Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Hivi chuki ya wasabato kwa wakatoriki chanzo chake ni nini? Maana historia inaeleza madhehebu mengi yametokana na ukatoriki, lakini huwezi mkuta msabato akikosoa warutheri.

Kutumiwa na shetani. Watu ambao wakiona jumapili hawawezi kuitazama kama siku ya kukumbuka kufufuka kwa Bwana Yesu. Eti wao wanaiona kama siku ya kumuabudu mungu jua. Na wanaitumia kama hoja ya kuwa nanga Wakristo wengine na kumpa shetani/mungu jua nafasi angalau ya kusikika/kukumbukwa utawaitaje wa aina hii?

Watu ambao wanaenda kanisani ambapo ni jengo walilo lijenga kwa mikono yao na wasione kuwa ni sanamu ya nyumba ya Mungu ila msalaba uliotengenezwa kwa mikono ya mwanadamu huyohuyo na kwa nia hiyohiyo ya kumuabudu Mungu wauone ni sanamu.


Kimsingi hawa wako vuguvugu si wayahudi halisi si wakristo halisi. Wako katikati ya Ukristo na Uyahudi.
 
Sio kila anaeandika historia ya kanisa la Roma basi ni Msabato. Narudia tena, sio kila anaeandika kuhus kanisa la Roma basi ni Msabato! RC tumieni akili mlizopewa na Mungu....
 
Sio kila anaeandika historia ya kanisa la Roma basi ni Msabato. Narudia tena, sio kila anaeandika kuhus kanisa la Roma basi ni Msabato! RC tumieni akili mlizopewa na Mungu....

Wako na Redio na Tv yao na moja ya kazi zao kubwa ni kuunanga Ukristo wa madhehebu mengine. Wakati hata Yesu aliwakemea wanafunzi wake pale walipolalama kusikia watu wasio sehemu yao wakilitaja na kulitumia jina la Yesu kuhubiri habari njema.

Ukiwasikiliza wakiongelea imani tofauti katika hivi vyombo vyao vya habari wanapozungumzia madhehebu mengine ya ukristo kuhusu kusali jumapili watatumia maneno ambayo ni kama provocative words ila inapofika Uislamu ooh polite words somehow wanaonesha ku sympathize nao na dhani wanajua vizuri jino kwa jino so ni wanafiki flani hivi. Shetani ni mjanjamjanja sana.
 
Hivi kuna watu Intellectual dunia hii kuzidi RC..?? Hebu kuwa Serious kidogo bana...

Ok! Hebu msaidie huyo bwana nimemuuliza maswali mengi na hakuna alilojibu
Fafanua kidogo Otoro. Intellectual kwenye nini?
 
Wasabato bwana naona wanaongoza kulisakama kanisa la rc
 


mafundisho ya The Roman Catholic yanatoka katika vyanzo vikuu vitatu. Biblia Takatifu, Roho Mtakatifu na Mapokeo.

kuna vitabu vingi sana kwenye maktaba ya kanisa ambavyo vinamafunzo na taarifa nyingi muhimu ila haviko kwenye mjumuiko wa vitabu vya biblia. vitabu hivi RC wanaviita mapokeo. vitabu hivi havikujumuishwa kwnye biblia kwa sababu mbalimbali. ikiwamo kutoendana na maudhui na mafundisho ya kanisa japo vina taarifa muhimu sana za historia na maisha ya mitume na wakristo w kwanza.

makanisa mengi yalioibuka juzi na kukuta biblia tayari imeshaundwa, hawawezi kuwa na access na baadhi ya taarifa. nao wakabaki kutegemea biblia pekee iliyokusanywa na kanisa katoliki kama chanzo pekee cha mafundisho.
 
kingine... kupatikana box la mifupa lenye jina la simeon petro bado ni ushahidi finyu kwenye kuhitimisha mada yako. wayahudi kama jamii nyingine za mashariki ya kati. majina kufanna ni jambo la kawaida. mfano ukienda Unguja ukauliza jina kama Juma nassoro Juma.... wanaweza kupatikana akin juma nassoro zaidi ya 50. na kwa uyahudi ilikuwa mfanano huu wa majina ni mkubwa zaidi maana walitumia ubini wa mama. issa bin mariam. kunaweza kukawa na akina mariamu 100, na kati ya hao 10 wakawaita watoto wao issa. hii inamaana kutakuwa na akina issa bin mariam 10.
 
Hii itakusa
idia kufika mbinguni
 
Wewe Wayahudi hawana jina Issa na wala hakuna matumizi ya ukoo wa mama. hiyo ni invention ya Muhammad na quran yake. Huko tusiende sasa maana inaweza kuwa mtafaruku. tukakimbiana hapa.
 
Wewe unaonekana ni msabato bila ubishi.Kama unamwamini Petro nadhani alikozikwa sio jambo la msingi sana.Ni kama Krismasi wasabato hawaadhimishi hii sherehe.Ila wanakubali Yesu alizaliwa japo hawana tarehe yao ya kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…