Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Tena kuna vitabu feki Wakatoliki walijaribu kuviingiza kwenye Biblia lakini kwa nguvu ya ROHO MTAKATIFU walishindwa kufanya hivyo.
Unaweza nipa orodha ya hivyo vitabu feki..?? Je? Nani aliwakataza hao Wakatoliki...??? Unaweza nipa ni lini hayo yalifanyika...???

Ahsanta
 
Huwa nakereka sana na majivuni yenu nyie wapinga kristo(roman) mnajiona kama vile ukristo nimali yenu binafsi hivi nani asiyejua kuwa ninyini Antichrist???
Eti historia inapatikana Roman pumbavu
Yesu alianzisha Kanisa Katoliki ...Full stop and Long Break..

Petro ni Papa wa Kwanza.....Full stop and long Break

Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki....Full stop and Long break
 
Hongereni wasabato Kwa kutengeneza uinfo ufananao na ukweli. Toka missionary Wa alielelewa kwA maadui ya kikatoliki akajipinga mwenyewe itakuwa adabu ya karne. Hongereni wasabato Kwa kuutangaza ukatoliki baadala ya kuutangaza wenyewe.
Waroma niwatu wa ajabu sana hvi kila anaeongea ukweli wa Mungu ni msabato?? Mm sio msabato lkn nachukia mafundisho na ulaghai wa Roman
 
Matokeo yake vitabu hivyo feki na Waraka feki vinatumiwa sasa hivi na kanisa Katoliki katika kuwapotosha waumini wake. Vipo vitabu vingi sana ambavyo ni feki na vinatumiwa na hilo Kanisa.
Waweza niorodhoshea japo 10 kati ya hivyo vingi...??



Ahsanta
 
Yesu alianzisha Kanisa Katoliki ...Full stop and Long Break..

Petro ni Papa wa Kwanza.....Full stop and long Break

Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki....Full stop and Long break
Kumbe nawasiliana na chizi ngoja nikuachie pepo lenu la kiroma hilo
 
mifupa ya mt Petro ipo Roma st Peter basilica huo mwingine uzushi
.
Mifupa ya marehemu huaga inakaa makaburini na kama utataka kuikuta ikitunzwa ndani ni katika nyumba za waanga(waaguzi), Huko Roma hii mifupa mliyokusanya duniani pote mnafanyia shughuli gani?
 
Kumbe nawasiliana na chizi ngoja nikuachie pepo lenu la kiroma hilo
Kama unaweza kanusha hayo niliyoandika kwa historia ama kwa kutumia hiyo hiyo biblia na kukaribisha...Usiondoke.....Kusema Pepo hakubadilishi ukweli kuwa uongo


Ahsanta..
 
.
Mifupa ya marehemu huaga inakaa makaburini na kama utataka kuikuta ikitunzwa ndani ni katika nyumba za waanga(waaguzi), Huko Roma hii mifupa mliyokusanya duniani pote mnafanyia shughuli gani?
Wewe unadhani labda inafanyiwa shighuli gani..???



Ahsanta
 
Wale watakaotusikia na kuijua "KWELI", hiyo KWELI itawaweka huru na watajua namna ya kushika AMRI za MUNGU
Labda ni kuuliza hiyo kweli ni kwa mujibu wa nani. ??

Wapi tunapigia mstari...???


Ahsanta...(Halafu hebu nijibie maswali niyokuuliza kuhusu petro)
 
Simoni Petro alikuwa Myahudi wakarne ya 1, mfuasi wa Yesu Kristo, tena kati ya wandani wake.

Baada ya Yesu, ndiye mtu anayejulikana zaidi katika Injili zotenne.

Katika orodha zote nne za mitume12 wa Yesu zinazopatikana katikaBiblia ya Kikristo anashika nafasi ya kwanza (tofauti na wenzake wengi ambao wanabadilishana nafasi, na kinyume cha Yuda Iskarioti, msaliti anayepewa daima nafasi ya mwisho); isitoshe Math10:2 inasisitiza: "Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro".

