Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

MUNGU huwatumia watu wowote wale katika kutekeleza kazi zake. Haijalishi nani ni nani mbele za MUNGU. Sisi wote ni mali yake. Mfano mzuri ni SAULI (PAULO), alikuwa mtu mbaya sana lakini MUNGU alimtumia kueneza INJILI.

Hata kama kuna baadhi ya Wakatoliki walifanyakazi ya kujumuisha vitabu vilivyozaa BIBLIA, kazi hiyo waliifanya kwa USIMAMIZI wa ROHO MTAKATIFU.
Nifafanulie hilo neno baadhi
Halafu kuhusu kazi ya Mungu na Paulo umejiaibisha,
Umeshindwa kujua Mungu huwabadili waovu ili wawe ushuhuda na kumtumikia yy,Sauli alikuwa muovu lkn Paulo hakuwa muovu,
Badiliko halikuwa Paulo kuwa sauli Bali sauli kuwa Paulo,kazi ya kubeba maagizo ya Mungu hakupewa sauli alipewa Paulo,
Kuna badiliko kabla ya kubeba kazi ya ROHO MTAKATIFU,wala hawezi muongoza muovu atende kazi ya Mungu kabla kwanza ya kumbadilisha,
Km wakatoliki walitumika na Roho Mtakatifu kusimamia maneno ta Mungu basi inamaana walibadilishwa toka upotofu kuja kuwa wakweli na ndo wakapewa kazi ya kufanya,
NB ROHO MTAKATIFU hajichanganyi na kumsaidia muovu ktk uovu wake Bali kwa rehema humsaidia muovu kuacha uovu ndo atumike kwa kazi ya Mungu,
Mungu hatumii mikono michafu kubeba na kulitengeneza neno lake,soma biblia utagundua,
Km kweli unatambua ROHO aliwaongoza wakatoliki kulikusanya na kulichakata na kulipanga neno la Mungu jua ukatoliki ni sahihi,
Km siyo sahihi kwa nini Mungu aliwaacha waliokuwa sahihi wakati ule(wasabato maana walikuwepo)wasimkusanyie neno lake na kuliunda,akawatumia wasomi wakatoliki kufanya kazi hiyo
 
Hao Wakristo waliitwaje...??

Biblia ilikamilika lini kukusanywa ..???

Kuna heresies mbaya na hatari ambazo wakatoliki walisaidia kuzidefeat.
Wakatoliki wana amini apostolic succession na kwamba Peter was the first Pope. Waprotestanti wengi wa kale hawakukubaliana na hio dhana ya apostolic succession. Wanasema peter hakua the first pope na Peter alikua ana mke. Nakwamba the pompous, official and visible church wakati wa medieval era au dark ages huko Europe was not the real church. And that the real church went underground after being persecuted. So it depends na dhehebu lako. Any way google haya mambo for more information.
 
Imeandikwa wale watakao ingia kwenye UFALME wa MUNGU watakuwa ni kundi dogo sana. LUKA 12:32. Pia imeandikwa kwa sababu ya kupenda kwao udanganyifu, MUNGU amewaacha wapotee kwenye udanganyifu, WARUMI 1:28-32. Tena imeandikwa wao watakao mtafuta MUNGU kwa bidii basi watamwona, YEREMIA 29:13
Kundi dogo sana?
Haujafikiri sawa sawa umekarili
 
Wakatoliki wana amini apostolic succession na kwamba Peter was the first Pope.
Sio wanaamini...huo ndio ukweli wenye halisi..

Petro ndiye Papa wa Kwanza.....Pope Francis ni wa 266....


Ahsanta
 
Ninalojiuliza ni
Kwa nini serikali ya Israeli iliruhusu kuchimbuliwa mifupa ya Petro na kuipeleka Roma?
Mleta mada nisaidie,maana umeonesha hadi picha
 
Wanasema peter hakua the first pope na Peter alikua ana mke.
Daah....

Hapo kwenye mke upo sawa....Na Mke wa Petro aliitwa Petronila....alikuwa na watoto 3 kama sijakosea...


Unajua mkuu mapdre waKatoliki walikuwa wanaoa mpaka mwaka 1100 ilipositishwa
 
Mm ninachojua adui mkubwa wa ukristo duniani ni Roman Catholic wala sio waislamu
Huo Ukristo ambao wakatoliki ni adui yao mafundisho yao wameyachota wapi,maana yapo ambayo yanafanywa na yalianzishwa na wakatoliki wanayafuata,biblia yenyewe imetoka mikononi mwa wakatoliki,
Mpangilio wa vitabu na vitabu vya kutoingizwa kwenye biblia umefanywa na wakatoliki,sasa inakuaje wachukue cha adui yao,
Inakuaje adui wakati anaifanya biblia asiweke maneno yanayombeba yy lakini akaacha kila kitu km kilivyokuwa
 
Kuna heresies mbaya na hatari ambazo wakatoliki walisaidia kuzidefeat.
Wakatoliki wana amini apostolic succession na kwamba Peter was the first Pope. Waprotestanti wengi wa kale hawakukubaliana na hio dhana ya apostolic succession. Wanasema peter hakua the first pope na Peter alikua ana mke. Nakwamba the pompous, official and visible church wakati wa medieval era au dark ages huko Europe was not the real church. And that the real church went underground after being persecuted. So it depends na dhehebu lako. Any way google haya mambo for more information.
Mkuu kusema kanisa la Kristo went underground ni upagani maana ni kukana ahadi wazi ya Kristo kuwa WEWE NDIYO PETRO NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA,kanisa kuwa chini chini inamaana Mungu kashindwa kitu ambacho si kweli,km lilienda chini chini inamaana mpaka sasa lipo chini chini ama lilikufa kabisa?
 
Kanisa linapowafundisha waumini uwongo kuwa Petro alizikwa Roma na alikuwa Papa wao wa kwanza wakati siyo kweli wewe unaona ni sawa tu?
Kanisa Katoliki linafundisha uongo mwingi sana, achilia mbali hiyo habari ya Petro, kuna mafundisho mengi sana ya uwongo ambayo yanawapoteza watu. Nimeahidi kuorodhesha UWONGO wote wa Kanisa hili hapa hapa JF, ili wale wanaotaka kuijua KWELI, basi waijue na wajiepushe na udanganyifu.
Utuambie na wapi Petro alikufa leta vifungu vya biblia,
Lkn pia utuambie kwa nini Mungu hakuwatumia wasabato(wema walikuwepo zama zile za kuundwa biblia)kuunda na kukusanya maneno yake kwa nguvu yake lkn akawatumia wakatoliki kwa kuongozwa na ROHO MTAKATIFU kulikusanya neno lake,
Lkn pia utuoneshe pia source ya huo unaosema ukweli
 
Yeye amesema Biblia imeandika kuwa Petro alikwenda Roma, sasa nataka anioneshe hiyo mistari inayosema kuwa Petro alifika Roma.

Pia nashukuru kwa kunitukana, ubarikiwe sana mkuu.
Wewe ulianza kusema hakwenda na hakufia huko ndo tunakuuliza wewe unaejua ukweli uyuoneshe wapi alifia, tupe mstari kwenye biblia maana unajinasibu kufuata ya biblia tu,sasa tupe andiko linalosema Petro alifia wapi,
Sababu unaamini biblia tu na km biblia haijasema alifia wapi basi hakufa?
Maana unaamini biblia tu na kila kitu kipo kwa biblia,
 
Back
Top Bottom