kyula
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 698
- 458
Mm ninachojua adui mkubwa wa ukristo duniani ni Roman Catholic wala sio waislamuUnaweza msaidia kijibu maswali niliyomuuliza..maana naona anayakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm ninachojua adui mkubwa wa ukristo duniani ni Roman Catholic wala sio waislamuUnaweza msaidia kijibu maswali niliyomuuliza..maana naona anayakimbia
Nifafanulie hilo neno baadhiMUNGU huwatumia watu wowote wale katika kutekeleza kazi zake. Haijalishi nani ni nani mbele za MUNGU. Sisi wote ni mali yake. Mfano mzuri ni SAULI (PAULO), alikuwa mtu mbaya sana lakini MUNGU alimtumia kueneza INJILI.
Hata kama kuna baadhi ya Wakatoliki walifanyakazi ya kujumuisha vitabu vilivyozaa BIBLIA, kazi hiyo waliifanya kwa USIMAMIZI wa ROHO MTAKATIFU.
Atuoneshe kwanza biblia inasema Petro alifia wapiBiblia inasema alifia wapi? Na mbona hujibu maswali sasa utatusaidiaje kuielewa kweli kama wewe ulivyo?
Jamani! Mbona nakuuliza Biology unajibu Kiswahili..Mm ninachojua adui mkubwa wa ukristo duniani ni Roman Catholic wala sio waislamu
Atawezea wapi.??..thubuuutu..!!Atuoneshe kwanza biblia inasema Petro alifia wapi
Hao Wakristo waliitwaje...??
Biblia ilikamilika lini kukusanywa ..???
Kundi dogo sana?Imeandikwa wale watakao ingia kwenye UFALME wa MUNGU watakuwa ni kundi dogo sana. LUKA 12:32. Pia imeandikwa kwa sababu ya kupenda kwao udanganyifu, MUNGU amewaacha wapotee kwenye udanganyifu, WARUMI 1:28-32. Tena imeandikwa wao watakao mtafuta MUNGU kwa bidii basi watamwona, YEREMIA 29:13
Sio wanaamini...huo ndio ukweli wenye halisi..Wakatoliki wana amini apostolic succession na kwamba Peter was the first Pope.
Daah....Wanasema peter hakua the first pope na Peter alikua ana mke.
Atakwambia Papa ananguvu kuliko sirikali yoyoteNinalojiuliza ni
Kwa nini serikali ya Israeli iliruhusu kuchimbuliwa mifupa ya Petro na kuipeleka Roma?
Mleta mada nisaidie,maana umeonesha hadi picha
Sasa mbona hujibu ni lini Biblia ilikusanywa mkuu..Any way google haya mambo for more information.
Huo Ukristo ambao wakatoliki ni adui yao mafundisho yao wameyachota wapi,maana yapo ambayo yanafanywa na yalianzishwa na wakatoliki wanayafuata,biblia yenyewe imetoka mikononi mwa wakatoliki,Mm ninachojua adui mkubwa wa ukristo duniani ni Roman Catholic wala sio waislamu
Mkuu kusema kanisa la Kristo went underground ni upagani maana ni kukana ahadi wazi ya Kristo kuwa WEWE NDIYO PETRO NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA,kanisa kuwa chini chini inamaana Mungu kashindwa kitu ambacho si kweli,km lilienda chini chini inamaana mpaka sasa lipo chini chini ama lilikufa kabisa?Kuna heresies mbaya na hatari ambazo wakatoliki walisaidia kuzidefeat.
Wakatoliki wana amini apostolic succession na kwamba Peter was the first Pope. Waprotestanti wengi wa kale hawakukubaliana na hio dhana ya apostolic succession. Wanasema peter hakua the first pope na Peter alikua ana mke. Nakwamba the pompous, official and visible church wakati wa medieval era au dark ages huko Europe was not the real church. And that the real church went underground after being persecuted. So it depends na dhehebu lako. Any way google haya mambo for more information.
Utuambie na wapi Petro alikufa leta vifungu vya biblia,Kanisa linapowafundisha waumini uwongo kuwa Petro alizikwa Roma na alikuwa Papa wao wa kwanza wakati siyo kweli wewe unaona ni sawa tu?
Kanisa Katoliki linafundisha uongo mwingi sana, achilia mbali hiyo habari ya Petro, kuna mafundisho mengi sana ya uwongo ambayo yanawapoteza watu. Nimeahidi kuorodhesha UWONGO wote wa Kanisa hili hapa hapa JF, ili wale wanaotaka kuijua KWELI, basi waijue na wajiepushe na udanganyifu.
Wewe ulianza kusema hakwenda na hakufia huko ndo tunakuuliza wewe unaejua ukweli uyuoneshe wapi alifia, tupe mstari kwenye biblia maana unajinasibu kufuata ya biblia tu,sasa tupe andiko linalosema Petro alifia wapi,Yeye amesema Biblia imeandika kuwa Petro alikwenda Roma, sasa nataka anioneshe hiyo mistari inayosema kuwa Petro alifika Roma.
Pia nashukuru kwa kunitukana, ubarikiwe sana mkuu.
Mm haujanijibuKitu gani hakipo sawa? Kila mtu namjibu kama anavyouliza swali lake. Niambie wapi hapako sawa.