Wakristo wengi, hasa Wakatoliki naWaorthodoksi, wanamheshimu kama mtakatifu tena kama papa wa kwanza wa Roma hadi kifodinichake kati ya miaka 64 na 67, wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Ukristoiliyoanzishwa na Kaisari Nero.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 29 Juni pamoja na yaMtume Paulo.
Hata mimi namuheshimu sana Simoni Petro. Lakini ukweli utabakia pale pale; Simoni Petro alikuwa Mtume kwa ajili ya Wayahudi (waliotahiriwa), na Paulo alikuwa Mtume kwa ajili ya watu wa Mataifa (wasiotahiriwa). Hili liko wazi sana hata Biblia imeandika hivyo na wala halina ubishi WAGALATIA 2:8. Petro hakuwahi kufika Roma hata siku moja. Sehemu alizozunguka Petro enzi za uhai wake zimeandikwa kwenye Biblia, Roma haikutajwa kama sehemu aliyofika Petro.

Wakatoliki ni waongo na wanaeneza uwongo mwingi sana, siyo tu kuhusu Petro, bali pia kuhusu Injili. Kanisa Katoliki limebadili AMRI za MUNGU na linafundisha injili ya mapokeo ya wanadamu na kuiacha INJILI ya KWELI. Hilo halina ubishi.
Mimi nayafahamu mafundisho ya Kikatoliki ndiyo maana ninaweza kusimama na kusema kuwa kanisa hili linafundisha UWONGO, sababu ile KWELI mimi naijua.
 
Labda ni kuuliza hiyo kweli ni kwa mujibu wa nani. ??

Wapi tunapigia mstari...???


Ahsanta...(Halafu hebu nijibie maswali niyokuuliza kuhusu petro)
Kama mpaka leo hii huijui "KWELI" ni nini, basi sina haja ya kuendelea kujibu maswali yako.
 
Simoni Petro alikuwa Mtume kwa ajili ya Wayahudi
Yesu hakuwaachia mitume wake utengano...Hebu tupe ushahidi kuwa Petro alikuwa ni mtume wa Wayahudi...??

Yesu aliwaambia mitume wake Endeneni Ulimwenguni kote mkawafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wangu......


Labda utupe mstari wa Biblia unaompa Petro kazi ya kutokuhubiri Injili duniani kote ila unampa sharti la kujikota Uyahudini..



Ahsanta
 
kwahiyo zile habari kwamba petro kazikwa nachingwea siyo za kweli? mnatuchangaya waumini.
 
Ubarikiwe Nimesoma Na Kuchunguza Nikagundua Kuna Ukwel % 100 Ila Kuna Watakao Kuja Kupinga Bila Hoja Watakuja Na Sera Kwamba Nyie Mnajifanya Watakatifu Wengine Watasema Biblia Imekataza Kuhukumu Wakifikili Apa Umehukumu Kila Mtu Ataleta Lake.
sijaona ushahidi wowote hapa wa andiko la huyu bwana.
 
Petro hakuwahi kufika Roma hata siku moja. Sehemu alizozunguka Petro enzi za uhai wake zimeandikwa kwenye Biblia, Roma haikutajwa kama sehemu aliyofika Petro.
Naomba nitajie hizo sehemu angalau tatu mpendwa......



Hivi Petro alikufa Kifo cha aina gani...??


(Jibu maswali mpendwa)
 
Kanisa Katoliki limebadili AMRI za MUNGU na linafundisha injili ya mapokeo ya wanadamu na kuiacha INJILI ya KWELI.
Mpendwa tumalizane kwanza na St. Peter bana....


Kwani si tunajikita kwenye mada yako....


Usiwakwe na hasira mpendwa....daaah


Ahsanta
 
Back
Top Bottom