Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uthibitishe...Siyo kweli!
Duuuh!!Mkuu hili Kanisa Katoliki linafundisha uwongo sana. Hakuna ushahidi wowote hata wa kihistoria tu unao onesha kuwa Mtume Petro aliwahi kuishi Roma. Hakika kabisa Kanisa hili ni adui namba moja wa UKRISTO duniani.
Wachina, Japan, Russia etc hawa wote siyo RC. Achilia mbali JEWS.Naomba uthibitishe...
Hawawezi kukuelewamafundisho ya The Roman Catholic yanatoka katika vyanzo vikuu vitatu. Biblia Takatifu, Roho Mtakatifu na Mapokeo.
kuna vitabu vingi sana kwenye maktaba ya kanisa ambavyo vinamafunzo na taarifa nyingi muhimu ila haviko kwenye mjumuiko wa vitabu vya biblia. vitabu hivi RC wanaviita mapokeo. vitabu hivi havikujumuishwa kwnye biblia kwa sababu mbalimbali. ikiwamo kutoendana na maudhui na mafundisho ya kanisa japo vina taarifa muhimu sana za historia na maisha ya mitume na wakristo w kwanza.
makanisa mengi yalioibuka juzi na kukuta biblia tayari imeshaundwa, hawawezi kuwa na access na baadhi ya taarifa. nao wakabaki kutegemea biblia pekee iliyokusanywa na kanisa katoliki kama chanzo pekee cha mafundisho.
Hujajibu hoja yangu. Sanasana unaleta ubishi wenye chuki ndani yake. Kanisa katoliki ni mama wa madhehebu yote ya kikristo unayoyafahamu wewe, pamoja na ufahamu wako finyu sana wa masuala ya diniBiblia ni ushahidi tosha kuwa Petro hakufika Roma. Paulo ndiye alikuwa Mtume kwa ajili ya watu wa mataifa na Petro alikuwa Mtume kwa ajili ya Wayahudi(waliotahiriwa). Soma Biblia yako vizuri utaelewa. Tukichukua ushahidi wa Biblia na kujumlisha na ushahidi wa mifupa iliyopatikana Jerusalem, tunajihakikishia kabisa kuwa Petro hakuwahi kabisa kufika Roma.
Kanisa Katoliki limedanganya na linaendelea kuwadanganya ninyi msiotumia akili zenu katika kulisoma NENO la MUNGU.
Kuwa msabato siyo dhambi ndugu yangu, kuishika SABATO siyo dhambi. Dhambi ni kuzivunja amri za MUNGU, na katika amri kumi za MUNGU moja wapo ni kuishika SABATO, soma KUTOKA 20:8-11.Wewe unaonekana ni msabato bila ubishi.Kama unamwamini Petro nadhani alikozikwa sio jambo la msingi sana.Ni kama Krismasi wasabato hawaadhimishi hii sherehe.Ila wanakubali Yesu alizaliwa japo hawana tarehe yao ya kuzaliwa.
Hivyo vitabu viliandikwa kwa nia ya kupotosha UKWELI. Ndiyo maana viliposomwa havikukubaliwa kujumuishwa kwenye Biblia. Biblia haikujumuishwa na mtu mmoja tu, walikaa watu tofauti wakakubaliana kipi kiwemo na kipi kisiwemo ndani ya Biblia.mafundisho ya The Roman Catholic yanatoka katika vyanzo vikuu vitatu. Biblia Takatifu, Roho Mtakatifu na Mapokeo.
kuna vitabu vingi sana kwenye maktaba ya kanisa ambavyo vinamafunzo na taarifa nyingi muhimu ila haviko kwenye mjumuiko wa vitabu vya biblia. vitabu hivi RC wanaviita mapokeo. vitabu hivi havikujumuishwa kwnye biblia kwa sababu mbalimbali. ikiwamo kutoendana na maudhui na mafundisho ya kanisa japo vina taarifa muhimu sana za historia na maisha ya mitume na wakristo w kwanza.
makanisa mengi yalioibuka juzi na kukuta biblia tayari imeshaundwa, hawawezi kuwa na access na baadhi ya taarifa. nao wakabaki kutegemea biblia pekee iliyokusanywa na kanisa katoliki kama chanzo pekee cha mafundisho.
