Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Hujajibu hoja yangu. Sanasana unaleta ubishi wenye chuki ndani yake. Kanisa katoliki ni mama wa madhehebu yote ya kikristo unayoyafahamu wewe, pamoja na ufahamu wako finyu sana wa masuala ya dini
.
Ni kweli kkulingana na maandiko ndiye mama yao wote.
Ufunuo wa Yohana 17
5 Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.

6 Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.
 
Hujajibu hoja yangu. Sanasana unaleta ubishi wenye chuki ndani yake. Kanisa katoliki ni mama wa madhehebu yote ya kikristo unayoyafahamu wewe, pamoja na ufahamu wako finyu sana wa masuala ya dini
Umesema vyema, ndio maana hata madhehebu hayo yamejaa uwongo uwongo mwingiiiiiii
 
Tupingane kwa hoja ndugu zangu.Hoja hupingwa kwa hoja .Ni nguvu ya hoja itawale na sio hoja ya nguvu
 
Hivi ushahidi ni jina juu ya jeneza au mifupa ndani ya jeneza? Kama ni jina juu ya jeneza, je hakukuwa na mtu mwingine mwenye jina kama hilo? Na kama ni mifupa, je walipata wapi reference ya mifupa ya mtume Petro wakati akiwa hai? Au kuna maelezo zaidi ambayo hayajawekwa wazi?
 
Kwa taarifa yako hata mimi nilikuwa MKATOLIKI na baada yakufundishwa UWONGO, niliamua kuitafuta KWELI. Nilipoijua KWELI nikaona nisikae kimya wacha niwajulishe na wengine ili na wao waijue KWELI. Huwezi kuujua uchafu wa nyumba kama uko nje ya nyumba na hujawahi kuingia ndani.

Kwa taarifa yako Bagatti alihojiwa na akakiri kila kitu ingawa hakuandika kwenye kitabu chake. Kuna watu waliongea na akina Bagatti na wakaamua kwenda Jerusalemu kuutafuta UKWELI na wakauona kwa macho yao. Sasa wewe endelea kuogelea kwenye UWONGO wa Kanisa Katoliki. Hata baadhi ya Mapre wa Kanisa Katoliki wapo Jerusalemu na wanakuambia ni kweli Petro alifia Jerusalemu na kuzikwa huko. Lakini kamwe hawewezi kusimama hadharani na kuongea hivi vitu.
Ivi nawe ushafika huko jerusalem alopofia Huyo petro wako ??
 
Nyie wasabat kila kukicha ni kupingana na waroma na sio kupingana na mwovu shetani.
Nenda ukale makande kwa mama lishe hapo karibu nitakuja kulipa.
Sabato njema!!!!!
Shetani hatuwezi kushindana naye kwani yeye ana nguvu sana kitu pekee tunachoweza kufanya wanadamu ni kupingana na fitina na hila za shetani nazo ni pamoja na hili kabisa uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani hatuwezi kushindana naye kwani yeye ana nguvu sana kitu pekee tunachoweza kufanya wanadamu ni kupingana na fitina na hila za shetani nazo ni pamoja na hili kabisa uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio maana tunawaambia Wasabato ninyi ni wapinga Kristo. Kwa njia ya kifo na ufufuko wake,Yesu alimshinda shetani kabisa. Mamlaka yake na nguvu zake zilizodhoofishwa kwa kifo na ufufuko na toka wakati huo wanadamu tunaishi kwa raha na Amani( ndio miaka Elfu moja 1000 inayoongelewa katika Kitabu cha ufunuo). Sasa ninyi Wasabato mnapofundisha kwamba Shetani ana nguvu mnakuwa mnamaanisha kwamba Yesu aliongopa kwa kusema pale msalabani kuwa "yamekwisha"?

Kwa hiyo, kama mnamuogopa shetani, mnafikiria mtaweza kupambana na Kanisa Katoliki? Kanisa Katoliki sio saizi yenu. Kama mumemuogopa shetani kaeni mule ugali na maharagwe na kisha muende kuvitoa panapohusika. Kanisa Katoliki ni Maji marefu kwenu.
 
Back
Top Bottom