Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Unaweza nipa orodha ya hivyo vitabu feki..?? Je? Nani aliwakataza hao Wakatoliki...??? Unaweza nipa ni lini hayo yalifanyika...???Tena kuna vitabu feki Wakatoliki walijaribu kuviingiza kwenye Biblia lakini kwa nguvu ya ROHO MTAKATIFU walishindwa kufanya hivyo.
Yesu alianzisha Kanisa Katoliki ...Full stop and Long Break..Huwa nakereka sana na majivuni yenu nyie wapinga kristo(roman) mnajiona kama vile ukristo nimali yenu binafsi hivi nani asiyejua kuwa ninyini Antichrist???
Eti historia inapatikana Roman pumbavu
Halafu labda nikupe hii....Yani kama ni kukereka, utakereka mpaka siku unaingia kaburini....Huwa nakereka sana na majivuni yenu nyie wapinga kristo(roman)
Waroma niwatu wa ajabu sana hvi kila anaeongea ukweli wa Mungu ni msabato?? Mm sio msabato lkn nachukia mafundisho na ulaghai wa RomanHongereni wasabato Kwa kutengeneza uinfo ufananao na ukweli. Toka missionary Wa alielelewa kwA maadui ya kikatoliki akajipinga mwenyewe itakuwa adabu ya karne. Hongereni wasabato Kwa kuutangaza ukatoliki baadala ya kuutangaza wenyewe.
Waweza niorodhoshea japo 10 kati ya hivyo vingi...??Matokeo yake vitabu hivyo feki na Waraka feki vinatumiwa sasa hivi na kanisa Katoliki katika kuwapotosha waumini wake. Vipo vitabu vingi sana ambavyo ni feki na vinatumiwa na hilo Kanisa.
Kumbe nawasiliana na chizi ngoja nikuachie pepo lenu la kiroma hiloYesu alianzisha Kanisa Katoliki ...Full stop and Long Break..
Petro ni Papa wa Kwanza.....Full stop and long Break
Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki....Full stop and Long break
Mm sio msabato lkn
.mifupa ya mt Petro ipo Roma st Peter basilica huo mwingine uzushi
Kama unaweza kanusha hayo niliyoandika kwa historia ama kwa kutumia hiyo hiyo biblia na kukaribisha...Usiondoke.....Kusema Pepo hakubadilishi ukweli kuwa uongoKumbe nawasiliana na chizi ngoja nikuachie pepo lenu la kiroma hilo
Wewe unadhani labda inafanyiwa shighuli gani..???.
Mifupa ya marehemu huaga inakaa makaburini na kama utataka kuikuta ikitunzwa ndani ni katika nyumba za waanga(waaguzi), Huko Roma hii mifupa mliyokusanya duniani pote mnafanyia shughuli gani?
Labda ni kuuliza hiyo kweli ni kwa mujibu wa nani. ??Wale watakaotusikia na kuijua "KWELI", hiyo KWELI itawaweka huru na watajua namna ya kushika AMRI za MUNGU
Hata mimi namuheshimu sana Simoni Petro. Lakini ukweli utabakia pale pale; Simoni Petro alikuwa Mtume kwa ajili ya Wayahudi (waliotahiriwa), na Paulo alikuwa Mtume kwa ajili ya watu wa Mataifa (wasiotahiriwa). Hili liko wazi sana hata Biblia imeandika hivyo na wala halina ubishi WAGALATIA 2:8. Petro hakuwahi kufika Roma hata siku moja. Sehemu alizozunguka Petro enzi za uhai wake zimeandikwa kwenye Biblia, Roma haikutajwa kama sehemu aliyofika Petro.Simoni Petro alikuwa Myahudi wakarne ya 1, mfuasi wa Yesu Kristo, tena kati ya wandani wake.
Baada ya Yesu, ndiye mtu anayejulikana zaidi katika Injili zotenne.
Katika orodha zote nne za mitume12 wa Yesu zinazopatikana katikaBiblia ya Kikristo anashika nafasi ya kwanza (tofauti na wenzake wengi ambao wanabadilishana nafasi, na kinyume cha Yuda Iskarioti, msaliti anayepewa daima nafasi ya mwisho); isitoshe Math10:2 inasisitiza: "Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro".
Wakristo wengi, hasa Wakatoliki naWaorthodoksi, wanamheshimu kama mtakatifu tena kama papa wa kwanza wa Roma hadi kifodinichake kati ya miaka 64 na 67, wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Ukristoiliyoanzishwa na Kaisari Nero.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 29 Juni pamoja na yaMtume Paulo.
Kama mpaka leo hii huijui "KWELI" ni nini, basi sina haja ya kuendelea kujibu maswali yako.Labda ni kuuliza hiyo kweli ni kwa mujibu wa nani. ??
Wapi tunapigia mstari...???
Ahsanta...(Halafu hebu nijibie maswali niyokuuliza kuhusu petro)
Yesu hakuwaachia mitume wake utengano...Hebu tupe ushahidi kuwa Petro alikuwa ni mtume wa Wayahudi...??Simoni Petro alikuwa Mtume kwa ajili ya Wayahudi
Son of Gamba .....1+1=11Kama mpaka leo hii huijui "KWELI" ni nini, basi sina haja ya kuendelea kujibu maswali yako.
sijaona ushahidi wowote hapa wa andiko la huyu bwana.Ubarikiwe Nimesoma Na Kuchunguza Nikagundua Kuna Ukwel % 100 Ila Kuna Watakao Kuja Kupinga Bila Hoja Watakuja Na Sera Kwamba Nyie Mnajifanya Watakatifu Wengine Watasema Biblia Imekataza Kuhukumu Wakifikili Apa Umehukumu Kila Mtu Ataleta Lake.
Naomba nitajie hizo sehemu angalau tatu mpendwa......Petro hakuwahi kufika Roma hata siku moja. Sehemu alizozunguka Petro enzi za uhai wake zimeandikwa kwenye Biblia, Roma haikutajwa kama sehemu aliyofika Petro.
Mpendwa tumalizane kwanza na St. Peter bana....Kanisa Katoliki limebadili AMRI za MUNGU na linafundisha injili ya mapokeo ya wanadamu na kuiacha INJILI ya KWELI.