Mimi adui yangu siyo "Wakatoliki", adui yangu ni "Ibilisi" anayelitumia kanisa Katoliki kufundisha UWONGO? Mimi napingana na uwongo unaofundishwa na Kanisa Katoliki lakini sipingani na waumini wa Kikatoliki. Lengo letu sisi ni waumini hawa wanaodanganywa wafunguke macho na waione KWELI.Wala hakuna sehemu ya Biblia iliyotaja dini ya ukristo sasa kwanini wewe unajiita mkristo? Vivyo hivyo kwenye Biblia hakuna neno au dhehebu la katoliki, je ukristo ulipatikana vipi? Kumbuka kila mtu aliyekubali mafundisho ya Yesu aliitwa mkristo yaani mfuasi wa mpakwa mafuta lengo ni kurahisisha kujua watu fulani ni waumini wa imani fulani a.k.a dini/ dhehebu, mfano unaposema dini ya kiyahudi tunaelewa inamaanisha nini japo Ktk Bible hakuna dini ya kiyahudi. Vivyo hivyo katoliki limetokana na mtazamo uleule wa ukristo hii inathibitika kwa maana ya neno katoliki lenye maana ya mahali pote pote kwa yeyote yaani ukatoliki ni ukristo usio na mipaka wala ubaguzi kwahiyo ukatoliki haukufanyi wewe usiwe mfuasi wa kristo wala kukutenganisha na kristo. Documents nyingi za kiimani na mafundisho ya mitume yalitunzwa na wakatoliki na vyanzo vya madhehebu yote ya kikristo yalitokana na ukatoliki. Kifupi tu niseme mtu wenye matunda mazuri daima utaendelea kupopolewa na mawe. Wamisionari wa kikatolki ndiyo wameujenga na kuutetea ukristo hivyo ukatoliki unahitaji heshima yake siyo kebehi, inawezekana kuna mapungufu ktk ukatoliki kwakuwa ni wanadamu nasiyo malaika. Yesu alishaweka jiwe moja tu la msingi kila mkristo aweke tofali hapo sasa wengine wanakwenda kujenga sehemu nyingine ambapo Yesu hakuweka jiwe hapo. Binafsi sijawahi ona mafundisho yoyote ya kikatoliki yakipinga waprotestanti wakiwamo wasabato wala kuwakebei kwakuwa wanajua hadui yao mkuu siyo hao
Nimekuelewa sana mkuu. Asante.Mkuu hapa umekosea.
Acha ngano na magugu yaote pamoja baadaye tutajua magugu na ngano.
Kuzizuia haina maana kwamba hakuna watu waliowahi kuzisoma. Kuna watu wamezisoma na wanazijua vizuri. Zimezuiwa kusambazwa kwenye public.Hv umesoma ukichoandika Sasa kama hizo barua kanisa katoliki wamezizuia unasemaje tena waongo
Nitaorodhesha hapa hapa JF "uwongo" wote wa kanisa katoliki kwa faida yako mkuu ili uijue KWELI. Kaa mkao wa kula mkuu.We unaongea kimbea sasa usiseme vingi vinatumiwa ujawahi sali catholic ebu tupe kimoja tu kama ukijui basi tafuta la kufanya ndo nyie mnaoamini mchungaji wenu kua mti ya kivuli ni mikosi kwel kazi sana ni vizur kama unasema dini ya mwenzio usiseme kinafki uwezi kudhibitisha unaongea kisa nabii wako amekwambia kaseme ivi ili apate waumini
Mabaki ya Petro yamepatikana Jerusalemu, hii ina maana kuwa alifia Jerusalem. Hata kama Biblia haisemi ni wapi alipofia lakini Biblia imesema wazi kabisa kuwa Petro hakufika Roma. Hilo halina ubishi.Wewe ulianza kusema hakwenda na hakufia huko ndo tunakuuliza wewe unaejua ukweli uyuoneshe wapi alifia, tupe mstari kwenye biblia maana unajinasibu kufuata ya biblia tu,sasa tupe andiko linalosema Petro alifia wapi,
Sababu unaamini biblia tu na km biblia haijasema alifia wapi basi hakufa?
