana kuficha baadhi ya mambo na haelezei kwa undani hasa nini kilifanyika. Hii inadhihirisha wazi kabisa kuwa walifungwa mdomo na Kanisa Katoliki ili wasiweke kila kitu hadharani kwani kama wangefanya hivyo ingekuwa ni sawa na kulivua nguo kanisa, kwani kwa miaka yote kanisa Katoliki limekuwa likifundisha kuwa Petro aliishi Roma kwa miaka 24 na kuuawa na kuzikwa huko.
View attachment 669271
View attachment 669272
Maneno hayo hapo juu yanasomeka "Simoni Bar Yona"
Ushahidi mwingine unaoonesha wazi kabisa kuwa Petro hakuwahi kabisa kufika Roma, ni Biblia. Mtume Paulo katika Waraka zake zote hakuna mahali ameandika kuwa Petro alikwenda Roma na kuishi huko. Paulo alikuwa ni mtu anayependa sana kuandika kila kitu anachokutana nacho. Isingewezekana kabisa Petro ahamie Roma na kuishi huko kwa miaka 24 halafu Paulo asiandike, achilia mbali Petro mwenyewe asiandike kabisa Waraka wowote ule akielezea maisha yake akiwa Roma. Haiingii akilini hata kidogo mtu kama Petro eti akaishi mahali kwa miaka 24 akihubiri Injili, halafu jambo hilo lisiwemo kabisa ndani ya Biblia.
Isitoshe ukisoma Biblia utaona Paulo anaelezea wazi kabisa kuwa Petro alikuwa ni Mtume kwa ajili ya Wayahudi, soma WAGALATIA 2:7-8. Pia tukisoma Biblia tunaona BWANA anamtokea Anania kwenye maono na kumwambia aende akaonane na Sauli(Paulo), sababu yeye BWANA amemchagua SAULI(PAULO)kuwa Mtume wa Mataifa, soma MATENDO YA MITUME 9:10-15. Pia ukisoma Waraka wote wa Petro hakuna mahali popote Petro ameandika kuwa yupo Roma.
Kutokana na yote hayo na ushahidi wa mifupa iliyopatikana Jerusalem, ni kielelezo tosha kuwa Roman Catholic Church wanafundisha “uwongo” na wanafanya kila wawezalo kuuficha UKWELI. Kanisa hili limejaa mafundisho ya uwongo na kwa miaka mingi sana limewapotosha watu wengi sana. Kanisa hili lina intelijesia kali sana kiasi kwamba wanaweza kuficha habari yoyote ile isiwafikie watu, lakini kamwe hawawezi kushindana na MUNGU hasa pale anapoamua UKWELI lazima ujulikane.
Tokea mwaka 1958 ilipogundulika mifupa hii ya PETRO huko Jerusalem, Kanisa Katoliki limekuwa likificha uvumbuzi huu kwa kila namna. Eneo ambapo ilipatikana mifupa hii linamilikiwa na Kanisa hilo hivyo imekuwa rahisi wao kuuficha ukweli lakini pia ndani ya kanisa wapo baadhi ya Ma-Priest ambao huwa hawawezi kukaa kimya na wamekuwa wakivujisha siri hizi.
Hawa jamaa wana nasaba kubwa sana na wafuasi wa Mudi ndy maana hutakuja shuhudia wafuasi wa Mudi wanapingana na RomanAsante sana mkuu kwa kuongeza ufahamu mkubwa ndani yangu!!! Kuna prof Mmoja aliwahi kusema adui wa ukristo ni Roman Catholic, hawana muda na kuuishi ukristo bali mapokeo yao ambayo ni kivuli cha maovu
mifupa ya mt Petro ipo Roma st Peter basilica huo mwingine uzushiMkuu hili Kanisa Katoliki linafundisha uwongo sana. Hakuna ushahidi wowote hata wa kihistoria tu unao onesha kuwa Mtume Petro aliwahi kuishi Roma. Hakika kabisa Kanisa hili ni adui namba moja wa UKRISTO duniani.
Biblia haikupangwa na Wakatoliki, Biblia ilipangwa kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU. Hakuna ambaye angeweza kuzuia Biblia isiwe ilivyo leo hii. Tena kuna vitabu feki Wakatoliki walijaribu kuviingiza kwenye Biblia lakini kwa nguvu ya ROHO MTAKATIFU walishindwa kufanya hivyo. Matokeo yake vitabu hivyo feki na Waraka feki vinatumiwa sasa hivi na kanisa Katoliki katika kuwapotosha waumini wake. Vipo vitabu vingi sana ambavyo ni feki na vinatumiwa na hilo Kanisa.Biblia nani kaipanga ilivyo leo?....nani aliamua kuwe na injili nne wakati injili zipo kibao tu?....nani aliamua kusema baadhi ya barua za Paulo na kuacha zingine....nani aliamua torati iwemo kwenye biblia?.…...jibu unalo nadhan....kama unaamini biblia manake wakatoliki ndo wamekuchagulia kipi caha kuamini na kipi so cha kuamini....wangeweza kukuwekea chochote mule...sasa sijui kelele za nn....am not catholic....lakini unaboa....
wasabato mna matatizo sanaSisi hatuna vita na Wakatoliki, sisi tunapigana vita na IBILISI ambaye ndiye baba ya Wakatoliki, IBILISI ndiye baba ya UWONGO. Lengo letu ni watu waijue KWELI.
Mimi siyo MSABATO, mimi ni MKRISTO wa kweli ninayeishi kwa AMRI za MUNGU na IMANI ya YESU KRISTO.
Hivyo Roho mtakatifu aliipanga...??? Wewe umeshawahi kumuona Roho Mt aliifanya kazi ya kupanga Biblia..??Biblia haikupangwa na Wakatoliki, Biblia ilipangwa kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU.
Huwa nakereka sana na majivuni yenu nyie wapinga kristo(roman) mnajiona kama vile ukristo nimali yenu binafsi hivi nani asiyejua kuwa ninyini Antichrist???Tatizo hapa tutaishia kubishana na watu wanaotaka kujua historia kupitia Biblia pekee utafikiri kile ni kitabu cha historia. Kanisa Katoliki ni tajiri kimafundisho sababu imetunza nyaraka, barua na mafundisho ya mababa wa Kanisa hadi sasa. Zipo barua zimetunzwa karne nyingi zinazosimulia kuanzia uinjilishaji wa Petro na Paul huko Roma hadi vifo vyao. Mlisikia barua kama ile iliyotolewa na baraza la maaskofu kuelekea uchaguzi wa 2010. Ile barua itaishi vizazi na vizazi na wapo wataopinga kuwa barua hizo ni feki nyakati hizo! Kama unataka kujua kweli safari ya Petro huko Roma ingia kwenye site ya Catholic Answers utapata shule nzuri tu.