Maana unaamini biblia tu na kila kitu kipo kwa biblia,
Nani amezisoma wewe Ellen g white au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo story unazoleta ni za club za gongo na chimpumuKuzizuia haina maana kwamba hakuna watu waliowahi kuzisoma. Kuna watu wamezisoma na wanazijua vizuri. Zimezuiwa kusambazwa kwenye public.
Hahaha, tarehe alisahau Mama E. G. White kuwaambia.Wewe unaonekana ni msabato bila ubishi.Kama unamwamini Petro nadhani alikozikwa sio jambo la msingi sana.Ni kama Krismasi wasabato hawaadhimishi hii sherehe.Ila wanakubali Yesu alizaliwa japo hawana tarehe yao ya kuzaliwa.
Mimi adui yangu siyo "Wakatoliki", adui yangu ni "Ibilisi" anayelitumia kanisa Katoliki kufundisha UWONGO? Mimi napingana na uwongo unaofundishwa na Kanisa Katoliki lakini sipingani na waumini wa Kikatoliki. Lengo letu sisi ni waumini hawa wanaodanganywa wafunguke macho na waione KWELI.
Naomba nikuulize swali, hivi Kanisa Katoliki linapowafundisha waumini wake kusali na kumwomba Mama Mariamu badala ya kusali na kumwomba MUNGU; hiyo wewe unaona ni sawa kweli?
YESU KRISTO alifundisha nini kuhusu kusali na alisema tukisali tumwombe nani??
Musa alikuwa mtu pekee ambaye aliongea na MUNGU uso kwa uso ingawa hakumwona MUNGU lakini aliisikia sauti yake mubashara kabisa, tena alikaa mlimani akiwa anaongea na MUNGU kwa siku arobaini, lakini haijawahi kutokea wana wa Israeli wakasali na kumwomba Musa awaombee kwa MUNGU. Sasa inakuwaje leo hii Kanisa Katoliki linawafundisha waumini wake kuwaomba "wafu" wawaombee kwa MUNGU kwa kisingizio kuwa hao wafu ni watakatifu, Je! ni kweli hao wafu ni watakatifu?? Hata kama hao wafu ni watakatifu, Je! ni nani ambaye anajukumu la kuwaombea wanadamu kwa MUNGU? Siyo YESU KRISTO PEKEE??
Wewe huoni kama uwongo huu wa Kanisa Katoliki unawafanya waumini wa kanisa hili kumkosea BABA MUNGU na BWANA YESU kwa kwenda kinyume na mafundisho yake? Wewe huoni kama kanisa katoliki linawaabudu sana wafu linaowaita watakatifu, linamwabudu sana Mama Maria, linaabudu sana sanamu na kuacha kumwabudu MUNGU BABA??
Tukiwa kama WAKRISTO tukiona ndugu zetu wanapotea, Je! hatuna haki na wajibu wa kuwasahihisha? Je! NENO la MUNGU linasema nini katika kukemea maovu?
Hayo yote wewe unaona ni sawa tu yaendelee kufanyika wakati NENO la MUNGU limeyakataza kabisa, au unataka nikuandikie hapa mstari kwa mstari kutoka kwenye Biblia ndiyo uamini? Mimi sitaandika mistari ya kwenye Biblia, ila nakuomba uchukue Biblia yako, ukae chini uisome na utajua kuwa Kanisa Katoliki linafundisha "UPOTOVU" wa kiwango cha juu sana.
Acha kuniuliza maswali ya kitoto wewe. Tatizo hii JF sasa hivi imejaa vitoto ambavyo haviwezi kusoma na kuelewa hoja zinazozungumziwa.Musa na Eliya ambao Petro aliwaona wakiwa na Bwana Yesu kule mlimani ni Musa yupi?
Ule muujiza wa harusi ya kana watu wale walipitisha maombi yao kwa nani kabla ya Bwana Yesu kuufanya ule muujiza?